Nimeokota peni ya ajabu

Rudisha kwa hao wajamaa wakufafanunulia ni nini hivyo...
 

Kuna mawili, huenda ni almasi au ni vioo tu. Kama ni almasi bado usiwe na mategemeo makubwa saana, maana zinaonekana ni ndogondogo sana. Na kwa vile zimeshachongwa, masonara wanajuana mikato yao, na most likely zinakuwa engraved na alama za sonara husika, hivyo ni rahisi kujulikana ni za nani. Zingekuwa uncut ni rahisi kuuza kwa wanunua vito wamejaa tele, lakini ni vidogovidogo sana bei yake si kivile. Lakini zinaanzaje kuwekwa kwenye pen? Huenda mwenye nazo ni smuggler na hiyo ni njia yake ya kuficha. Anyway, tupe mrejesho
 
Mleta uzi katokea mbavuni, naona uko alipo anafikiria jinsi ya kurudi katika uzi wake, naona atarudi kiufundi zaidi, let & see.
 
Utapeli UtapeliWork
Kesho atakuja mtu kulalamika katapeliwa hela hapa
Kama Upo akilini mwangu ,kesho mtu analia hapa scenario inaanzaga hivi hivi, uokote madini mpaka yana mark ya duka yalikotoka then ujiweke wazi kutaka ushauri kwenye mtandao ! Plz usitufanye wajinga[emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Tupe mrejesho bhana mbona umetokomea mazima?
 
Reactions: MC7

Mbona mleta mada kauliza na kapewa mifano ya kufanya kujua kama ni almasi, kajibu ndiyo kitu 'kimejipa', sasa tumuamini nani wewe, au mleta mada?
 
Kwani sonara anatumia yeye almasi zake? au anauza kwa wateja wake?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…