Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

DADA UNATAKA KUCHEPUKA TUUU AU UNAWASILISHA ANDIKO LA KULIPUA BIG CITY OF DODOMA?

WHATS A BIG DEAL ABOUT IT?
 
That's my girl, you know, cheating is not good, i am not fond of guy or chick who cheats. This sweet married woman was in dilemma and so i had to get her back to her senses. Otherwise she is full of love and honest.
Hapo huyu mwanamke ndo angekuwa na tabia za mumewe, mume angeambiwa tu "tafuta mchepuko/muolee mke mwingine", ila kwa mwanamke na lawama anapewa yeye. Siku hizi mwanaume mpumbavu kujisababishia kifo chake mwenyewe
 
me mejiuliza anaandika yote haya na maswali na presentation na maelezo sijui kimekwenda kimerudi!
NI SWALA LA KUWA TU NA AFFAIR AU?
 
me mejiuliza anaandika yote haya na maswali na presentation na maelezo sijui kimekwenda kimerudi!
NI SWALA LA KUWA TU NA AFFAIR AU?
Anatafuta justification ya kucheat. Hana guts hizo, otherwise angeshaingia zamani
 
wewe mtoa mada!
SIKILIZA!
hapa utatupiwa milawama kibao!
JICHEPUKIE WE KWA STAREHE ZAKO!
hao wanaokwambia usichepuke wanatumia hizo hizo simu wanazocommentia humu kuwaambia michepuko yako I love u too!
wewe ubaki na jakamoyo oh heshima heshima!
heshima hiyo kofia ya trafiki kuwa hata ikiwa kwenye stuli ni mamlaka?
 
Hapo huyu mwanamke ndo angekuwa na tabia za mumewe, mume angeambiwa tu "tafuta mchepuko/muolee mke mwingine", ila kwa mwanamke na lawama anapewa yeye. Siku hizi mwanaume mpumbavu kujisababishia kifo chake mwenyewe
You might be right, its mentality, a man thing, but trust me, gone are the days that man was head of the family. Its globalization or westernization or stupidization, come what may, we get to go back to the basics otherwise we are doomed.
 
wewe mtoa mada!
SIKILIZA!
hapa utatupiwa milawama kibao!
JICHEPUKIE WE KWA STAREHE ZAKO!
hao wanaokwambia usichepuke wanatumia hizo hizo simu wanazocommentia humu kuwaambia michepuko yako I love u too!
wewe ubaki na jakamoyo oh heshima heshima!
heshima hiyo kofia ya trafiki kuwa hata ikiwa kwenye stuli ni mamlaka?
Hahahaa aisee nimecheka
 
Anatafuta justification ya kucheat. Hana guts hizo, otherwise angeshaingia zamani
HAHAHAHAHHAA anatuzingua tu!
WE KUCHEPUKA UKATAFUTE GREEN LIGHT JF!
nani anajua kiatu chako kinaokubana na ulipoamua kukichania ili kidole kipumue?
AKHA!
sa hiz hapa kila mtu mtakatifu Teresa na tomas wa akwino!
HEBU MIMI!
 
Hahaa anataka tumpe go ahead
 
Hahaa anataka tumpe go ahead
mwisho atwambia tukamshikie mguu!
mi wangu anishikie nani?
KILA MTU ABEBE MZIGO WAKE MWENYEWE!

THE FACT UMESHAJUA MUME NI BEYOND REPAIR,YET UNAONA KABISA HUNA FURAHA!
BADO UMENG'ANG'ANIA MIMI NA MUME WANGU HATUNA TATIZO KABISA!
tuna binge la ndoa!
tuna kila kitu!
KILA KITU MY FOOOT!
the biggest denial of wanawake wengi!

ilhali hapa unaona kabisa hivyo anayosema kila kitu sio kila kitu kwake!
kila kitu kwake ni UAMINIFU WA MUMEWE,ATTENTION,KUJALIWA,KUJIHISI MWANAMKE!
and yet huyu mtu ATAKWAMBIA AM HAPPILY MARRIED!

ahhhahahahha !
 
wewe mtoa mada!
SIKILIZA!
hapa utatupiwa milawama kibao!
JICHEPUKIE WE KWA STAREHE ZAKO!
hao wanaokwambia usichepuke wanatumia hizo hizo simu wanazocommentia humu kuwaambia michepuko yako I love u too!
wewe ubaki na jakamoyo oh heshima heshima!
heshima hiyo kofia ya trafiki kuwa hata ikiwa kwenye stuli ni mamlaka?
Ushauri mbaya sana, wanawake hawachepuki pasi na kupenda (unless ni kimeo). So akishachepuka upendo ukakolea si ndiyo ndoa imevunjika? hao watoto si ndiyo wameharibikiwa? ukimsomesha mwanamke mmoja umesomesha jumuiya hali kadhalika mwanamke mmoja akiharibikiwa jumuiya nzima imeharibikiwa. Tafakari, zingatia na chukua hatua.
 
NANI KASEMA!
hiyo misemo ya kugandamiza hisia za wanawake ndo MMEHARIBU KABISA HIKI KIZAZI!
WE UNAONA HUYU ALIPOFIKA NI PA KUSHAURIWA ACHEPUKE AU LA?

yanayomchepusha sio mimi my dear!
NI MAISHA ANAYOISHI NA MUME WAKE!
 
Wakuu nahitaji mawazo yenu kwa kipindi hiki cha majaribu nachopitia.

Mi nimeolewa nina miaka kama 9 kwenye ndoa na kwa kipindi hiki chote nimepitia mazuri na changamoto pia ila sikuwahi kujutia ndoa. Jamaa aliyenioa ni msomi na anajua kuitafuta hela. Kiufupi tuna maisha mazuri nina kila kitu nachokihitaji kama nyumba, usafiri wa maana na two beautiful kids.

Katika kipindi cha ndoa nimepitia changamoto kwa huyu mume wangu. Kiufupi anapenda starehe pombe kwa sana na company za washikaji. Mimi sio mnywaji wala sitoki kiivo nikitoka job ni home kuangalia watoto na nyumba. Kiufupi ni mke mwema flani! Yes najiamini kwa hilo. Jamaa nishafumania SMS za wanawake Mara kibao ila naishia kusamehe na sikuwahi kuwaza kulipiza. Huwa nasali sana nikipitia hizi changamoto na Mungu ananivusha salama.

Sasa basi kilichonifanya nilete huu uzi jamvini ni situation niliyonayo now. Kiufupi miezi kama 6 iliyopita nimekutana na jamaa katika kazi flani. Jamaa ana mvuto na alikua ananipa attention flani ivi throughout. Tuliclick haraka sana tukawa close. Ilitokea tu sijui kwanini. Nilinotice jamaa ananicare vibaya sana. Mwanzo nilichukulia poa ila siku zilivoendelea kwenda nikaanza kumfeel taratibu.

The eye contact was awkward btn us na imefika mahali najiona nashindwa kuresist. Nikiwa nae under one room nashindwa kabisa napoteza uchangamfu naishiwa pozi kabisa.Jamaa anaonyesha interest za wazi ila najikaza knowing kwamba am married ataniona a cheap woman.

Huwa tunaongea mambo mengi na ananieleza issues zake kibao. Kuna siku alinifungukia ila nikavunga nikamwambia its better tuwe mbalimbali coz mimi ni mke wa mtu na siwezi cheat on my husband. Baada ya hapo akanikaushia kama wiki. Aisee nilikonda kwa mawazo. Baadae tukaanza kuwasiliana upya na jamaa anaomba kidate na mimi anataka tuspend tym wawili. Kashanialika kwake mara kibao nachomoa. Imefika mahali najiona nitashindwa huko tunakoelekea siko.
Kiufupi kinachonitatiza ni haya yafuatayo:

1.Jamaa anajua mimi ni mke wa mtu so its obvious anataka game tu hakuna mapenzi.

2.Since ni coworker baada ya game nitamwangaliaje ofisini?

3.Naogopa reputation yangu among my workmates wakijua nimetoka na jamaa since wanaume hawana siri. Aisee mi ni mdada ninayejiheshimu na wananiona nina bonge la mume.

4.Namfeel mno jamaa na siimagine kupotezea hizi feeling. Ni mtu anayenifanya niwe happy muda wote, confident about myself na I feel lyk a woman again.

Wakuu nisaidieni namna nitakavyohandle hii situation maana naumia kiukweli natamani niuridhishe moyo wangu ila nawaza consequence, kumpotezea jamaa nashindwa naumia at the same time sitaki kuharibu maisha yangu.
Penzi la nje ya ndoa Tamu sana hebu jaribu uone utamu wake
 
Just follow your heart. Wewe binafsi unajua nini unataka...sidhani kama utafata ushauri wa watu wakati moyo wako unataka kitu kingine. Just do what you want.
 
NANI KASEMA!
hiyo misemo ya kugandamiza hisia za wanawake ndo MMEHARIBU KABISA HIKI KIZAZI!
WE UNAONA HUYU ALIPOFIKA NI PA KUSHAURIWA ACHEPUKE AU LA?

yanayomchepusha sio mimi my dear!
NI MAISHA ANAYOISHI NA MUME WAKE!
My dear, wanawake wanajitambua, ila wasichana ndiyo changamoto. Kimsingi huyo dada amepata crush na drama king and so she cannot handle. I bet that drama king was seducing you usingempa utamu wako
 
mwisho atwambia tukamshikie mguu!
mi wangu anishikie nani?
KILA MTU ABEBE MZIGO WAKE MWENYEWE!

THE FACT UMESHAJUA MUME NI BEYOND REPAIR,YET UNAONA KABISA HUNA FURAHA!
BADO UMENG'ANG'ANIA MIMI NA MUME WANGU HATUNA TATIZO KABISA!
tuna binge la ndoa!
tuna kila kitu!
KILA KITU MY FOOOT!
the biggest denial of wanawake wengi!

ilhali hapa unaona kabisa hivyo anayosema kila kitu sio kila kitu kwake!
kila kitu kwake ni UAMINIFU WA MUMEWE,ATTENTION,KUJALIWA,KUJIHISI MWANAMKE!
and yet huyu mtu ATAKWAMBIA AM HAPPILY MARRIED!

ahhhahahahha !

Umeongea ukweli mchungu. Wengi tunaishi kwenye denial, si unajua kuolewa ni heshima. ..So our lives will always revolve around our marriages no matter what. Teh mbona happily married
 
Dada, kama una hamu ya kubadilisha chakula, ni bora utembee na mtu wa mbali kabisa ambaye hayuko kwenye circle yako.. Trust me, ukigongwa na work mate hiyo siri itavuja tu.. Hilo nakuhakikishia...
Utakua victim wa hilo tukio bila shaka
 
My dear, wanawake wanajitambua, ila wasichana ndiyo changamoto. Kimsingi huyo dada amepata crush na drama king and so she cannot handle. I bet that drama king was seducing you usingempa utamu wako
KUJITAMBUA NI PAMOJA NA KUFAHAMU UNACHOHITAJI WAKATI HUO!
being a woman doesn't make one unneedy!
HICHO NDO MNAKOSEA!
HUWA MNAAMINI SINCE MTU ANAONGEZEKA UMRI BASI NA MAHITAJI YANABADILKA,NO!
ENDELEA KUMTREAT MKEO ULIVYOKUWA UNAMTREAT ALIPOKUWA BINTI!
HAYA MAMBO YA KUAMINIMAHITAJI YA WANAWAKE YANABADILIKA ATI KWA KUWA NI GROWN UP!U ARE LOOSING IT!

acha wawagongee tu!
 
Back
Top Bottom