Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

Wakuu nahitaji mawazo yenu kwa kipindi hiki cha majaribu nachopitia.

Mi nimeolewa nina miaka kama 9 kwenye ndoa na kwa kipindi hiki chote nimepitia mazuri na changamoto pia ila sikuwahi kujutia ndoa. Jamaa aliyenioa ni msomi na anajua kuitafuta hela. Kiufupi tuna maisha mazuri nina kila kitu nachokihitaji kama nyumba, usafiri wa maana na two beautiful kids.

Katika kipindi cha ndoa nimepitia changamoto kwa huyu mume wangu. Kiufupi anapenda starehe pombe kwa sana na company za washikaji. Mimi sio mnywaji wala sitoki kiivo nikitoka job ni home kuangalia watoto na nyumba. Kiufupi ni mke mwema flani! Yes najiamini kwa hilo. Jamaa nishafumania SMS za wanawake Mara kibao ila naishia kusamehe na sikuwahi kuwaza kulipiza. Huwa nasali sana nikipitia hizi changamoto na Mungu ananivusha salama.

Sasa basi kilichonifanya nilete huu uzi jamvini ni situation niliyonayo now. Kiufupi miezi kama 6 iliyopita nimekutana na jamaa katika kazi flani. Jamaa ana mvuto na alikua ananipa attention flani ivi throughout. Tuliclick haraka sana tukawa close. Ilitokea tu sijui kwanini. Nilinotice jamaa ananicare vibaya sana. Mwanzo nilichukulia poa ila siku zilivoendelea kwenda nikaanza kumfeel taratibu.

The eye contact was awkward btn us na imefika mahali najiona nashindwa kuresist. Nikiwa nae under one room nashindwa kabisa napoteza uchangamfu naishiwa pozi kabisa.Jamaa anaonyesha interest za wazi ila najikaza knowing kwamba am married ataniona a cheap woman.

Huwa tunaongea mambo mengi na ananieleza issues zake kibao. Kuna siku alinifungukia ila nikavunga nikamwambia its better tuwe mbalimbali coz mimi ni mke wa mtu na siwezi cheat on my husband. Baada ya hapo akanikaushia kama wiki. Aisee nilikonda kwa mawazo. Baadae tukaanza kuwasiliana upya na jamaa anaomba kidate na mimi anataka tuspend tym wawili. Kashanialika kwake mara kibao nachomoa. Imefika mahali najiona nitashindwa huko tunakoelekea siko.
Kiufupi kinachonitatiza ni haya yafuatayo:

1.Jamaa anajua mimi ni mke wa mtu so its obvious anataka game tu hakuna mapenzi.

2.Since ni coworker baada ya game nitamwangaliaje ofisini?

3.Naogopa reputation yangu among my workmates wakijua nimetoka na jamaa since wanaume hawana siri. Aisee mi ni mdada ninayejiheshimu na wananiona nina bonge la mume.

4.Namfeel mno jamaa na siimagine kupotezea hizi feeling. Ni mtu anayenifanya niwe happy muda wote, confident about myself na I feel lyk a woman again.

Wakuu nisaidieni namna nitakavyohandle hii situation maana naumia kiukweli natamani niuridhishe moyo wangu ila nawaza consequence, kumpotezea jamaa nashindwa naumia at the same time sitaki kuharibu maisha yangu.
Nenda kamfunulie tu apige mzigo tena upanue paja kwa ustaa zaidi akupige vema adi umsahau mumeo. Mbona kawaida.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Imeandikwa msiachane isipokua kwa habari ya uasherati na uzinzi....akili kumkichwa..
 
Piga maombi ondoa hayo mawazo ,km ulivosema wanaume hawana siri the end of the day atakutangaza,na utakosa furaha pindi ukishasex nae so,ni vema ukaacha kabla hujaumia na kujuta
 
Honest is an expensive gift that you cant find from cheap people (Warren Buffet). Madam, katika maisha yako ulitamani kuolewa, ulitamani kuwa na bwana ambaye atakuwezesha muishi maisha mazuri kama vile kuwa na nyumba nzuri ya kuishi, kuwa na usafiri mzuri, kumudu mahitaji ya kimaisha etc. Mwenye enzi Mungu akakujaalia ukavipata SASA HIZO TAMAA ZA KUTAFUTA WANAUME WENGINE UNAZITOA WAPI?

To be honest, hakuna kitu kinacho frustrate kama kuwa na mwanamke asiye ridhika. Huyo mume wako pengine anafanya hivyo kwasababu yako wewe mwenyewe. Inawezekana ukawa hauumpi heshima anayostahili au umekuwa mbinafsi na mchoyo hauko wazi kwenye mambo ya finance au unatumia muda wako mwingi kwenye simu na vifaa vingine vya electronic na kumfanya mpweke awapo nyumbani. Hadithi uliyoileta hapa ni ya upande mmoja kwamba mume wako hakujali. Hivi angekuka hakujali angekuoa? ameacha wanawake wangapi huko barabarani akakuoa wewe? Jiulize mfano ikitokea ukaachwa na mume wako je huyo mume wako siyo husband material? yaani unafikiri wanawake wangapi wangekua proud of your own husband?

Tuliza tamaa zako za mwili wewe ni mwanamke wa mid 30's pengine uko kwenye menopause tulia mamii achana na hao marioos, atakutumia akuache tu hakuna kipya. Alafu siku nyingine ulete story iliyokua balanced
 
kwanza mwanaume anaekutaka na wewe ni mke wa mtu jua hakupendi wala hana akili
anakupenda kwa sababu anajua wewe ni cheap huna gharama na akishakukula atakuzarau kama takataka vile na kukutangaza utashangaa unatongozwa na ofisi nzima
Hapa umeongea point.
 
Wakuu nahitaji mawazo yenu kwa kipindi hiki cha majaribu nachopitia.

Mi nimeolewa nina miaka kama 9 kwenye ndoa na kwa kipindi hiki chote nimepitia mazuri na changamoto pia ila sikuwahi kujutia ndoa. Jamaa aliyenioa ni msomi na anajua kuitafuta hela. Kiufupi tuna maisha mazuri nina kila kitu nachokihitaji kama nyumba, usafiri wa maana na two beautiful kids.

Katika kipindi cha ndoa nimepitia changamoto kwa huyu mume wangu. Kiufupi anapenda starehe pombe kwa sana na company za washikaji. Mimi sio mnywaji wala sitoki kiivo nikitoka job ni home kuangalia watoto na nyumba. Kiufupi ni mke mwema flani! Yes najiamini kwa hilo. Jamaa nishafumania SMS za wanawake Mara kibao ila naishia kusamehe na sikuwahi kuwaza kulipiza. Huwa nasali sana nikipitia hizi changamoto na Mungu ananivusha salama.

Sasa basi kilichonifanya nilete huu uzi jamvini ni situation niliyonayo now. Kiufupi miezi kama 6 iliyopita nimekutana na jamaa katika kazi flani. Jamaa ana mvuto na alikua ananipa attention flani ivi throughout. Tuliclick haraka sana tukawa close. Ilitokea tu sijui kwanini. Nilinotice jamaa ananicare vibaya sana. Mwanzo nilichukulia poa ila siku zilivoendelea kwenda nikaanza kumfeel taratibu.

The eye contact was awkward btn us na imefika mahali najiona nashindwa kuresist. Nikiwa nae under one room nashindwa kabisa napoteza uchangamfu naishiwa pozi kabisa.Jamaa anaonyesha interest za wazi ila najikaza knowing kwamba am married ataniona a cheap woman.

Huwa tunaongea mambo mengi na ananieleza issues zake kibao. Kuna siku alinifungukia ila nikavunga nikamwambia its better tuwe mbalimbali coz mimi ni mke wa mtu na siwezi cheat on my husband. Baada ya hapo akanikaushia kama wiki. Aisee nilikonda kwa mawazo. Baadae tukaanza kuwasiliana upya na jamaa anaomba kidate na mimi anataka tuspend tym wawili. Kashanialika kwake mara kibao nachomoa. Imefika mahali najiona nitashindwa huko tunakoelekea siko.
Kiufupi kinachonitatiza ni haya yafuatayo:

1.Jamaa anajua mimi ni mke wa mtu so its obvious anataka game tu hakuna mapenzi.

2.Since ni coworker baada ya game nitamwangaliaje ofisini?

3.Naogopa reputation yangu among my workmates wakijua nimetoka na jamaa since wanaume hawana siri. Aisee mi ni mdada ninayejiheshimu na wananiona nina bonge la mume.

4.Namfeel mno jamaa na siimagine kupotezea hizi feeling. Ni mtu anayenifanya niwe happy muda wote, confident about myself na I feel lyk a woman again.

Wakuu nisaidieni namna nitakavyohandle hii situation maana naumia kiukweli natamani niuridhishe moyo wangu ila nawaza consequence, kumpotezea jamaa nashindwa naumia at the same time sitaki kuharibu maisha yangu.
Tayari umeshazini maana biblia inasema amtamanie mwanamke ameshazini,haaaa! sijui amtamanie mwanaume inakuwa vipi.
 
Baya ninaloliona ni wewe kuanza kutafuta weakness za mumeo na kujaribu kuzilinganisha na huyo workmate wako ili tu moyo wako umuone ni better person than your husband. Amini usiamini hapo ndipo huyu wanayemwita shetani anaposimama ili akuangushe ms Goodwife as you call yourself
 
Utakuja kujuta aisee una mume bado unawaza upuuzi huo? Ukishafanya nae mapenzi kaa miez 3 ukapime ndipo utajua nn maana ya kumeza punje za ARV
 
Ameshajua udhaifu wako na anataka kuutumia na bahati nzuri umeingia mtegon hakika huchomoki hapo. na baada ya hapo utakuwa na mawazo kupita uliyokuwa nayo sasa....maana hyu yupo kukuvua pichu na hatakuwa na time na ww..
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Wakuu nahitaji mawazo yenu kwa kipindi hiki cha majaribu nachopitia.

Mi nimeolewa nina miaka kama 9 kwenye ndoa na kwa kipindi hiki chote nimepitia mazuri na changamoto pia ila sikuwahi kujutia ndoa. Jamaa aliyenioa ni msomi na anajua kuitafuta hela. Kiufupi tuna maisha mazuri nina kila kitu nachokihitaji kama nyumba, usafiri wa maana na two beautiful kids.

Katika kipindi cha ndoa nimepitia changamoto kwa huyu mume wangu. Kiufupi anapenda starehe pombe kwa sana na company za washikaji. Mimi sio mnywaji wala sitoki kiivo nikitoka job ni home kuangalia watoto na nyumba. Kiufupi ni mke mwema flani! Yes najiamini kwa hilo. Jamaa nishafumania SMS za wanawake Mara kibao ila naishia kusamehe na sikuwahi kuwaza kulipiza. Huwa nasali sana nikipitia hizi changamoto na Mungu ananivusha salama.

Sasa basi kilichonifanya nilete huu uzi jamvini ni situation niliyonayo now. Kiufupi miezi kama 6 iliyopita nimekutana na jamaa katika kazi flani. Jamaa ana mvuto na alikua ananipa attention flani ivi throughout. Tuliclick haraka sana tukawa close. Ilitokea tu sijui kwanini. Nilinotice jamaa ananicare vibaya sana. Mwanzo nilichukulia poa ila siku zilivoendelea kwenda nikaanza kumfeel taratibu.

The eye contact was awkward btn us na imefika mahali najiona nashindwa kuresist. Nikiwa nae under one room nashindwa kabisa napoteza uchangamfu naishiwa pozi kabisa.Jamaa anaonyesha interest za wazi ila najikaza knowing kwamba am married ataniona a cheap woman.

Huwa tunaongea mambo mengi na ananieleza issues zake kibao. Kuna siku alinifungukia ila nikavunga nikamwambia its better tuwe mbalimbali coz mimi ni mke wa mtu na siwezi cheat on my husband. Baada ya hapo akanikaushia kama wiki. Aisee nilikonda kwa mawazo. Baadae tukaanza kuwasiliana upya na jamaa anaomba kidate na mimi anataka tuspend tym wawili. Kashanialika kwake mara kibao nachomoa. Imefika mahali najiona nitashindwa huko tunakoelekea siko.
Kiufupi kinachonitatiza ni haya yafuatayo:

1.Jamaa anajua mimi ni mke wa mtu so its obvious anataka game tu hakuna mapenzi.

2.Since ni coworker baada ya game nitamwangaliaje ofisini?

3.Naogopa reputation yangu among my workmates wakijua nimetoka na jamaa since wanaume hawana siri. Aisee mi ni mdada ninayejiheshimu na wananiona nina bonge la mume.

4.Namfeel mno jamaa na siimagine kupotezea hizi feeling. Ni mtu anayenifanya niwe happy muda wote, confident about myself na I feel lyk a woman again.

Wakuu nisaidieni namna nitakavyohandle hii situation maana naumia kiukweli natamani niuridhishe moyo wangu ila nawaza consequence, kumpotezea jamaa nashindwa naumia at the same time sitaki kuharibu maisha yangu.
Mpatie tu maana hata Mungu alikupa bure...
 
Vyovyote itakavyokuwa baada ya kufanya maamuzi yako, eidha umempa, utampa, umegoma, au bado uko njia panda, bi lornapm, naomba uje na mrejesho hapa tujue.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Ok nilikuwa ctak kuandik ila sabb ww shem....bas hii hapa
1.kumbuk cku ya kwanza kumpenda mumeo unless km huku mpend
2.hvy hvy cku aliyokuvua chup..!!!
3.kumbuk jambo jema alilowahi kukufanyia
4.husiogope kumwambia jambo mumeo huy n wako haswaa kweny sex mana n tatzo kw cc wabongo lile husilopenda
5.mwish ukimpa huy msela nondo hyo nyapu hutampenda mumeo coz...ushajua najua SEE YOU THERE
 
Back
Top Bottom