Nimeoa single mama

Nimeoa single mama

msinishauri juu ya kuishi na kumlea huyo mtoto tafadhali hili ni reply yangu ya mwisho juu ya ushauri wa kuishi na mtoto ambaae so wangu,mtaniwia radhi sana
Sijakushauri uishi na mtoto ila nimekwambia tu jinsi roho yako ilivyo mbaya sana
 
Kijana mbona bado unanafasi ya kuoa mabinti wabichi kabisa kwanini unamuoa huyo single mother tena ana mtoto wa miaka miwili. Vijana wengi wa mijini wabachangamoto sana ya kupata wake ambao hawajazalishwa.
mi kweny suala la kuoa nilipanga nioe mwanamke anajielewa na kujitambua na mwenye akili,mvumilivu wa kila hali yangu na tabia zangu,,hivyo sikuona kwa hao walokuwa hawajazaa nikapata huyu ndo ana sifa zote nazotaka nikaona siwez acha hii bahati.
 
msinishauri juu ya kuishi na kumlea huyo mtoto tafadhali hili ni reply yangu ya mwisho juu ya ushauri wa kuishi na mtoto ambaae so wangu,mtaniwia radhi sana
Sikiq nakuambia ule ukweli mchungu...mwanaume akizalisha mtoto anahitaji mwanamke kama msaada wa kulea mwanae hapo ,hapo mwanaume ukishakuwa na mtoto mapepe yanapungua unakuwa na shauku ya familia.

Ila tambua mwanamke hayuko ivyo kabisa kwanza anahamisha mapenzi kwa mtoto ..ni kwamba kama umeoa single mother tambua hana mapenzi na wewe ni njaa ndo zimempeleka bado ana mapenzi na jamaa na mwanae ...ipo siku noma itakuja sanuka.

Bado kijana utakuja kufa ukiwa mdogo ...wanawake kibao unachukua ambaye jamaa wa kwanza alishamuona kinyaa!! Hana maajabu jamaa akija hapigi Tena sound anaenda fanya yake kimyakimya
 
Hao ni ndugu.
Kinachoangaliwa ni mzizi/chanzo cha kiumbe,
Ndio maana wewe ukizaa na wanaume watatu, mchaga, Msukuma na Mhindi
Watoto hao watakaotoka watakuwa sio kabila au asili moja.
Bali watakuwa ni mmoja mchaga, mwingine msukuma na huyo wa mwisho ni Mhindi.

Lakini mwanaume akizaa na wanawake wa jamii hata kumi, watoto wote wataitwa Kwa asili yake(mwanaume).
Nimekuelewa
 
Nimekuelewa

Yeah!

Ila Kwa upande wa Mama ni ndugu wanaoweza ku-share baadhi ya features Kama kufanana kama wanafanana na Mama Yao lakini linapokuja suala la mzizi au asili hawawezi itwa ndugu na hapa tunazungumzia vinasaba(DNA).

Ndio maana hata watoto wako hawezi kwenda kudai Urithi Kwa Baba ambaye amezaa na wewe kwani sio Baba Yao.

Muhimu kuliko yote.
Kama maisha yanaongozwa na Upendo zaidi.
Mtu Kama ameamua kuishi na mtu mwingine msingi Mkuu uwe ni upendo, alafu akili, na kufuata sheria za Asili na za jamii.
 
Yeah!

Ila Kwa upande wa Mama ni ndugu wanaoweza ku-share baadhi ya features Kama kufanana kama wanafanana na Mama Yao lakini linapokuja suala la mzizi au asili hawawezi itwa ndugu na hapa tunazungumzia vinasaba(DNA).

Ndio maana hata watoto wako hawezi kwenda kudai Urithi Kwa Baba ambaye amezaa na wewe kwani sio Baba Yao.

Muhimu kuliko yote.
Kama maisha yanaongozwa na Upendo zaidi.
Mtu Kama ameamua kuishi na mtu mwingine msingi Mkuu uwe ni upendo, alafu akili, na kufuata sheria za Asili na za jamii.
Ni kweli
 
yani kati ya kosa alilofanya huyu jamaa ni kumuweka mbali huyu mtoto... sasa mama mtoto akiaga anakwenda kumtazama mwanae sijamaa ataumwa kwa pressure?
Sasa mtoto wa miaka miwili angekaa nae kabisa hapo na angetengeneza bond ambayo Mama asingeweza kuwa na sababu ya kumtafutia baba mtoto anayempenda...
Huyu Mama kwanza kichwani sio mzima kabisa hivi kweli mtoto ana miaka miwili unamuacha halafu bado unajiita Mama aiseee....

Huyu jamaa yake anateswa na wivu na lazima jamaa atarudi na atamsumbua sana maana kampa mwanya huo....

Halafu hizi mada za uongo na kweli kuhusu single mother humu watu wanazichukulia serious kiasi wanaenda kuishi hivyo mtaani kitu ambacho kina wakost sana...Sasa kama huyu ndio kaharibu kabisa hata huyo mke wake awezi akampenda kiasi anachodhani...mwanamke ukimtenganisha na mtoto wake basi umekosa asilimia kubwa ya upendo wake..,,huyu jamaa kaponzwa na mada za jf
kama yeye mwenye mtoto pamoja na bibi ake wameridhia mtoto akae kwa bibi ake nyie ni kina nani hadi mseme mama anaumia??
 
Achana nae huyo. Watoto wote uliowazaa wewe ni ndugu, hata kama baba tofauti.

Jidanganye hapo.
Siku ijulikane wewe sio mtoto wa huyo Baba hapo ndio utajua hujui.
Usiishi Kwa kujidanganya au kujifariji hata kama mambo mengine sio uhalisia.

Au kama wewe ni mwanaume subiri Mkeo akuambie mimba aliyoibeba sio yako ndio utaelewa. Vizuri.

Hata kisheria hiyo iko hivyo
 
Dha, kwanza una roho mbaya. Usitegemee baraka katika hiyo ndoa. Huyo mtoto kakukosea nini mpaka umemtenganisha na mama yake. Hivi ungefanyiwa hivyo, ungejusikiaje?. Ngoja nikwambie ukweli huyo mwanamke ni mskivu lakini Si mama mwemwa. Na baraka ambazo ungepata kwa kulea huyo mtoto na kuishi naye ni nyingi mno. Sasa, yanafuata ni machungu zaidi. Nakuhakikishia ndoa isiyo na amani wala baraka. Usichezee na Mungu.
asante kwa mchango wako
 
Back
Top Bottom