Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

Mbona sijaona kama wewe umetoa iyo solution? Mi nadhani kama ana zidiwa na hisia bora ange divorce na mume wake amuachie jamaa custody ya watoto, alafu afanye anacho taka kufanya, cheating is so evil
Mi Sina solutions Ila nahofia kuleta confusión kama hao wenzangu!
Yaani sio lazima mimi au wewe ndio tutoe solutions, na umuhimu wa kufanya hivyo ni kuepusha kuleta confusions ambapo mara nyingi huleta madhara zaidi kuliko faida!
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Lorna my dear pole sana na maswahiba yanayokukuta. Amini nakwambia yanawakuta wakina dada wengi. Ni hivi, sisi wanaume ni wajanja sana. Tunajua kuwa wake za watu are yearning for attention. Kuna tatizo ndoa nyingi za siku hizi wanandoa kujisahau both wanaume na wanawake. Binafsi, nimeshatembea na wake za watu zaidi ya wanne. Hawakuwahi kuniomba pesa wala favor yoyote. Nimegundua attention ndio silaha kuu katika kuwala wanawake wapweke. Vitu vidogo sana kama salamu, checking on her, chocolate, na vizawadi vidogo vidogo tu vinawachanganya. Siamini kuwa wewe ni ma.laya kutokana na uliyoyasema. Naamini ni mwanamke decent tu unayetaka kufanya kosa kubwa ambalo madhara yake huyajui na hutakaa kuyasahau ukiamua kuchepuka. Kwa taarifa yako ni kuwa ukimpa jamaa tunda tu ujue umekwisha. Atakuvuruga zaidi na utaharibu ndoa yako. Wake za watu mnakuwaga na wivu sana kwa michepuko yenu. Utakuja kugundulika tu. Somehow women cant control their emotions. Hawa wake za watu niliotembea nao hata leo nikitaka napiga tena. Nakushauri usishindane na mume wako katika kuchepuka. Wewe ni mama wa watoto na ndiye unayeshika familia pamoja. Pindi utakapochepuka na kuachika jamii yote itanyoosha kidole kwako na kukuita mzinzi. Ndoa utakosa, watoto watataabika na kukuchukia, familia na ndugu watakudharau na kibaya zaidi huyo mchepuko wako atakuacha. Steer clear of playaz, ni wanaume hatari sana kwa sababu wanaelewa saikolojia ya wanawake ambayo kwa bahati mbaya inafanana kwa wanawake wote. Atakwambia what you want to hear and do things you want done. Lakini yote ni kukutengeneza tu. Trust me, naongea from first hand experience. Utaumia.
Huu ni ushauri!
Ni Kweli kabisa wake za watu Wengi wameumizwa sababu ya hizi cares za mitongozo!
 
Nikipitiaga thread hizi hamu ya kuoa huwa inapungua kabisa kwa hivi visa tu na baadhi nashuhudia Huku kijijini kwetu Yaan km hamu yangu ya kuoa ingekuwa ni Phone battery basi kwa Sasa nina 24%... Daah
 
  • Thanks
Reactions: SDG
ukiona wew ni mke wa mtu alaf bado unatongozwa ovyo jiangalie vyema !! unanekana ww ni cheap pia unajirahisisha..... !!!
ukichepuka na jamaa kazini utaonekana ovyo ..... lazma siri itavuja.....heshimu ndoa yako.....
 
We nae unaongea nini...kuna mahala nimetetea mume wa mtu kuchepuka?ww vipi aisee..

Silence means yes, concern when other things remain constant.! Kwa kule kuongelea upande wa ke pekee na kukaa kimya bila kuzungumzia me inaweza kuleta tafsiri ya kuwa Kumbe Kwa upande wa pili ni ruksa! Kwa hiyo usitake kumtawaza Mtu kabla hajamaliza kujisaidia!
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Zidisha UPENDO kwa mume wako wewe.. hizo hisia za huyo Jamaa achana nazo..unawajua wanaume wewe???? sikiliza Utampa KIPOCHI MANYOYA atakuchapa NAO mara ya KWANZA, ya PILI na labda ya TATU halafu atakutupa kwenye Dustbin..na of course hapo ofisini itajulikana tu hakuna siri ya wawili inayodumu...TAKE CARE WEWE MWANAMKE..
Na tabia za mabazazi wa ofisini sio ajabu kuna mashindano awe wa kwanza kumla hapo ofisini
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Nikipitiaga thread hizi hamu ya kuoa huwa inapungua kabisa kwa hivi visa tu na baadhi nashuhudia Huku kijijini kwetu Yaan km hamu yangu ya kuoa ingekuwa ni Phone battery basi kwa Sasa nina 24%... Daah
Haya huwa ni matokeo ya sisi wanaume. Kama hujajifunza mwanamke anataka nini utaendelea kuamini kwamba mwanamke anahitaji pesa, magari nk lakini sio, mfano huyu mleta mada yeye anahitaji attention, care na company ya mumewe tu hizi mali ni kachumbali katika pilau, jifunze hilo utaoa
 
achana na huyo shetani dear hata kama una nyege bora ukapige game mbali huko heshima hainunuliwi mamii
Naomba usiku kucha, ndugu yangu wa kike asije kufanywa kama ulivyofanywa wewe.... Mungu awaepushe na hicho kikombe
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Haya huwa ni matokeo ya sisi wanaume. Kama hujajifunza mwanamke anataka nini utaendelea kuamini kwamba mwanamke anahitaji pesa, magari nk lakini sio, mfano huyu mleta mada yeye anahitaji attention, care na company ya mumewe tu hizi mali ni kachumbali katika pilau, jifunze hilo utaoa
Kabisa,
Kujua game ni bonus...!
Kuwa na mali ni bonus...!
Care ndio msingi wa ndoa au mahusiano, so Cash na ujuzi wa game vinapaswa ku-add values kwenye care na sio to substitute hayo ma - Care!
Huyu dada anatoa "nyapu" bure kabisa kwa kijana aliyejua kufanya timing kwa mwanamke aliyekuwa compromised sababu ya kukosa ma-kiss tu ya ki-isidingo!
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Huyo jamaa hana malengo yoyote na wewe mwenye malengo na wewe ni huyo aliekuthamin akakuoa na mungu akawabarik mkapata na watoto.
Shetani atajaribu kukushawishi sana kutenda dhambi hiyo ambayo haina matokeo mazur kwenye maisha yako..
Hebu fikiria watoto wako,je upo tayari kuharibu maisha yako na ya watoto wako kisa mwanaume ambaye amekutamani tu na hana malengo na ww?..
Mimi nina sheria yangu moja inasema hivi"SIO KILA UNACHOKIPENDA LAZIMA UKIPATE"...
Stay away from that guy,Live your life lyk before and lyk you have never had those childish feelings...
Work with him lyk he is nothing else in your life...
Your husband and children is everything have lyk everybody dreaming to have...
Nenda kanisan tubu dhambi ya kutamani ombewa na mungu atakulinda na majaribu ya shetani
[HASHTAG]#OVER[/HASHTAG]
 
Kwanza anajua fika kua wewe ni mke wa mtu, lakini bado anakila dalili ya kukutaka.

Dada angu hana la maana zaidi ya kukufunua tu.Tafadhali kimbia kabisa atakuvunjia ndoa yako. Mpende mumeo aliekupenda na kukuthamini hadi akakuweka ndani, mihemuko ni mibaya sana.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Wakuu nahitaji mawazo yenu kwa kipindi hiki cha majaribu nachopitia.
Mi nimeolewa nna miaka kama 9 kwenye ndoa na kwa kipindi hiki chote nimepitia mazuri na changamoto pia ila sikuwahi kujutia ndoa.Jamaa aliyenioa ni msomi na anajua kuitafuta hela.Kiufupi tuna maisha mazuri nina kila kitu nachokihitaji km nyumba,usafiri wa maana na two beautiful kids.

Ktk kipindi cha ndoa nimepitia changamoto kwa huyu mume wangu.Kiufupi anapenda starehe pombe kwa sana na company za washikaji.Me sio mnywaji wala sitoki kiivo nikitoka job ni home kuangalia watoto na nyumba.Kiufupi ni mke mwema flan!!yes najiamini kwa hilo.Jamaa nishafumania msg za wanawake mara kibao ila naishia kusamehe na sikuwahi kuwaza kulipiza.Huwa nasali sana nikipitia hizi changamoto na Mungu ananivusha salama.

Sasa basi kilichonifanya nilete huu uzi jamvini ni situation niliyonayo now.Kiufupi miezi km 6 iliyopita nimekutana na jamaa ktk kazi flani.Jamaa ana mvuto na alikua ananipa attention flan ivi throughout..Tuliclick haraka sana tukawa close.Ilitokea tu sijui kwa nn..Nilinotice jamaa ananicare vby sana. Mwanzo nilichukulia poa ila siku zilivoendelea kwenda nikaanza kumfeel taratibu.

The eye contact was awkward btn us na imefika mahali najiona nashindwa kuresist.Nikiwa nae under one room nashindwa kabisa napoteza uchangamfu naishiwa pozi kbs.Jamaa anaonyesha interest za wazi ila najikaza knowing kwamba am married ataniona a cheap woman.

Huwa tunaongea mambo mengi na ananieleza issues zake kibao.Kuna siku alinifungukia ila nikavunga nikamwambia its better tuwe mbalimbali coz me ni mke wa mtu na siwezi cheat on my husband.Baada ya hapo akanikaushia km wiki.Aisee nilikonda kwa mawazo.Baadae tukaanza kuwasiliana upya na jamaa anaomba kidate na mm anataka tuspend tym wawili.Kashanialika kwake mara kibao nachomoa.Imefika mahali najiona ntashindwa huko tunakoelekea siko.
Kiufupi kinachonitatiza ni haya yafuatayo:

1.jamaa anajua me ni mke wa mtu so its obvious anataka game tu hakuna mapenzi.

2.Since ni coworker baada ya game ntamwangaliaje ofcn?

3.Naogopa reputation yangu among my workmates wakijua nimetoka na jamaa since wanaume hawana siri.Aisee mi ni mdada nayejiheshimu na wananiona nina bonge la mume.

4.Namfeel mno jamaa na siimagine kupotezea hizi feeling.Ni mtu anayenifanya niwe happy muda wote,confident about myself na I feel lyk a woman again.

Wakuu nisaidieni namna nitakavyohandle hii situation maana naumia kiukweli natamani niuridhishe moyo wangu ila nawaza consequence,kumpotezea jamaa nashindwa naumia at the same time sitaki kuharibu maisha yangu.
You are just a closet whore. Sidhani Kama unajiheshimu.
 
mm uzi wako umenifumbua matatzo yangu kumbe si kila msichana akikuambia siwez kua na ww nna mtu anamaanisha kweli
 
  • Thanks
Reactions: SDG
hivi ukiwa na feelings na mtu lazima akugegede??

fanya kama huyo mtu ni muigizaji unayempenda na huwezi kumpata
au muombe ushauri mumeo
dah aisee nimecheka kinoma sijui hata umewaza nn
 
asante mkuu nashukuru kwa kunishauri bila kunijudge.Mume wangu naongea nae sana ila sijui ndo kashanizoea hata hajali anachukulia poa tu maisha yanasonga.
Haya mambo ya kuendekeza ujinga wa wanaume yatatufikisha pabaya wanawake!!

Yaani yy anagegeda na unajua ila unajiuliza uliza mara mbili..mfanyizie na ww uone kama hajaacha umalaya wake...mxiuuuu
 
Acheni kumsingizia shetani....bidada analipa kisasi
 
Wakuu nahitaji mawazo yenu kwa kipindi hiki cha majaribu nachopitia.
Mi nimeolewa nna miaka kama 9 kwenye ndoa na kwa kipindi hiki chote nimepitia mazuri na changamoto pia ila sikuwahi kujutia ndoa.Jamaa aliyenioa ni msomi na anajua kuitafuta hela.Kiufupi tuna maisha mazuri nina kila kitu nachokihitaji km nyumba,usafiri wa maana na two beautiful kids.

Ktk kipindi cha ndoa nimepitia changamoto kwa huyu mume wangu.Kiufupi anapenda starehe pombe kwa sana na company za washikaji.Me sio mnywaji wala sitoki kiivo nikitoka job ni home kuangalia watoto na nyumba.Kiufupi ni mke mwema flan!!yes najiamini kwa hilo.Jamaa nishafumania msg za wanawake mara kibao ila naishia kusamehe na sikuwahi kuwaza kulipiza.Huwa nasali sana nikipitia hizi changamoto na Mungu ananivusha salama.

Sasa basi kilichonifanya nilete huu uzi jamvini ni situation niliyonayo now.Kiufupi miezi km 6 iliyopita nimekutana na jamaa ktk kazi flani.Jamaa ana mvuto na alikua ananipa attention flan ivi throughout..Tuliclick haraka sana tukawa close.Ilitokea tu sijui kwa nn..Nilinotice jamaa ananicare vby sana. Mwanzo nilichukulia poa ila siku zilivoendelea kwenda nikaanza kumfeel taratibu.

The eye contact was awkward btn us na imefika mahali najiona nashindwa kuresist.Nikiwa nae under one room nashindwa kabisa napoteza uchangamfu naishiwa pozi kbs.Jamaa anaonyesha interest za wazi ila najikaza knowing kwamba am married ataniona a cheap woman.

Huwa tunaongea mambo mengi na ananieleza issues zake kibao.Kuna siku alinifungukia ila nikavunga nikamwambia its better tuwe mbalimbali coz me ni mke wa mtu na siwezi cheat on my husband.Baada ya hapo akanikaushia km wiki.Aisee nilikonda kwa mawazo.Baadae tukaanza kuwasiliana upya na jamaa anaomba kidate na mm anataka tuspend tym wawili.Kashanialika kwake mara kibao nachomoa.Imefika mahali najiona ntashindwa huko tunakoelekea siko.
Kiufupi kinachonitatiza ni haya yafuatayo:

1.jamaa anajua me ni mke wa mtu so its obvious anataka game tu hakuna mapenzi.

2.Since ni coworker baada ya game ntamwangaliaje ofcn?

3.Naogopa reputation yangu among my workmates wakijua nimetoka na jamaa since wanaume hawana siri.Aisee mi ni mdada nayejiheshimu na wananiona nina bonge la mume.

4.Namfeel mno jamaa na siimagine kupotezea hizi feeling.Ni mtu anayenifanya niwe happy muda wote,confident about myself na I feel lyk a woman again.

Wakuu nisaidieni namna nitakavyohandle hii situation maana naumia kiukweli natamani niuridhishe moyo wangu ila nawaza consequence,kumpotezea jamaa nashindwa naumia at the same time sitaki kuharibu maisha yangu.
Daah hapo kwenye "attention fulan" hapo ndio wake za watu wanapotafunwa aisèee maana nimeona sana hii mke usipompa attention halafu mtu akatokea kidogo aiseee atamramba taratibuu, najua unakaza ila ipo siku mwenyew utaaachia, raha couples wote wote muwe na tabia moja kama wanywaji bora muwe wote wanywaji ila wew hunywi na jamaa mlevi aiseee huyo ategemee kumegewa
 
Back
Top Bottom