Nimeolewa na golikipa nifanyeje?

Nimeolewa na golikipa nifanyeje?

kile kiapo cha ''katika shida na raha'' kimetolewa?
washirikishe wasimamizi wenu...wakusaidie kumuelimisha...sio kumuita mumeo golikipa,kwan we ndo una shuti mabao?
 
ulipoyavumilia mwanzo,sasa ulitegemea itakuwaje? wewe ndo hakimu wa hili na unatakiwa uelewe maana ya kuwa umeolewa kwa mujibu wa aina ya ndoa yenu! pole na
 
Was it a forced marriage..!!!??? Then this is the repercussion of your decision. Kama mkristo then ur familiar with the term:
Till death do Us apart.
 
Pole sana dada, yaani umeniuzunishaje!!! Nasikia Kulia.
Hivi wewe mpaka ukaolewa na golikipa, std seven Ulilogwa?
Kwa nini wanawake hamjitambui jamani, umesomeshwa, una kazi yako ya maana kinachokufanya uamue kujitoa KAFALA ni nini? UMEJILIPUA rafiki. Kukata gani tamaa uko, mpaka haujui unataka nini huku duniani.
Ungekuwa karibu yangu NINGEKULABUA KIBAO.

Unasikia kulia kisa kaolewa na Golikipa kwani alishikiwa MTUTU wa bunduki

kuolewa na huyo Golikipa!!!!!!!!aache kumkashifu huyo mumewe,hapa ndio

nnapomkumbukaga Da Sophy na idea yake kuwa degree haitunzi mume lol!!!!!
 
Last edited by a moderator:
aaaaaah bwana wewe wkati mna date, uchumba time, na miezi kadhaa ya ndoa alikuwa hakukeri?????
Endeleeni kama mlivoanza hayo ya kumwaga hapa kama katusi vile
 
Unasikia kulia kisa kaolewa na Golikipa kwani alishikiwa MTUTU wa bunduki

kuolewa na huyo Golikipa!!!!!!!!aache kumkashifu huyo mumewe,hapa ndio

nnapomkumbukaga Da Sophy na idea yake kuwa degree haitunzi mume lol!!!!!

halafu aliyajua yote kabla hayaolewa, kwamba jamaa std 7, kwamba jamaa golikipa, na bado akakubali kwa moyo wake mmoja kuolewa nae, leo kimetokea nini tena jamani? mie sijui asaidiwaje huyu.
 
HIYO DEGREE YAKO HIYO !
eti goalkipa au bosi kishaanza kukupa vipadiem unaota mapembe!
Ukome huyo ni mume wako ulimchagua mwenyewe ....leo unakuja na hadithi za degree hapa ,mnataka mfunguo ACADEMY! WAKATI ANAKUGONGA HADI UKALEGEA ILIJUA ANA PHD!
 
Ishi nae hivyohivyo maieha yenyewe mafupi haya tunakufa fasta.
 
halafu aliyajua yote kabla hayaolewa, kwamba jamaa std 7, kwamba jamaa golikipa, na bado akakubali kwa moyo wake mmoja kuolewa nae, leo kimetokea nini tena jamani? mie sijui asaidiwaje huyu.

nashangaa......,kuna mengine nyuma ya pazia na ye sijui yuko wapi aje atueleze hapa

Hizo options zoote alikuwa nazo toka mwanzo..........
 
Unasikia kulia kisa kaolewa na Golikipa kwani alishikiwa MTUTU wa bunduki

kuolewa na huyo Golikipa!!!!!!!!aache kumkashifu huyo mumewe,hapa ndio

nnapomkumbukaga Da Sophy na idea yake kuwa degree haitunzi mume lol!!!!!
nahisi kapata penzi jipya.anatafuta njia ya kutokea.
 
Suala la mapenzi hasa kumwacha au kuendelea kuwa naye siyo la kushauriwa, "you should listen to your heart when it comes to matters of love"

One more thing, wakati mnaoana alikuwa anashughulika na nini?
wakati wanaoana alikuwa na digrii, sasa kapoteza cheti na kufukuzwa kazi.kabaki na cheti cha darasa la saba tu.
 
Kimsingi kosa ni mwanamk maana kama ni kweli inaonesha msichana alikosa options ndo maana akakubali kuolewa na huyo mwanaume..!!!
na hatimaye kapata option anataka kumsukumia jamaa nje.inawezekana mwanzoni aliolewa kuondoa nuksi, na sasa kampata mume haswa.
 
Mimi nina degree moja ila nimeolewa na mtu ambaye ana elimu ya msingi na hana shughuli yoyoye anayojishughulisha hata nimuelimishe vipi kuhusu biashara au kuhusu kwenda kujiendeleza hataki yeye anachotaka nimhudumie vyoote. Na mtu mwenyewe hata mapenzi hana ila anachotaka ni kuheshimiwa kama anapita Obama. Je? Nimuache au niendelee kumvumilia labda Mungu atambadilisha siku za usoni? Nisaidieni wenzangu
We niondolee ujinga wako, hivi wakati anakubandua mara ya kwanza na mara nyingine hukulijuwa hilo..???
 
Mimi nina degree moja ila nimeolewa na mtu ambaye ana elimu ya msingi na hana shughuli yoyoye anayojishughulisha hata nimuelimishe vipi kuhusu biashara au kuhusu kwenda kujiendeleza hataki yeye anachotaka nimhudumie vyoote. Na mtu mwenyewe hata mapenzi hana ila anachotaka ni kuheshimiwa kama anapita Obama. Je? Nimuache au niendelee kumvumilia labda Mungu atambadilisha siku za usoni? Nisaidieni wenzangu

Aise shemu mbona ni bonge la bahati? mumeo golikipa ? sasa wewe uwe foward anzisheni timu,au uwe meneja wake kamuuze BARCA au LIBOLO !
 
Back
Top Bottom