Nimeoa single mama

Nimeoa single mama

Nikimwangalia yule first born wangu just in case Mr. Angenikimbia ndo nimwache moto wangu aaah! Haiwezekani aiseeeh nilipo watoto wangu wapo Bora nisiolewe tu.
ndoa ngumu saiv ukibahatika kama ivi tumia frusa vizuri kubaliana masharti yoyote
 
Habarini wakuu,

Wiki hii nimeoa single mom, mtoto wake ana miaka 2 tangu azae jamaa alikimbia na hajulikani alipo hadi sasa hakutoa hata mia kwenye malezi ya mtoto, alisaidiwa kulea mtoto na mama yake, mtoto kamuacha kwao na mimi sitaki kuishi na huyo mtoto wake na yeye ashalikubali hilo maana tangu uchumba wetu wa mwaka mmoja, nishamwambiaga sitokaa na mtoto wako.

Ananipenda sana tena ile sana sijawahi kupendwa kama hivi kwa huu umri wangu wa 29 years nimewaacha wengi sana nimeamua yeye kumuoa nimeona hatasumbua kwa chochote maana ni mpole na msikivu sana.

Nimekuja tu humu kuwapa hiyo taarifa na kuja kuona mnaniusia wosia gani, kwa hiyo karibuni kwa maoni ya jinsi ya kuishi nae, na vitu gani nijitahadhari navyo, ushauri wowote pia unaruhusiwa na chochote ulichonacho cha kuniambia hata kiwe kibaya sawa tu karibu sana.
Humu jf watakuvuruga akili
 
Kwa hiyo watu walozaliwa tofauti baba sio ndugu
Mfano wewe hutaki kuzaa Kwa njia ya kawaida ukaongea na Mumeo mbegu zenu zifanyiwe fertilization alafu kijusi kitakachotokea kiingizwe katika Mfuko wa tumbo la uzazi la mwanamke mwingine, alafu mtoto akazaliwa huyo mtoto atakuwa ndugu na watoto wengine WA huyo mwanamke mwingine mliyemuomba mtoto wenu akae tumboni mwake?

Hivyo hoja ya kuzaliwa tumbo moja sio hoja.
 
Umefanya kosa kubwa sana la kiufundi ww mvulana katika maisha yako....ww ni limbukeni wa mapenzi au domo zege kabisa unaflow na vitonga tu....sasa kabla ya kufa utapigwa kama ngoma swhain kabisa...umepanda mtumbwi wa vibwengo.... 29yrs mtu bogus kabisa hv??? huko shule wanafunguaga hizo mbongo zenu na kujaza usaha au mnaenda shule kukua na sio kukomaza uwezo wa kufiki🤔
 
Duh!!! "tenda wema nenda zako mkuu". nafikiri usemi huu una-apply ktk maisha yako...

But kuna stori scenario moja nimewahi kuishuhudia kijijini kwetu wakati ndiyo nakua. Kwa jirani yetu kulikuwaga na kijana mmoja hivi wa rika letu. Huyu kijana alikuwa hafanani hata chembe na Baba yake bali alikuwa anafanana na mzee mwingine kutoka kijiji cha pili yaani kopi hasa wazungu waneseama.

Miaka nenda rudi ikasogea tukawa tumepotezana kutokana na pirika pirika za maisha. Kumbe yule mzee wa jirani alioa mwanamke ambae tayari alikuwa na ujauzito ukiwa mdogo sana bila kujua na hatimae mke wake akaja akajifungua ndiyo yule dogo namzungumzia. Baadae yule mzee alifariki na mtoto alipokuja kukua Mama yake ilibidi amwambie ukweli kuwa baba yake mzazi ni yule wa kijiji cha pili. Hivyo yule kijana ilibidi aende kuishi kwa baba yake mzazi na wala hakusita kwa sababu alifanana sana mzee huyo pamoja na watoto wake.

Hivyo, huwezi jua hata kwako inaweza ikatokea badae mtoto akakutafuta mwenyewe, c unajua mahusiano haya yana siri kibao ambazo wakati mwingine mahusiano yakivurugika, kwa wenzetu wasiokuwa na vifua inaeza pelekea mtoto/ watoto kujua siri hizo na kuchukua maamuzi mengine....
Akinitafuta sawa asiponitafuta sawa as longest baba yake wa kufikia anamuonesha mapenzi inatosha..kubwa zaidi mzazi mwenzangu na mme wake wanafuraha ya ndoa yao MOYO WANGU MIMI MWEUPE
 
Bwana mdogo huo ushauri wako ungekuja kutuomba kabla ya kumuoa huyo singeli maza nadhani ingekuwa vizuri zaidi,, ila kwa kuwa ushamuoa, nakushauli kama mahari kama hujamalizia kulipa sikilizia kidogo hata miezi sita alafu ndo umalizie
sijamaliza nimetoa faini tu kidogo sana
 
Lazima wawasiliane Mkuu.
Hao wameunganishwa na mtoto.
Sasa atampigaje chini wanapowasiliana na Mzazi mwenza kujua maendeleo ya mtoto wao.
Kumbuka yeye sio mzazi WA huyo mtoto.

Yeye atulie tuu Kama kaamua kuvulia maji nguo itampasa ayaoge tuu.

Maana kuwasiliana ni Jambo la hakika. Iwe Leo au kesho au miaka kumi ijayo lazima watawasiliana tuu.

Asije kumuongezea Dada wa wato mzigo wa watoto kama hajaamua Kwa dhati
Hapo kwenye mawasiliano Mimi mzazi mwenzangu alikataa kabisa na akaenda mbali zaidi akasema mtoto sio wangu
 
Hongera mkuu ila huyo mtoto utake usitake baada ya miaka miwili utaishi nae tu.
nimesema siwezi jamn mbona unanilazimisha? ,,,,kuishi nae labda bibi yake na mama ake mdogo wanayeishi naye wafariki, tofauti na apo siwez
 
Halafu inakuwaje mwanamke unaacha mtoto wako wa miaka 2 eti unaenda kuolewa? Hii ngumu kumeza. Unaacha mtoto wako then unaenda kuzaa wengine huko. Yaani huko ni kumnyanyasa mtoto. Yaani anakosa malezi ya baba na mama.
analelewa vizuri mno ,,hilo lisikupe shida
 
Mi nakushauri kila mwezi uwe unakatumia hako katoto kake 10,000 kama posho ya kumpoza mama mkwe wakati nyie mnabingirika
ma mkwe hana shida ya pesa anayo ya kutosha
 
Sio vizuri kutenganisha mama na mtoto, please chukua huyo mtoto mtunze kama mwanao na apate mapenzi ya mama yake, watoto ni watoto tuu hata kama sio damu yako na anaweza kuja kukupenda, kukusaidia na kukuheshimu kuliko hata wa damu yako
ni ngumu jamaa angu japo uloongea ni kweli ila kwangu ni ngumu sana
 
Jiandae kisaikolojia kupatwa na PTSD au Schizophrenia ni rahisi sana unapoingia kwenye mahusiano na single mother ikiwa wewe sio single father,
fafanua vizuri mkuu sijakuelewa
 
Ishi nae kwa tahadhari.

Jamaa aliekimbia siku akizipata Hela atarudi watapasha kiporo.

Single Mpe 40% kwamba hatakucheat kwa jamaa aliezaa nae tena hapo nimempendelea sana

Anaweza kucheat kwa mwingine yoyote ila akicheat kwa jamaa aliezaa nae imekula kwako utajuta kuzaliwa.
siku nikijua hamna msamaha apo ni kutimua mara moja
 
Back
Top Bottom