Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

Wakuu nahitaji mawazo yenu kwa kipindi hiki cha majaribu nachopitia.

Mi nimeolewa nina miaka kama 9 kwenye ndoa na kwa kipindi hiki chote nimepitia mazuri na changamoto pia ila sikuwahi kujutia ndoa. Jamaa aliyenioa ni msomi na anajua kuitafuta hela. Kiufupi tuna maisha mazuri nina kila kitu nachokihitaji kama nyumba, usafiri wa maana na two beautiful kids.

Katika kipindi cha ndoa nimepitia changamoto kwa huyu mume wangu. Kiufupi anapenda starehe pombe kwa sana na company za washikaji. Mimi sio mnywaji wala sitoki kiivo nikitoka job ni home kuangalia watoto na nyumba. Kiufupi ni mke mwema flani! Yes najiamini kwa hilo. Jamaa nishafumania SMS za wanawake Mara kibao ila naishia kusamehe na sikuwahi kuwaza kulipiza. Huwa nasali sana nikipitia hizi changamoto na Mungu ananivusha salama.

Sasa basi kilichonifanya nilete huu uzi jamvini ni situation niliyonayo now. Kiufupi miezi kama 6 iliyopita nimekutana na jamaa katika kazi flani. Jamaa ana mvuto na alikua ananipa attention flani ivi throughout. Tuliclick haraka sana tukawa close. Ilitokea tu sijui kwanini. Nilinotice jamaa ananicare vibaya sana. Mwanzo nilichukulia poa ila siku zilivoendelea kwenda nikaanza kumfeel taratibu.

The eye contact was awkward btn us na imefika mahali najiona nashindwa kuresist. Nikiwa nae under one room nashindwa kabisa napoteza uchangamfu naishiwa pozi kabisa.Jamaa anaonyesha interest za wazi ila najikaza knowing kwamba am married ataniona a cheap woman.

Huwa tunaongea mambo mengi na ananieleza issues zake kibao. Kuna siku alinifungukia ila nikavunga nikamwambia its better tuwe mbalimbali coz mimi ni mke wa mtu na siwezi cheat on my husband. Baada ya hapo akanikaushia kama wiki. Aisee nilikonda kwa mawazo. Baadae tukaanza kuwasiliana upya na jamaa anaomba kidate na mimi anataka tuspend tym wawili. Kashanialika kwake mara kibao nachomoa. Imefika mahali najiona nitashindwa huko tunakoelekea siko.
Kiufupi kinachonitatiza ni haya yafuatayo:

1.Jamaa anajua mimi ni mke wa mtu so its obvious anataka game tu hakuna mapenzi.

2.Since ni coworker baada ya game nitamwangaliaje ofisini?

3.Naogopa reputation yangu among my workmates wakijua nimetoka na jamaa since wanaume hawana siri. Aisee mi ni mdada ninayejiheshimu na wananiona nina bonge la mume.

4.Namfeel mno jamaa na siimagine kupotezea hizi feeling. Ni mtu anayenifanya niwe happy muda wote, confident about myself na I feel lyk a woman again.

Wakuu nisaidieni namna nitakavyohandle hii situation maana naumia kiukweli natamani niuridhishe moyo wangu ila nawaza consequence, kumpotezea jamaa nashindwa naumia at the same time sitaki kuharibu maisha yangu.
Um hapa wote tunadanganya na kudanganywa na kingine hata kama Uta cheat haimaanishi humpendi mumeo wa Familia upendo wa familia utabaki kuwepo tu afu usifikirie kuhusu eti what would the coworkers think of us baada ya kutoka na jamaa HUYO JAMAA NA HAO COWORKERS NI WATU WAZIMA WALA HAITASHUSHA UZURI WAKO NA UMAHILI WAKO KAZINI then jua kitu kimoja asilimia kubwa ya Aina ya uhusiano huo hua ni lazima ulete maafa kwenye ndoa yako kwasababu JAMAA ANAJUA WE UMEOLEWA LAZIMA AKUPE GAME YA MAANA je ukinogewa? Utachukua hatua gani?

Mimi ninajua lazima yatokee maafa ndoani kwako kwasababu nmeshavunja ndoa kama 3 kwa style hii
Na hata Sasa hv ninavyoandika tayari nmesababisha mtu kaachwa na anasema kapururua pesa baadhi kwa mumewe anataka kujenga maisha na mimi

Achana na huyo jamaa Tena kaa nae mbali Sana
natamani niwe huyo jamaa coz I wanna smash your kitty kitty sooo bad

UKIPENDA NENDA NA AKILI YAKO UTALIZWA KILIO KIBAYA SANA NA HATA KAMA UKIACHIKA HUYO JAMAA HATAKUOA AISEE KUTOKA NJE YA NDOA INAHITAJI UMAKINI SANA
 
Atakugegeda siku moja tu na kukutupa kwenye dustbin, kama unaweza kumsaliti mumeo itakuaje yeye mpita njia?!

Acha ushetani ww mtoto wa kike, tulia na mumeo!!
 
1. Kiufupi ni mke mwema flani! Yes najiamini kwa hilo. .... SMS za wanawake Mara kibao ila naishia kusamehe na sikuwahi kuwaza kulipiza.
Zingatia hii.
2.Huwa nasali sana nikipitia hizi changamoto na Mungu ananivusha salama.
Ongeza bidii
3.Jamaa ana mvuto na alikua ananipa attention flani ivi throughout.
Hii itakuletea shida ukiitilia maanani
4.Ilitokea tu sijui kwanini. Nilinotice jamaa ananicare vibaya sana.
Kamtego flani
5.Kashanialika kwake mara kibao nachomoa. Imefika mahali najiona nitashindwa huko tunakoelekea siko.
Toka nduki.
 
Usikilize moyo wako unataka nini! Na cheza mchezo kwa umakini sana na uwe smart u na huyo jamaa. Jipe muda uanze kumchunguza huyo jamaa asije kuwa ni chambo!
 
Wewe umepewa bahati ya ndoa na watoto na maisha mazuri ila Wataka kuharibu yote kwa tamaa. Ebuka shetani Dada yangu. Tulia na familia yako.
 
Rafiki na mpenzi wa kweli ni Mumeo, muadithie jinsi unavyomfeel workmate maana mumeo ndo wa karibu kuliko mtu yeyote
 
Wakuu nahitaji mawazo yenu kwa kipindi hiki cha majaribu nachopitia.

Mi nimeolewa nina miaka kama 9 kwenye ndoa na kwa kipindi hiki chote nimepitia mazuri na changamoto pia ila sikuwahi kujutia ndoa. Jamaa aliyenioa ni msomi na anajua kuitafuta hela. Kiufupi tuna maisha mazuri nina kila kitu nachokihitaji kama nyumba, usafiri wa maana na two beautiful kids.

Katika kipindi cha ndoa nimepitia changamoto kwa huyu mume wangu. Kiufupi anapenda starehe pombe kwa sana na company za washikaji. Mimi sio mnywaji wala sitoki kiivo nikitoka job ni home kuangalia watoto na nyumba. Kiufupi ni mke mwema flani! Yes najiamini kwa hilo. Jamaa nishafumania SMS za wanawake Mara kibao ila naishia kusamehe na sikuwahi kuwaza kulipiza. Huwa nasali sana nikipitia hizi changamoto na Mungu ananivusha salama.

Sasa basi kilichonifanya nilete huu uzi jamvini ni situation niliyonayo now. Kiufupi miezi kama 6 iliyopita nimekutana na jamaa katika kazi flani. Jamaa ana mvuto na alikua ananipa attention flani ivi throughout. Tuliclick haraka sana tukawa close. Ilitokea tu sijui kwanini. Nilinotice jamaa ananicare vibaya sana. Mwanzo nilichukulia poa ila siku zilivoendelea kwenda nikaanza kumfeel taratibu.

The eye contact was awkward btn us na imefika mahali najiona nashindwa kuresist. Nikiwa nae under one room nashindwa kabisa napoteza uchangamfu naishiwa pozi kabisa.Jamaa anaonyesha interest za wazi ila najikaza knowing kwamba am married ataniona a cheap woman.

Huwa tunaongea mambo mengi na ananieleza issues zake kibao. Kuna siku alinifungukia ila nikavunga nikamwambia its better tuwe mbalimbali coz mimi ni mke wa mtu na siwezi cheat on my husband. Baada ya hapo akanikaushia kama wiki. Aisee nilikonda kwa mawazo. Baadae tukaanza kuwasiliana upya na jamaa anaomba kidate na mimi anataka tuspend tym wawili. Kashanialika kwake mara kibao nachomoa. Imefika mahali najiona nitashindwa huko tunakoelekea siko.
Kiufupi kinachonitatiza ni haya yafuatayo:

1.Jamaa anajua mimi ni mke wa mtu so its obvious anataka game tu hakuna mapenzi.

2.Since ni coworker baada ya game nitamwangaliaje ofisini?

3.Naogopa reputation yangu among my workmates wakijua nimetoka na jamaa since wanaume hawana siri. Aisee mi ni mdada ninayejiheshimu na wananiona nina bonge la mume.

4.Namfeel mno jamaa na siimagine kupotezea hizi feeling. Ni mtu anayenifanya niwe happy muda wote, confident about myself na I feel lyk a woman again.

Wakuu nisaidieni namna nitakavyohandle hii situation maana naumia kiukweli natamani niuridhishe moyo wangu ila nawaza consequence, kumpotezea jamaa nashindwa naumia at the same time sitaki kuharibu maisha yangu.
 
Wewe mdada wasikutishe, humu wanaojifanyaga washahuli wazuri ndio mabingwa wa kuchepuka.
Ebu ridhisha nafsi yako km mume umeongea nae haeleweki na hataki kujirekebisha ufanyaje?? Jiachie duniani tunaishi mara moja.
 
MY Sister temptations is there to rise your faith in another level, japo mtume paulo anatuambia kila mmoja amegawiwa imani kiasi chake tofauti tofauti hapa onesha una hofu kweli ya Mungu pale utakapoamua kutokufanya hilo linalokuja. sio lazima my sister kumuweka huyo mtu anayetaka kukuharibia ndoa yako karibu msalimie ukifika ofisini hayo mengine lazima akae mbali na wewe sio lazima awe karibu yako. kumbuka kuwa mbali na wewe sio kumfanya awe adui hapana ila msalimie kawaida na fanya mambo yako ya msingi BE STRONG akija tena anataka kukuambia huo uchafu hebu mwambie akae mbali na ajiheshimu. okey GOD is reliable since you have recognize that God is available you've got to trust him with all your heart, with all your strength. pray never seas with god all things are possible mweke huyo mtu mwenye pepo la uzinzi mbali na wewe. remain faithfully to God who gave you that husband, God is aware usimwaibishe simama imara itetee imani yako kwa Mungu God will see you through
 
Kuwa mbali na Huyo Jamaa,may be ume develop feelings sbb ya ujirani wenu,umemtamn tu and since una familia utaishia kuivuruga tu familia nd ndo utakaposhtuka kuwa zilikuwa tamaa tu na sio Mapenzi....
Atakupinga vibaya hapa mwisho wa siku atakumaindi kwanini unataka kumpangia marafiki wa kuongea nao. Haya makitu ni ya ajabu sana
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Huyu mdada ashalika msipoteze energy na muda wenu mnatokwa povu tu bure hapa!

Haya mapenzi acheni tu bhana
 
bora mtu wa mbali atleast heshima itakuwepo
Wewe una ushauri wa kumpoteza mwenzio kucheat na mtu wa mbali hailindi hsshima yake kama mwanam,e aliye ktk ndoa. Ushauri unaotoa unaonyesha aidha ushawawi kupigwa chini kwa cheating ama mahusiano yako yashaharibika kwa matokeo ya kucheat so unataka na wengine wafuate mkondo. Nje ya hapo ushakata tamaa na kuwa na mahusiano kwa mienendo yako. Acha kuwaharibu wanawake wenzio
 
Back
Top Bottom