Nimeolewa na golikipa nifanyeje?

Nimeolewa na golikipa nifanyeje?

kama golikipa ndio kepteni, wewe itabidi ucheze mbele (striker au attacking midfielder) ili ushindi upatikane.
 
kabla ya kuwowana hukujua kua ni golikipa au
ni s.t.d 7?ila haina shida kama anadaka magoli ipasavyo
mvumilie tu c una degree bana,uliamua mwenyewe
kua mtumwa wa mapenzi na degree yako haijakusaidia kufikiri!!
 
Degree yako haijakusaidia.
Ila mumeo kaelimika pamoja na darasa lake la saba, akajua achague mke wa aina gani ili ale bata tu.

Abadilike amekuwa kinyonga?

Nina hasira na wewe maana rafiki yangu kaolewa na golikipa, anamtesa kama nini lakini kang'ang'ania tu, mnaudhi kama nini halafu na ushauri hamsikilizi, kazi kulalamika tu kwa matatizo yakujitakia.

Tena, bora aanze kutaka kubebwa mgongoni badala ya kutembea.

Mweeeeeeeeeeeeeeeee! Kongosho mbona umemchoka hivyo mdada wa watu? Lol!
 
Last edited by a moderator:
Degree yako haijakusaidia.
Ila mumeo kaelimika pamoja na darasa lake la saba, akajua achague mke wa aina gani ili ale bata tu.

Abadilike amekuwa kinyonga?

Nina hasira na wewe maana rafiki yangu kaolewa na golikipa, anamtesa kama nini lakini kang'ang'ania tu, mnaudhi kama nini halafu na ushauri hamsikilizi, kazi kulalamika tu kwa matatizo yakujitakia.

Tena, bora aanze kutaka kubebwa mgongoni badala ya kutembea.

mie nimeipenda hii kwakweli
 
itakua labda alikupa vyeti feki wakati mnaoana sasa umekuja gundua vyeti ni feki wakati tayari kakuoa...maana sikuelewi mtu wa darasa la saba kakwambia nini mpaka ukamkubali leo uje kujua kua ulifanya makosa kuolewa nae..
 
Mimi nina degree moja ila nimeolewa na mtu ambaye ana elimu ya msingi na hana shughuli yoyoye anayojishughulisha hata nimuelimishe vipi kuhusu biashara au kuhusu kwenda kujiendeleza hataki yeye anachotaka nimhudumie vyoote. Na mtu mwenyewe hata mapenzi hana ila anachotaka ni kuheshimiwa kama anapita Obama. Je? Nimuache au niendelee kumvumilia labda Mungu atambadilisha siku za usoni? Nisaidieni wenzangu

hukujua yoote haya
wakati unakutana naye,
anakupenda,
anakutongoza,
unamkubalia,
anakupeleka kwa wazazi,
unampeleka kwa wazazi,
mnakubaliana kuoana,
ndoa inpangwa,
barua inapelekwa,
kishika uchumba kinatolewa,
mahari inatolewa,
ndoa inafanyika,
mnapelekana honey moon,
mnaanza maisha mapya,
hapo pote hukujua kuwa ni golikipa leo hii ndo unatambua????
Acha hizo, ni tabia mbaya,
Mungu sio mjomba, kesho atapata utaona aibu na utashindwa konekana mbele za watu wanaokujua.
 
Ahsanteni kwa ushauri wenu ndugu zanguni. Nimepata na pumba nimezichekecha nikapata maneno mazuri mliyonishaurini. POAaaa!!!!
 
eeeh eeeh hivi kumbe degree 1 nayo ni elimu ya kumfanya mtu amdharau mwenzake !!! kama kwenye elimu hakufai naamini kuna maeneo anayamudu vema esp ya kitandani thats why kila ukiwaza kumuacha kwa ajili ya elimu ukikumbuka utamu wa kitandani unamrudia mbio! chezea uroda wewe....
 
lakini kwanini sasa hivi? si aliolewa nae akijua ni golikipa sasa kimetokea nini, au ndio tunarudi pale pale "nitambadilisha"?

aikua kasinzia saiv kazinduka,ashauziwa mbuzi kwenye gunia hahahaha,utajua sasa kama ufanyeje,maana mwenye kutaka kuvunja ndoa yenu nani,akuu,wakati mnatong...zana hamjasema mmeoana hamjasema saiv ndo kwekwekwekwe akuu
 
Nadhani siku ya kwanza ya kukutana faragha na huyu la saba alifanya maajabu ukadhani umekutana na mtu mwenye shahada ya uzamivu.Pole sana japokua tunalaumu zaidi hisia zako.
 
Pole sana dada, yaani umeniuzunishaje!!! Nasikia Kulia.
Hivi wewe mpaka ukaolewa na golikipa, std seven Ulilogwa?
Kwa nini wanawake hamjitambui jamani, umesomeshwa, una kazi yako ya maana kinachokufanya uamue kujitoa KAFALA ni nini? UMEJILIPUA rafiki. Kukata gani tamaa uko, mpaka haujui unataka nini huku duniani.
Ungekuwa karibu yangu NINGEKULABUA KIBAO.

unakosea sana kusema hivyo inamaana mwenye degree asiolewe na std 7?ingekua hivyo bas tena,jiulize wanawake wangapi hawajaenda hata shule na wameolewa na wenye elimu?acha hiyo hulka mbaya tena futa kauli maana mh
 
wakati wanaoana alikuwa na digrii, sasa kapoteza cheti na kufukuzwa kazi.kabaki na cheti cha darasa la saba tu.

ahahaha jaman chet kiliungua au alipoteza?na mazoez ya mpira alikua anafanyia wapi hadi akajua kudaka hivyo?na mbona kwenye vyombo vya habar hatujamsikia huyo goalkeeper OBAMA?tehtehteh
 
na hatimaye kapata option anataka kumsukumia jamaa nje.inawezekana mwanzoni aliolewa kuondoa nuksi, na sasa kampata mume haswa.

aaah sas angeenda tu kuoga maji ya bahari bas nuksi ingeisha mbona?
 
Aise shemu mbona ni bonge la bahati? mumeo golikipa ? sasa wewe uwe foward anzisheni timu,au uwe meneja wake kamuuze BARCA au LIBOLO !

no sio libolo ndhani akamuuze kwenye timu ya dushelele kabisa
 
Madhara ya kukimbilia ndoa ili nawe uonekane miongoni mwa walioolewa! umeshasafisha nyota inang'aaaa wataka pa kwenda kumulika haahaa! kweli bongo ni soko la used....
 
Mimi nina degree moja ila nimeolewa na mtu ambaye ana elimu ya msingi na hana shughuli yoyoye anayojishughulisha hata nimuelimishe vipi kuhusu biashara au kuhusu kwenda kujiendeleza hataki yeye anachotaka nimhudumie vyoote. Na mtu mwenyewe hata mapenzi hana ila anachotaka ni kuheshimiwa kama anapita Obama. Je? Nimuache au niendelee kumvumilia labda Mungu atambadilisha siku za usoni? Nisaidieni wenzangu

Wakati mnaoana ulizingatia size ya uume, sasa ndio unakuja kukumbuka degree yako na biashara saa hizi!
 
Mimi nina degree moja ila nimeolewa na mtu ambaye ana elimu ya msingi na hana shughuli yoyoye anayojishughulisha hata nimuelimishe vipi kuhusu biashara au kuhusu kwenda kujiendeleza hataki yeye anachotaka nimhudumie vyoote. Na mtu mwenyewe hata mapenzi hana ila anachotaka ni kuheshimiwa kama anapita Obama. Je? Nimuache au niendelee kumvumilia labda Mungu atambadilisha siku za usoni? Nisaidieni wenzangu

Kama ni golikipa nakushauri mpigie Mashuti makali kwa karibu akidaka mpe namba ya kudumu.

women huu ndo ujinga wenu.

umeshajiuliza ni wanaume wangapi wanaishi na wanawake wasiyo na mchango wa kifedha kwenye familia zao na hawalalamiki?
 
Back
Top Bottom