Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

1.Namfeel mno jamaa na siimagine kupotezea hizi feeling.

2.Wakuu nisaidieni namna nitakavyohandle hii situation maana naumia kiukweli natamani niuridhishe moyo wangu ila nawaza consequence
3. kumpotezea jamaa nashindwa naumia at the same time sitaki kuharibu maisha yangu.[/QUOTE]
Hili ni jaribu tu, litapita kama majaribu mengine.
 
1.Namfeel mno jamaa na siimagine kupotezea hizi feeling.

2.Wakuu nisaidieni namna nitakavyohandle hii situation maana naumia kiukweli natamani niuridhishe moyo wangu ila nawaza consequence
3. kumpotezea jamaa nashindwa naumia at the same time sitaki kuharibu maisha yangu.[/QUOTE]
Hili ni jaribu tu, litapita kama majaribu mengine.
 
Haya huwa ni matokeo ya sisi wanaume. Kama hujajifunza mwanamke anataka nini utaendelea kuamini kwamba mwanamke anahitaji pesa, magari nk lakini sio, mfano huyu mleta mada yeye anahitaji attention, care na company ya mumewe tu hizi mali ni kachumbali katika pilau, jifunze hilo utaoa
Ahsante sana
 
potezea tu. acha uzinzi. namake sure vitu vile unataka mwambie husbad akufanyie, ama mfanyie wewe utaona anrespond anakufanyia. simple.
pili hizi simu zitavibnja ndoa nyingi!! mesage tu tayari unahamaki!! jamani mesage isivunje ndoa!!!
 
Ukishakubali ukampa hio MKURANGA yako, jua umewadharirisha wanao, mmeo, wazazi, ndugu na kila yule alie karbu yako, jamaa na wengne atakao wasimulia watakua wakiwaona n madharau tuuu,

watoto wataitwa wa malaya, wazazi wataambiwa wamelea na kuzaa malaya, mume ataambiwa kaoa malaya, ww mwenyewe utajibatiza kwa jina la malaya. haijalsh umechepuka mara ngap, hio moja tuu inatosha kuvunja heshma yote.
Many more evidence dat don trust women,
Ni Sawa tu na mumewe anavyomdhalilisha. Mke anaambiwa kaolewa na malaya, watoto ni watoto wa malaya, mume kajibatiza mwenyewe malaya. Usiombe uone michepuko inavyomdharau huyu mke wa ndoa, mumewe ni kama public pizza, anakitembeza tu nje. Hivi kuolewa na kitombi kama huyu bado ni heshima?
 
Honest is an expensive gift that you cant find from cheap people (Warren Buffet). Madam, katika maisha yako ulitamani kuolewa, ulitamani kuwa na bwana ambaye atakuwezesha muishi maisha mazuri kama vile kuwa na nyumba nzuri ya kuishi, kuwa na usafiri mzuri, kumudu mahitaji ya kimaisha etc. Mwenye enzi Mungu akakujaalia ukavipata SASA HIZO TAMAA ZA KUTAFUTA WANAUME WENGINE UNAZITOA WAPI?

To be honest, hakuna kitu kinacho frustrate kama kuwa na mwanamke asiye ridhika. Huyo mume wako pengine anafanya hivyo kwasababu yako wewe mwenyewe. Inawezekana ukawa hauumpi heshima anayostahili au umekuwa mbinafsi na mchoyo hauko wazi kwenye mambo ya finance au unatumia muda wako mwingi kwenye simu na vifaa vingine vya electronic na kumfanya mpweke awapo nyumbani. Hadithi uliyoileta hapa ni ya upande mmoja kwamba mume wako hakujali. Hivi angekuka hakujali angekuoa? ameacha wanawake wangapi huko barabarani akakuoa wewe? Jiulize mfano ikitokea ukaachwa na mume wako je huyo mume wako siyo husband material? yaani unafikiri wanawake wangapi wangekua proud of your own husband?

Tuliza tamaa zako za mwili wewe ni mwanamke wa mid 30's pengine uko kwenye menopause tulia mamii achana na hao marioos, atakutumia akuache tu hakuna kipya. Alafu siku nyingine ulete story iliyokua balanced
Women will always blamed for their hubby's cheating careers
 
Aisee kulingana na maelezo na uzoefu nilionao kwa nyie viumbe, lazima mtagegedana. Kwa kweli sina la kuongeza hapa. Najua hata wewe unajua nasema ukweli. Kila la kheri
 
Ni changamoto kuwa katika hali Hiyo lakini achana na huyo mtu wekeza muda wako kwa watoto wako.
 
potezea tu. acha uzinzi. namake sure vitu vile unataka mwambie husbad akufanyie, ama mfanyie wewe utaona anrespond anakufanyia. simple.
pili hizi simu zitavibnja ndoa nyingi!! mesage tu tayari unahamaki!! jamani mesage isivunje ndoa!!!
Tusizilaumu simu, sisi ndo tunazitumia kufanyia ushenzi wetu. Usipoitumia vibaya itakuvunjiaje ndoa?
 
Wakuu nahitaji mawazo yenu kwa kipindi hiki cha majaribu nachopitia.

Mi nimeolewa nina miaka kama 9 kwenye ndoa na kwa kipindi hiki chote nimepitia mazuri na changamoto pia ila sikuwahi kujutia ndoa. Jamaa aliyenioa ni msomi na anajua kuitafuta hela. Kiufupi tuna maisha mazuri nina kila kitu nachokihitaji kama nyumba, usafiri wa maana na two beautiful kids.

Katika kipindi cha ndoa nimepitia changamoto kwa huyu mume wangu. Kiufupi anapenda starehe pombe kwa sana na company za washikaji. Mimi sio mnywaji wala sitoki kiivo nikitoka job ni home kuangalia watoto na nyumba. Kiufupi ni mke mwema flani! Yes najiamini kwa hilo. Jamaa nishafumania SMS za wanawake Mara kibao ila naishia kusamehe na sikuwahi kuwaza kulipiza. Huwa nasali sana nikipitia hizi changamoto na Mungu ananivusha salama.

Sasa basi kilichonifanya nilete huu uzi jamvini ni situation niliyonayo now. Kiufupi miezi kama 6 iliyopita nimekutana na jamaa katika kazi flani. Jamaa ana mvuto na alikua ananipa attention flani ivi throughout. Tuliclick haraka sana tukawa close. Ilitokea tu sijui kwanini. Nilinotice jamaa ananicare vibaya sana. Mwanzo nilichukulia poa ila siku zilivoendelea kwenda nikaanza kumfeel taratibu.

The eye contact was awkward btn us na imefika mahali najiona nashindwa kuresist. Nikiwa nae under one room nashindwa kabisa napoteza uchangamfu naishiwa pozi kabisa.Jamaa anaonyesha interest za wazi ila najikaza knowing kwamba am married ataniona a cheap woman.

Huwa tunaongea mambo mengi na ananieleza issues zake kibao. Kuna siku alinifungukia ila nikavunga nikamwambia its better tuwe mbalimbali coz mimi ni mke wa mtu na siwezi cheat on my husband. Baada ya hapo akanikaushia kama wiki. Aisee nilikonda kwa mawazo. Baadae tukaanza kuwasiliana upya na jamaa anaomba kidate na mimi anataka tuspend tym wawili. Kashanialika kwake mara kibao nachomoa. Imefika mahali najiona nitashindwa huko tunakoelekea siko.
Kiufupi kinachonitatiza ni haya yafuatayo:

1.Jamaa anajua mimi ni mke wa mtu so its obvious anataka game tu hakuna mapenzi.

2.Since ni coworker baada ya game nitamwangaliaje ofisini?

3.Naogopa reputation yangu among my workmates wakijua nimetoka na jamaa since wanaume hawana siri. Aisee mi ni mdada ninayejiheshimu na wananiona nina bonge la mume.

4.Namfeel mno jamaa na siimagine kupotezea hizi feeling. Ni mtu anayenifanya niwe happy muda wote, confident about myself na I feel lyk a woman again.

Wakuu nisaidieni namna nitakavyohandle hii situation maana naumia kiukweli natamani niuridhishe moyo wangu ila nawaza consequence, kumpotezea jamaa nashindwa naumia at the same time sitaki kuharibu maisha yangu.
Kwa kuwa umeshajua ni majaribu wala huitaji mawazo/ ushauri
 
Tusizilaumu simu, sisi ndo tunazitumia kufanyia ushenzi wetu. Usipoitumia vibaya itakuvunjiaje ndoa?
mkuunakubaliana kabisa na wewe. mawasiliano yapo mengi sana. unless sms imesema jana ama juzu ile tulifanya ama nifurahi kuwa na wewe. mfano unaona mesage naomba sh 20,000. bila kuwa nauhkika unahamaki huyu mpenzi wako kwa nini aombe hela?
 
Aisee kulingana na maelezo na uzoefu nilionao kwa nyie viumbe, lazima mtagegedana. Kwa kweli sina la kuongeza hapa. Najua hata wewe unajua nasema ukweli. Kila la kheri
Mwanamke si kiumbe wa kukionea huruma
 
Back
Top Bottom