Nimeolewa na golikipa nifanyeje?

Nimeolewa na golikipa nifanyeje?

Tanya

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2013
Posts
340
Reaction score
159
Mimi nina degree moja ila nimeolewa na mtu ambaye ana elimu ya msingi na hana shughuli yoyoye anayojishughulisha hata nimuelimishe vipi kuhusu biashara au kuhusu kwenda kujiendeleza hataki yeye anachotaka nimhudumie vyoote. Na mtu mwenyewe hata mapenzi hana ila anachotaka ni kuheshimiwa kama anapita Obama. Je? Nimuache au niendelee kumvumilia labda Mungu atambadilisha siku za usoni? Nisaidieni wenzangu
 
Ulilazimishwa kuolewa na wazazi au uliamua wewe mwenyewe? Vicheche ndo walivyo hapo ujue umeshapata kidume kingine sasa unatafuta mapungufu ya mwenzio. Kwa mfano kwamba yeye la saba umejua leo??
 
vizuri sana kwa kuamua hivyo maana ni wachache sana wanaweza jitolea kulea
 
mambo mengine yana ......____
 
Degree yako haijakusaidia.
Ila mumeo kaelimika pamoja na darasa lake la saba, akajua achague mke wa aina gani ili ale bata tu.

Abadilike amekuwa kinyonga?

Nina hasira na wewe maana rafiki yangu kaolewa na golikipa, anamtesa kama nini lakini kang'ang'ania tu, mnaudhi kama nini halafu na ushauri hamsikilizi, kazi kulalamika tu kwa matatizo yakujitakia.

Tena, bora aanze kutaka kubebwa mgongoni badala ya kutembea.
 
Mimi nina degree moja ila nimeolewa na mtu ambaye ana elimu ya msingi na hana shughuli yoyoye anayojishughulisha hata nimuelimishe vipi kuhusu biashara au kuhusu kwenda kujiendeleza hataki yeye anachotaka nimhudumie vyoote. Na mtu mwenyewe hata mapenzi hana ila anachotaka ni kuheshimiwa kama anapita Obama. Je? Nimuache au niendelee kumvumilia labda Mungu atambadilisha siku za usoni? Nisaidieni wenzangu

degree..? Degree yako umeipata kariakooo,mwenye degree haandiki utumbo kama huo,tambua degree haitunzi mume mjinga wewe,kaeni chini muyaongee muyamalize,daily nasema mkifunga ndoa wakati hamja baleghe vizuri haya ndo matatizo yanayo tokea,nenda kwamweleze mshenga ilo povu.
 
Mimi nina degree moja ila nimeolewa na mtu ambaye ana elimu ya msingi na hana shughuli yoyoye anayojishughulisha hata nimuelimishe vipi kuhusu biashara au kuhusu kwenda kujiendeleza hataki yeye anachotaka nimhudumie vyoote. Na mtu mwenyewe hata mapenzi hana ila anachotaka ni kuheshimiwa kama anapita Obama. Je? Nimuache au niendelee kumvumilia labda Mungu atambadilisha siku za usoni? Nisaidieni wenzangu

Hahahahaha!
Inaonesha jamaa alikuchanganya kweli kwenye mapenzi mpaka ukaamua fasta uwekwe(uweke?) ndani.
Kwa sababu kweli jamaa anamis vitu flani hivi ambavyo a good husband must have na wasichana wengi (Hasa wenye degree kama wewe) wangeshaona hafai.
So conclusion yangu ni kwamba jamaa kuna quality nyingine ambayo yuko vizuri balaa(yani reeeeally good) ndo maana ukaolewa.
I'm jst trying to figure out which:confused3:
 
Unajua watu wengne wanakera sana,eti kaolewa na golikipa..?! Kwani wakati anakugegeda huku anakuahidi kuku oa,hulikua hujui kama hana kazi.? kwanini ulimkubali.?teh teh teh teh ngoja Mgirik aje aone hili povu lako,utakomaje.?mana ana uchungu na nyieee
 
Last edited by a moderator:
Mimi nina degree moja ila nimeolewa na mtu ambaye ana elimu ya msingi na hana shughuli yoyoye anayojishughulisha hata nimuelimishe vipi kuhusu biashara au kuhusu kwenda kujiendeleza hataki yeye anachotaka nimhudumie vyoote. Na mtu mwenyewe hata mapenzi hana ila anachotaka ni kuheshimiwa kama anapita Obama. Je? Nimuache au niendelee kumvumilia labda Mungu atambadilisha siku za usoni? Nisaidieni wenzangu
Kumbe na biashara wataka kumfungulia, mmmh hapo ndo atakupigilia misumari kusanduku akuzike !! Tanya janjaruka mapema...!
 
Mmmh, da shosti pole. Huhitaj ushauri wala kwa hilo swala ni swala la kuamua tu. Kama unampenda upo tayar kuvumilia, vumilia kimya kimya bila kulalama. Kama humpendi achana nae fasta. We sema kama unataka ushauri wa utumie mbinu gani kuachana nae ndo utaeleweka
 
Back
Top Bottom