Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

It takes two to tangle.

It takes two to tangle.

Nakubaliana na msemo wa "it takes two to tangle" (associated with ' it take two to tango'), lakini inabidi kuwa makini jinsi tunavyoutumia kwenye mahusiano. Tango ni dance ya Argentina. Ni nzuri sana. Very beautiful and passionate. Unahitaji watu wawili kucheza hii dance. Lakini wengi wetu tunautumia msemo huu kwenye mapenzi bila kuangalia details za tango.

Kwanza, kwa kawaida unapocheza tango, huwa kunakuwqa leader (mwongozaji) na follower (mwongozwaji). Wachezaji wanakuwa hawana power zinazolingana, kwa maana mwongozaji ndite anaye-control movements za mwongozwaji. Pili, katika dance hii mara nyingi mwongozwaji haruhusiwi ku-balance weight yake kwa miguu yote kwa wakati mmoja. Tatu, tango ina movements mbalimbali ambazo mwongozaji anaweza kuzitumua kuzuia movements za miguu ya mwongozwaji.

Details hizi zinaweza kutumika kwenye mahusiano pia. Mwongozaji anaweza kuwa abuser na mwongozwaji victim. Kuna staili nyingi za tango kama kulivyo na staili nyingi za mahusiano.

For dancing purpses huu msemo ni sahihi kabisa, lakini kwenye mahusiano may not always be the case. That means you can't blame both parties in a conflict whilst there was no balance of power. Kwa hiyo tuwe makini kutomhukumu kila aliye mbele yetu kwa wakati wowote ule.

 
Ivi we mwanamke wanaume walikufanyaje? You are so negatively towards men
Achana nae uyo hawo nao si wale wale tu hakuna tofauti kati ya asha na neema

Unakuta anatoa ushauri kumbe ni mchafu kupita mwenzie
 
  • Thanks
Reactions: SDG
ungekuwa unajiheshmu as ulivyoandika usingeandika pia upuuzi kiazi ww matamaa yenu tu .....
 
  • Thanks
Reactions: SDG
_20170520_214247.JPG
 
Tulia kwenye ndoa michepuko sio deal mama utajutia tu
 
akishakupanda hizo ndoto zako zote za saa sita mchana zitaisha,na ndipo utakapotuelewa vizri wanaume
 
Back
Top Bottom