kuna wanawake pesa wanapata attention wanapata lakini bado hawaridhikiHaya huwa ni matokeo ya sisi wanaume. Kama hujajifunza mwanamke anataka nini utaendelea kuamini kwamba mwanamke anahitaji pesa, magari nk lakini sio, mfano huyu mleta mada yeye anahitaji attention, care na company ya mumewe tu hizi mali ni kachumbali katika pilau, jifunze hilo utaoa
Kuwa wengine care lakini hawajui ku appreciateKabisa,
Kujua game ni bonus...!
Kuwa na mali ni bonus...!
Care ndio msingi wa ndoa au mahusiano, so Cash na ujuzi wa game vinapaswa ku-add values kwenye care na sio to substitute hayo ma - Care!
Huyu dada anatoa "nyapu" bure kabisa kwa kijana aliyejua kufanya timing kwa mwanamke aliyekuwa compromised sababu ya kukosa ma-kiss tu ya ki-isidingo!
Hao wa hivyo hawawezi kukosa, lakini amini kabisa asilimia kubwa ya wanawake wakipata hayo wanaridhikakuna wanawake pesa wanapata attention wanapata lakini bado hawaridhiki
tatizo kuubwa kabisa ni kwamba ukishaanza na huyo hautaishia hapo. Utaenda na kwa mwingine na mwingine. Achana naye kabisa huyo. Simama kwenye ndoa yako dada.
Kwani heshima sh ngapi mkuu , muache dada wa watu afanye kitu roho inapenda.Ukishakubali ukampa hio MKURANGA yako, jua umewadharirisha wanao, mmeo, wazazi, ndugu na kila yule alie karbu yako, jamaa na wengne atakao wasimulia watakua wakiwaona n madharau tuuu,
watoto wataitwa wa malaya, wazazi wataambiwa wamelea na kuzaa malaya, mume ataambiwa kaoa malaya, ww mwenyewe utajibatiza kwa jina la malaya. haijalsh umechepuka mara ngap, hio moja tuu inatosha kuvunja heshma yote.
Many more evidence dat don trust women,
Kwani heshima sh ngapi mkuu , muache dada wa watu afanye kitu roho inapenda.
Ikisimama apande tu
We learn from mistakes mkuu. Hutaki mwenzako apate somo kidogo ?Hahhaa mfariji tuu mkuu, ila hembu ajiulize km alimchunia tu kdg jamaa akampotezea, je akishamvua chupii??
hahaaa, au sio tumuombe atupe mrejesho basii,We learn from mistakes mkuu. Hutaki mwenzako apate somo kidogo ?
Mrejesho utakuwa ku Regret tuhahaaa, au sio tumuombe atupe mrejesho basii,
yaaan kidoooogo angeniambia jamaa nae ameoa pengne anaweza mtunzia siri, ila bachela km mm lazma niweke mabangoMrejesho utakuwa ku Regret tu
Kuna mahali naona amesema jamaa ni mme wa mtu kama sjakosea. Pitia tena utaonayaaan kidoooogo angeniambia jamaa nae ameoa pengne anaweza mtunzia siri, ila bachela km mm lazma niweke mabango
Mkuu mbona umeandika kwa ghadhabu sana. Kuna tatizo lolote huko ulikotoka ?mi wanawake ya kiafrika mi malaya sana ..
Jiheshimu Mkuu, kama unakibamia ukaachwa hilo ni jambo jengine. Mbona huyo mwanaume wa huyu mtoa mada hujamponda ila aliyefikwa na jaribu anaomba ushauri ndo utukane wanawake wote? Loooooohmi wanawake ya kiafrika mi malaya sana ..