bahati mbaya
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 578
- 193
Pole sana, ndiyo shida ya kuolewa na mtu ambaye hamuendani ilikuwaje mpaka ukaolewa na mtu wa namna hiyo?
Muombe Mungu aendee kukupa uvumilivu maana mme huyo ni mzingo katika maisha ya siku hizi.
Muombe Mungu aendee kukupa uvumilivu maana mme huyo ni mzingo katika maisha ya siku hizi.