Nimeolewa na golikipa nifanyeje?

Nimeolewa na golikipa nifanyeje?

Kaa nae kwa unyenyekevu kisha mpatie mtaji wa biashara...akila basi.
 
duh dada tafta beki 3 mzuri ili kuimarisha ulinzi manake golikipa unae
 
Pole we! maana golikipa la kiume hasara mara 203! Linakula bure, halisaidii hata kufuta vumbi viatu vyake, yaani ni zaidi ya zigo la kichaa. umeula wa chuya kwa uvivu wa kuchagua shost Tanya, mwaga manyanga kama unaweza la huwezi libebe hadi kaburini! si ndio ulivyoapa?
 
Last edited by a moderator:
hii story ni ya kutunga tu..logically inapplicable...!!!!
 
Mimi nina degree moja ila nimeolewa na mtu ambaye ana elimu ya msingi na hana shughuli yoyoye anayojishughulisha hata nimuelimishe vipi kuhusu biashara au kuhusu kwenda kujiendeleza hataki yeye anachotaka nimhudumie vyoote. Na mtu mwenyewe hata mapenzi hana ila anachotaka ni kuheshimiwa kama anapita Obama. Je? Nimuache au niendelee kumvumilia labda Mungu atambadilisha siku za usoni? Nisaidieni wenzangu

Ili kusudi akuogope inabidi uwe striker kama yeye ni golikipa...Piga mashoot ya hatari atakuheshimu ila ukiwa beck unaokoa mipira hawezi jua umuhimu wako
 
Degree yako haijakusaidia.
Ila mumeo kaelimika pamoja na darasa lake la saba, akajua achague mke wa aina gani ili ale bata tu.

Abadilike amekuwa kinyonga?

Nina hasira na wewe maana rafiki yangu kaolewa na golikipa, anamtesa kama nini lakini kang'ang'ania tu, mnaudhi kama nini halafu na ushauri hamsikilizi, kazi kulalamika tu kwa matatizo yakujitakia.

Tena, bora aanze kutaka kubebwa mgongoni badala ya kutembea.

lol, watu mna visa jamani, humuonei huruma mwenzio bado unamtwika jengine? mwenzio anataka kuendelea kumvumilia labda mungu atambadilisha, mhhh kuna watu unakosa cha kuwashauri kabisaaaaaaaa
 
Mimi nina degree moja ila nimeolewa na mtu ambaye ana elimu ya msingi na hana shughuli yoyoye anayojishughulisha hata nimuelimishe vipi kuhusu biashara au kuhusu kwenda kujiendeleza hataki yeye anachotaka nimhudumie vyoote. Na mtu mwenyewe hata mapenzi hana ila anachotaka ni kuheshimiwa kama anapita Obama. Je? Nimuache au niendelee kumvumilia labda Mungu atambadilisha siku za usoni? Nisaidieni wenzangu
...etii una degree 1?????umeipata lini b4 marriage or after?by the way iweje leo ndio uonyeshe weakness zake??ulilazimishwa kuolewa au ulimwona best yako ameolewa na wewe ukatamani??????
 
Na akirudi home anamfanyia massage! Mungu ampe nini? Kongosho kaona wivu hapo hehehe.
Kuna vitu vinaudhi (ila labda ni wivu sababu zombie hajielewi:disapointed:)
Rafiki yangu kaolewa na golikipa, na golikipa kaoa mke wa 2 moa mwingine kwa siri siri, anaenda huko anakaa hata mwaka.
Mke kamtafytia kazi kakataa, anataka kutunzwa

Analalamika weeee, anaokoka weeeee, tukimshauri mara ooh, nimefunga sijui sala gani, mara ni msalaba, mara wanamme wote wasumbufu, mara watoto itakuwaje? Lame excuses.

Mie siku hizi najisemea, degree haina maana hadi uioneshe kwa vitendo

vumilia atakuja kupata utajiri wa ghafla na kukununulia vitu vya mamilioni

Ha ha ha, umenikumbusha mateja, ...'siku moja tutatoka tu' How? Still a mystry.
 
Jamani, wapo wanamme wa aina hi kabisa, anapewa mtaji anaunywea pombe wote.
Afu mke unamsikia 'nina degree'
Wananiudhi hadi basi, nina mfano wa karibu sana.

hii story ni ya kutunga tu..logically inapplicable...!!!!
 
Hakuna kitu kibaya kama kukosa maamuzi binafsi, akili za kushikiwa mbaya sana.

lol, watu mna visa jamani, humuonei huruma mwenzio bado unamtwika jengine? mwenzio anataka kuendelea kumvumilia labda mungu atambadilisha, mhhh kuna watu unakosa cha kuwashauri kabisaaaaaaaa
 
Mimi nina degree moja ila nimeolewa na mtu ambaye ana elimu ya msingi na hana shughuli yoyoye anayojishughulisha hata nimuelimishe vipi kuhusu biashara au kuhusu kwenda kujiendeleza hataki yeye anachotaka nimhudumie vyoote. Na mtu mwenyewe hata mapenzi hana ila anachotaka ni kuheshimiwa kama anapita Obama. Je? Nimuache au niendelee kumvumilia labda Mungu atambadilisha siku za usoni? Nisaidieni wenzangu

Acha kumdhalilisha mwenzio, kwani swala la ndoa huwa linaangalia kisomo cha mtu? ninavyoona hata kumtambulisha mumeo unaona aibu lkn jingine umeona hapa JF utapata ushauri mzuri wa kunusuru ndoa yenu? umeshafanya yafuatayo?
1. Kuwaona wasimamizi wa ndoa.
2. Kuwaona wazazi wa mume/
3. Kama ni mkristo kuwaona wachungaji
4. Ustawi wa jamii umefika?
 
Kuna vitu vinaudhi (ila labda ni wivu sababu zombie hajielewi:disapointed:)
Rafiki yangu kaolewa na golikipa, na golikipa kaoa mke wa 2 moa mwingine kwa siri siri, anaenda huko anakaa hata mwaka.
Mke kamtafytia kazi kakataa, anataka kutunzwa

Analalamika weeee, anaokoka weeeee, tukimshauri mara ooh, nimefunga sijui sala gani, mara ni msalaba, mara wanamme wote wasumbufu, mara watoto itakuwaje? Lame excuses.

Mie siku hizi najisemea, degree haina maana hadi uioneshe kwa vitendo

Ha ha ha, umenikumbusha mateja, ...'siku moja tutatoka tu' How? Still a mystry.

hawa huwa wanajua wahubiri wote, yaani sijui kama wanajuaga kama maombi yao ni mhubiri gani amemsaidia, akisikia mpya huyoo, kesho mwingine huyooo, ndugu yangu mmoja kamaliza wahubiri wote, anasali sala zote!
 
...piga mashuti ya nguvu tu magoli yakiwa mengi usimsainishe contract mpya..teh..tehh....
 
........tamaa yako itakuwa juu ya mumeo naye atakutawala!!! umesahau hayo maneno nini? kama ni golikipa mzuri mpeleke Arsenal, wanatafuta golikipa saivi!!
 
Hivi ulime kiazi kikuu utake miujiza kibadilishwe kiazi mviringo?
Acheni kumdanganya, she has to face her demons.

Acha kumdhalilisha mwenzio, kwani swala la ndoa huwa linaangalia kisomo cha mtu? ninavyoona hata kumtambulisha mumeo unaona aibu lkn jingine umeona hapa JF utapata ushauri mzuri wa kunusuru ndoa yenu? umeshafanya yafuatayo?
1. Kuwaona wasimamizi wa ndoa.
2. Kuwaona wazazi wa mume/
3. Kama ni mkristo kuwaona wachungaji
4. Ustawi wa jamii umefika?
 
Hakuna kitu kibaya kama kukosa maamuzi binafsi, akili za kushikiwa mbaya sana.

lakini kwanini sasa hivi? si aliolewa nae akijua ni golikipa sasa kimetokea nini, au ndio tunarudi pale pale "nitambadilisha"?
 
Kuna vitu vinaudhi (ila labda ni wivu sababu zombie hajielewi:disapointed:)
Rafiki yangu kaolewa na golikipa, na golikipa kaoa mke wa 2 moa mwingine kwa siri siri, anaenda huko anakaa hata mwaka.
Mke kamtafytia kazi kakataa, anataka kutunzwa

Analalamika weeee, anaokoka weeeee, tukimshauri mara ooh, nimefunga sijui sala gani, mara ni msalaba, mara wanamme wote wasumbufu, mara watoto itakuwaje? Lame excuses.

Mie siku hizi najisemea, degree haina maana hadi uioneshe kwa vitendo
love is blind

Ha ha ha, umenikumbusha mateja, ...'siku moja tutatoka tu' How? Still a mystry.
sio mateja. nimeona stori kadhaa hapa MMU, dada kaolewa na mume lofa baadae mume suddenly kapata very high paying job na kumnunulia mkewe gari/nyumba la mamilioni. stori ikaitwa ''true love''
 
Back
Top Bottom