Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

ASHINDWE HUYO SHETANI ALIYEKUINGIA ROHONI MWAKO, HUO NI MTIHANI MDOGO SOMETIMES UNAPEWA KUPIMA IMANI YAKO
 
Hahahaha kweli wee kichwa maji yaani shetani kukudanganya na wewe umedanganyika eti unamfeel jamaa?? Haya maisha ni yako so endelea na mipango yako uyaharibu ukitaka kuwa kahaba kabisa ukauze barabarani ni maisha yako, mkataa pema pabaya panamuita
 
mmh hapa sina ushauri najua ushetani wangu ungenipeleka wapi.. kwenye pesa sasa fuata ushauri wa wengine aisee
 
Wat a life scenario" IF LOVING YOU IS WRONG" naipenda hii series...No comment
 
Wewe dada tunza ahadi yako ya ndoa.Hicho kinachokunyemelea ni roho ya uzinzi na huyo jamaa uliyefall kihisia kwake anatumiwa na shetani kutaka kuvunja ndoa yako. Ukithubutu tu ndoa yako lazima ivunjike. Kama wewe ni mkristo soma 2Wakorintho 6:15-20 has mstari wa 18 na 19 na 2Wakorintho 3:16 na 17. Tambua kiss mwili wako ni hekalu la Roho mtakatifu. Hivyo unapashwa kumtukuza Mungu loutish mwili wako siyo kuutumia katika dhambi ya kuchafua hekalu la Mungu ambao ndio mwili wako.
 
Hizo fix za kuandika Tabia mbaya za mumeo unaonesha tayari jamaa keshakuteka! Unasikitisha kwenye ndoa miaka 9 bado hujaijua ndoa! We mpe Tu jamaa Hizo ndio ndoa za Dot.com.
 
Acha acha acha kabisa huyo jamaa ni muhuni kabisa ngoja siku zitakuja atapata Mdada mwingine na wakati wewe umeshatoa mwili wako kwahiyo huo ukaribu hauta uona tena
 
I like that, cheating career! guys don't cheat, we are just natural polygamist babe.
Ukweli ambao hamtaki kuukubali, ni kwamba hata wanawake hatujaumbiwa kuridhika, so tunacheat vizuri tu ila ndo tunafanya kwa siriiiiiii, shahidi yetu mkemia mkuu hahha
 
Ukweli ambao hamtaki kuukubali, ni kwamba hata wanawake hatujaumbiwa kuridhika, so tunacheat vizuri tu ila ndo tunafanya kwa siriiiiiii, shahidi yetu mkemia mkuu hahha
Yeah babe, that's very true, women are professional cheaters, guys just cheat randomly, ila cheating competition will get us no where, tutulie tu, ZINAFANANA na ZOTE TAMU
 
tusiwe tuna umiza kichwa bure hapa kwanza tuambie wew kabila gan den tukushaur tusije kuwa tuna twanga maji kwenye kinu
 
Wote tutulie na ndoa zetu... couldn't agree more
That's my girl, you know, cheating is not good, i am not fond of guy or chick who cheats. This sweet married woman was in dilemma and so i had to get her back to her senses. Otherwise she is full of love and honest.
 
Any way una watoto wangapi? Unaipenda familia yako? Je kila mwanaume unayekuwa nae close huwa una mpenda,take care Lea watoto acha tamaa
 
Back
Top Bottom