Nimeolewa na golikipa nifanyeje?

Nimeolewa na golikipa nifanyeje?

Mimi nina degree moja ila nimeolewa na mtu ambaye ana elimu ya msingi na hana shughuli yoyoye anayojishughulisha hata nimuelimishe vipi kuhusu biashara au kuhusu kwenda kujiendeleza hataki yeye anachotaka nimhudumie vyoote. Na mtu mwenyewe hata mapenzi hana ila anachotaka ni kuheshimiwa kama anapita Obama. Je? Nimuache au niendelee kumvumilia labda Mungu atambadilisha siku za usoni? Nisaidieni wenzangu

What if it was the vise versa? Ungeachwa kwa sababu hiyo?
 
Yeye ndiye mwenye degree na wewe ni darasa la saba.

Mimi nina degree moja ila nimeolewa na mtu ambaye ana elimu ya msingi na hana shughuli yoyoye anayojishughulisha hata nimuelimishe vipi kuhusu biashara au kuhusu kwenda kujiendeleza hataki yeye anachotaka nimhudumie vyoote. Na mtu mwenyewe hata mapenzi hana ila anachotaka ni kuheshimiwa kama anapita Obama. Je? Nimuache au niendelee kumvumilia labda Mungu atambadilisha siku za usoni? Nisaidieni wenzangu
 
dada yaani leo ndio unagundua kiwango chake cha elimu ni tatizo?!
 
kipindi anakuoa kwani hukunua kama yeye ni Yahaya leo ndio unagundua. Mpe mtaji uone kama hatafanya kazi
 
unakosea sana kusema hivyo inamaana mwenye degree asiolewe na std 7?ingekua hivyo bas tena,jiulize wanawake wangapi hawajaenda hata shule na wameolewa na wenye elimu?acha hiyo hulka mbaya tena futa kauli maana mh

Unajua acheni kutoa ushauri wa kusadikika. Tofauti ya elimu/kipato ikiwa kubwa sana ni tatizo kwenye mahusiano ya aina yoyote especially mwanaume anapokuwa chini. Naturally, mwanaume ni mtawala sasa utatawala vp wakati U have nothing, matokeo yake unambebesha mke wako majukumu ambayo sio yake. Tatizo lipo, hata kama hautaki kuliona.
 
kama mlifunga ndoa kanisani jaribu kumwelimisha tu taratibu atabadilika,vp ulipenda usharobaro wake nini?sasa yamekukuta
 
Hakyamama........ unasema kweli.....
Preta!
Bazazi ni mwanaTANU halisi
Anaamini katika imani za chama;
Mojawapo na ya maana zaidi kwake ni hii!

"Ntasema kweli Daima Fitina Kwangu Mwiko"
Li roho yangu linakudodokea;
Naam kila nionapo Comment zako zilizokwenda shule
Shule ya darasani na kuzurua kunako dunia.

Bazazi
 
Last edited by a moderator:
Inawezekana wakati wa uchumba alikuwa na masters ila elimu imeshuka mpka darasa la saba baada ya kufunga ndoa. hahahahahaaaaa JF bana ndio maana naipenda. Tulia na mumeo wewe shule na maisha ni vitu viwili tofauti. Tafuteni muda wa kujadili matatizo yenu na usikimbilie kutafuta suluhisho la muda mfupi litakucost zaidi. Kwani MMeshazaa watoto.
 
Mafahali wawili hawakai zizi moja acha ushamba kwani aliyekuoa alikuwa mjinga?pamoja na degree yako ya kuungaunga sekondary private,advance pvt,hadi chuo pvt kwa vijisenti vya baba yako alivyokuibia kwenye vyama vya ushirika kipindi cha msimu wa mauzo ya mazao!! acha ufedhuli wako huyo aliyekuoa alikuwa na uwezo kielimu shuleni kumi bora alikuwepo wewe hata twenty hukuwepo ukafaulu kwa vichechi vya wizi na ulaghai wa babako wa mazao ya wakulima hadi leo hii anaitwa mzee wa rumbesa nashangaa leo nasikia una degree wakati ulikuwa mbulula kwa class au ni degree za kumvulia prof chupi aone mapaja? Mimi ni advance ila manzi yangu ananikubali pamoja na degree yake na amejifumza mambo wengi kupitia mimi.
 
Mafahali wawili hawakai zizi moja acha ushamba kwani aliyekuoa alikuwa mjinga?pamoja na degree yako ya kuungaunga sekondary private,advance pvt,hadi chuo pvt kwa vijisenti vya baba yako alivyokuibia kwenye vyama vya ushirika kipindi cha msimu wa mauzo ya mazao!! acha ufedhuli wako huyo aliyekuoa alikuwa na uwezo kielimu shuleni kumi bora alikuwepo wewe hata twenty hukuwepo ukafaulu kwa vichechi vya wizi na ulaghai wa babako wa mazao ya wakulima hadi leo hii anaitwa mzee wa rumbesa nashangaa leo nasikia una degree wakati ulikuwa mbulula kwa class au ni degree za kumvulia prof chupi aone mapaja? Mimi ni advance ila manzi yangu ananikubali pamoja na degree yake na amejifumza mambo wengi kupitia mimi.
 
Mimi nina degree moja ila nimeolewa na mtu ambaye ana elimu ya msingi na hana shughuli yoyoye anayojishughulisha hata nimuelimishe vipi kuhusu biashara au kuhusu kwenda kujiendeleza hataki yeye anachotaka nimhudumie vyoote. Na mtu mwenyewe hata mapenzi hana ila anachotaka ni kuheshimiwa kama anapita Obama. Je? Nimuache au niendelee kumvumilia labda Mungu atambadilisha siku za usoni? Nisaidieni wenzangu
Una degree ya kudesa mpaka DS. Kwa hiyo darasa la saba alitakiwa amwoe nani. Au wewe ulitaka uolewe na degree ngapi. Nani kakudanganya kuwa degree inapunguza kipenyo cha K...
 
Acha kuropoka kwenu au ukoo wenu wote wako na degree au braza ako akipata demu msomi yeye hana elimu utamwambia huyo manzi ake amwache hujafa hujaumbika!leo hii unauhakika kuwa wanao watakuwa wa sampuli gani baadae focus mbele co kwenye hilo paji la uso ulilochosha kwa make up za kichina mapenzi kama mvua yakihamua kunyesha yananyesha tu .
 
Mimi nina degree moja ila nimeolewa na mtu ambaye ana elimu ya msingi na hana shughuli yoyoye anayojishughulisha hata nimuelimishe vipi kuhusu biashara au kuhusu kwenda kujiendeleza hataki yeye anachotaka nimhudumie vyoote. Na mtu mwenyewe hata mapenzi hana ila anachotaka ni kuheshimiwa kama anapita Obama. Je? Nimuache au niendelee kumvumilia labda Mungu atambadilisha siku za usoni? Nisaidieni wenzangu

Mpaka hapo huna sifa ya kuwa mke. Pole kwa mumeo.
 
Mimi nina degree moja ila nimeolewa na mtu ambaye ana elimu ya msingi na hana shughuli yoyoye anayojishughulisha hata nimuelimishe vipi kuhusu biashara au kuhusu kwenda kujiendeleza hataki yeye anachotaka nimhudumie vyoote. Na mtu mwenyewe hata mapenzi hana ila anachotaka ni kuheshimiwa kama anapita Obama. Je? Nimuache au niendelee kumvumilia labda Mungu atambadilisha siku za usoni? Nisaidieni wenzangu

Mh pole shosty. Ulichokitaka cheti cha ndoa umeshakipata sa unalialia nini? Furahia cheti chako mwaya! Nyie wenye vyeti vya ndoa si mnaonaga ambaye hana hicho cheti mnamuangalia kama nyanya chungu? Ukajitahid kwa udi na uvumba bidada hadi ukavikwa pete na cheti juu! Hongera mamy, kuna wenzio hatuna cheti wala pete lakini mola hajatuacha patupu katujaalia vingine. Nawe umepata hivyo ukakosa vingine, ndio dunia ilivyo hupati vyote mtu mmoja.
 
Mh huu ni ushauri ama dongo? Mpe ushauri afanyeje
 
Mimi nina degree moja ila nimeolewa na mtu ambaye ana elimu ya msingi na hana shughuli yoyoye anayojishughulisha hata nimuelimishe vipi kuhusu biashara au kuhusu kwenda kujiendeleza hataki yeye anachotaka nimhudumie vyoote. Na mtu mwenyewe hata mapenzi hana ila anachotaka ni kuheshimiwa kama anapita Obama. Je? Nimuache au niendelee kumvumilia labda Mungu atambadilisha siku za usoni? Nisaidieni wenzangu
Yaani nimeamini "The brain is not an organ to be relied on"
 
Ukipenda boga penda na..........
Kwani kabla ya kuoana hukuona hizo tabia?
Kama mlifunga ndoa ya kikirsto umesahau kuvumiliana kwa tabu, shida , raha mpaka kifo kiwatenganishe?
IF ALL OF THE ABOVE ARE IMPOSSIBLE, DO THE FOLLOWING
Fanya maombi kila mara,watumie marafiki wambadilishe fikra zake labda zimedumaa au zimeganda
Akikuomba fenza kwa matumizi ya kipuuzi mwambia sina nimeishiwa, bana mpaka apate akili ya kutafuta zake
Mpe mifano ya kufanya kazi, na asiyefanya kazi na asile chakula wala uroda...
 
Back
Top Bottom