mvumilie, kwani si anabaki nyumbani anapika na kufua?
Yana nini........?
Mimi nina degree moja ila nimeolewa na mtu ambaye ana elimu ya msingi na hana shughuli yoyoye anayojishughulisha hata nimuelimishe vipi kuhusu biashara au kuhusu kwenda kujiendeleza hataki yeye anachotaka nimhudumie vyoote. Na mtu mwenyewe hata mapenzi hana ila anachotaka ni kuheshimiwa kama anapita Obama. Je? Nimuache au niendelee kumvumilia labda Mungu atambadilisha siku za usoni? Nisaidieni wenzangu
Mwanzo wakati mnapendana ilikuwaje........?
Unahitaji Pole na sio ushauriMimi nina degree moja ila nimeolewa na mtu ambaye ana elimu ya msingi na hana shughuli yoyoye anayojishughulisha hata nimuelimishe vipi kuhusu biashara au kuhusu kwenda kujiendeleza hataki yeye anachotaka nimhudumie vyoote. Na mtu mwenyewe hata mapenzi hana ila anachotaka ni kuheshimiwa kama anapita Obama. Je? Nimuache au niendelee kumvumilia labda Mungu atambadilisha siku za usoni? Nisaidieni wenzangu
mvumilie, kwani si anabaki nyumbani anapika na kufua?
Husninyo nadhani amesema huyo husband wake anataka kuheshimiwa kama Obama. Sidhani kama Obama ni mpishi ikulu ya Marekani?
Ukimuacha si anakushtaki?Mimi nina degree moja ila nimeolewa na mtu ambaye ana elimu ya msingi na hana shughuli yoyoye anayojishughulisha hata nimuelimishe vipi kuhusu biashara au kuhusu kwenda kujiendeleza hataki yeye anachotaka nimhudumie vyoote. Na mtu mwenyewe hata mapenzi hana ila anachotaka ni kuheshimiwa kama anapita Obama. Je? Nimuache au niendelee kumvumilia labda Mungu atambadilisha siku za usoni? Nisaidieni wenzangu