Nimeoa single mama

Nimeoa single mama

I know we can't be together right now, we're just too far apart, and I understand that. I also know that logically you will probably never actually see this letter, either. But the same part of me that knows we will be together always, regardless of the way things are right now, believes you will somehow find this letter.

I love you with every part of my being. I love you wholly and selflessly, and I know I am nothing without loving you. I will wait for you always, and I have loved you since the day I met you. That night in my car, in the first ten minutes when we got to know each other on the way to that party, I knew you were the right one. I had been hurt so much before, I didn't think I even believed in that fairy tale of love anymore, but you made me believe in it again, without even knowing it.

I know now that somehow we will be together always, and I will one day be with you again. I look forward to nothing more than spending the rest of my life trying to make you as happy as you make me. I love you more than words could ever say, and with that I end my love letter to you.

Umenikumbusha mambo ya high school
 
Baba wa mtoto anawacheki tu anajisemea hihihiii bagosha!!

yani kati ya kosa alilofanya huyu jamaa ni kumuweka mbali huyu mtoto... sasa mama mtoto akiaga anakwenda kumtazama mwanae sijamaa ataumwa kwa pressure?
Sasa mtoto wa miaka miwili angekaa nae kabisa hapo na angetengeneza bond ambayo Mama asingeweza kuwa na sababu ya kumtafutia baba mtoto anayempenda...
Huyu Mama kwanza kichwani sio mzima kabisa hivi kweli mtoto ana miaka miwili unamuacha halafu bado unajiita Mama aiseee....

Huyu jamaa yake anateswa na wivu na lazima jamaa atarudi na atamsumbua sana maana kampa mwanya huo....

Halafu hizi mada za uongo na kweli kuhusu single mother humu watu wanazichukulia serious kiasi wanaenda kuishi hivyo mtaani kitu ambacho kina wakost sana...Sasa kama huyu ndio kaharibu kabisa hata huyo mke wake awezi akampenda kiasi anachodhani...mwanamke ukimtenganisha na mtoto wake basi umekosa asilimia kubwa ya upendo wake..,,huyu jamaa kaponzwa na mada za jf
 
Habarini wakuu,

Wiki hii nimeoa single mom, mtoto wake ana miaka 2 tangu azae jamaa alikimbia na hajulikani alipo hadi sasa hakutoa hata mia kwenye malezi ya mtoto, alisaidiwa kulea mtoto na mama yake, mtoto kamuacha kwao na mimi sitaki kuishi na huyo mtoto wake na yeye ashalikubali hilo maana tangu uchumba wetu wa mwaka mmoja, nishamwambiaga sitokaa na mtoto wako.

Ananipenda sana tena ile sana sijawahi kupendwa kama hivi kwa huu umri wangu wa 29 years nimewaacha wengi sana nimeamua yeye kumuoa nimeona hatasumbua kwa chochote maana ni mpole na msikivu sana.

Nimekuja tu humu kuwapa hiyo taarifa na kuja kuona mnaniusia wosia gani, kwa hiyo karibuni kwa maoni ya jinsi ya kuishi nae, na vitu gani nijitahadhari navyo, ushauri wowote pia unaruhusiwa na chochote ulichonacho cha kuniambia hata kiwe kibaya sawa tu karibu sana.
Naona umeamua kujiunga na baba wa mtoto kumfanyia ukatili huyo malaika. Kaanza baba yake kwa kujitenga nae na wewe unamalizia kwa kumtenganisha na mama yake. Hebu acha angalau mtoto afaidi mapenzi ya mama yake.
 
I know we can't be together right now, we're just too far apart, and I understand that. I also know that logically you will probably never actually see this letter, either. But the same part of me that knows we will be together always, regardless of the way things are right now, believes you will somehow find this letter.

I love you with every part of my being. I love you wholly and selflessly, and I know I am nothing without loving you. I will wait for you always, and I have loved you since the day I met you. That night in my car, in the first ten minutes when we got to know each other on the way to that party, I knew you were the right one. I had been hurt so much before, I didn't think I even believed in that fairy tale of love anymore, but you made me believe in it again, without even knowing it.

I know now that somehow we will be together always, and I will one day be with you again. I look forward to nothing more than spending the rest of my life trying to make you as happy as you make me. I love you more than words could ever say, and with that I end my love letter to you.
Bachelor ll esq 😘😘😘
 
Utakuja kujinyonga bure..

20221011_215733.jpg
 
Bidada angekua mkali, huyo bwana wa zamani kumuona mtoto akamuone kwa kina bibi ila home kwa jamaa/mume marufuku kukanyaga.Wengi hawarudi kwa wema wanakuaga na yao.
Ndo Maana nkasema
Sometimes wanaume tuna roho mbaya Sana,
lengo Ni kumharibia TU binti, hamna mapenzi ya dhati ya ghafla namna ile
 
Mawasiliano na ma ex ni No No, whether mna mtoto au hamna. I thought this is common knowledge why is this a discussion. Wanaoenda kukutana na ex kwasababu ya mtoto kapata sababu tu, huenda hata kama kusingekuwa na mtoto angetafuta excuse kuwasiliana naye
 
yani kati ya kosa alilofanya huyu jamaa ni kumuweka mbali huyu mtoto... sasa mama mtoto akiaga anakwenda kumtazama mwanae sijamaa ataumwa kwa pressure?
Sasa mtoto wa miaka miwili angekaa nae kabisa hapo na angetengeneza bond ambayo Mama asingeweza kuwa na sababu ya kumtafutia baba mtoto anayempenda...
Huyu Mama kwanza kichwani sio mzima kabisa hivi kweli mtoto ana miaka miwili unamuacha halafu bado unajiita Mama aiseee....

Huyu jamaa yake anateswa na wivu na lazima jamaa atarudi na atamsumbua sana maana kampa mwanya huo....

Halafu hizi mada za uongo na kweli kuhusu single mother humu watu wanazichukulia serious kiasi wanaenda kuishi hivyo mtaani kitu ambacho kina wakost sana...Sasa kama huyu ndio kaharibu kabisa hata huyo mke wake awezi akampenda kiasi anachodhani...mwanamke ukimtenganisha na mtoto wake basi umekosa asilimia kubwa ya upendo wake..,,huyu jamaa kaponzwa na mada za jf

Umesema kweli kabisa
 
Siwezi na sitakuja weza kuishi na mtu akithubutu au kutamka au nikhisi anabagua mtoto wangu
Mtoto wangu kwanza
We hako katoto kanakupunguzia nin na watazaliwa ndugu zake hapo,ukishaamua kitu amua
Ukipenda boga penda na ua lake
Kati ya kitu ambacho amekosea ni hicho tu... Kama ulimwambia hutaweza kuishi na mtoto wake, baasi hata upendo anaokuinesha ni fake, yaani kavaa ngozi ya kondoo huyo ni chui.

Ushauri: Mtoto yule hana hatia hata chembe, ishi naye tu kwa upendo. Kifupi kuna faida zaidi utazipata ukiishi na huyo mtoto kuliko kumbagua....

Kila raheli...,......
 
Habarini wakuu,

Wiki hii nimeoa single mom, mtoto wake ana miaka 2 tangu azae jamaa alikimbia na hajulikani alipo hadi sasa hakutoa hata mia kwenye malezi ya mtoto, alisaidiwa kulea mtoto na mama yake, mtoto kamuacha kwao na mimi sitaki kuishi na huyo mtoto wake na yeye ashalikubali hilo maana tangu uchumba wetu wa mwaka mmoja, nishamwambiaga sitokaa na mtoto wako.

Ananipenda sana tena ile sana sijawahi kupendwa kama hivi kwa huu umri wangu wa 29 years nimewaacha wengi sana nimeamua yeye kumuoa nimeona hatasumbua kwa chochote maana ni mpole na msikivu sana.

Nimekuja tu humu kuwapa hiyo taarifa na kuja kuona mnaniusia wosia gani, kwa hiyo karibuni kwa maoni ya jinsi ya kuishi nae, na vitu gani nijitahadhari navyo, ushauri wowote pia unaruhusiwa na chochote ulichonacho cha kuniambia hata kiwe kibaya sawa tu karibu sana.
Mkuu hapo kwenye baba wa mtoto hajawahi kutoa hata mia ni kwamba unadanganywa. Hizo ni Story za ma single mama wote. Yaani kama vile wamesoma chuo kimoja cha usingle mama, Mambo wanayoongea yanafanana. Na mwisho kabisa kuwa tayari mara kadhaa single mama akapashe kiporo
 
Habarini wakuu,

Wiki hii nimeoa single mom, mtoto wake ana miaka 2 tangu azae jamaa alikimbia na hajulikani alipo hadi sasa hakutoa hata mia kwenye malezi ya mtoto, alisaidiwa kulea mtoto na mama yake, mtoto kamuacha kwao na mimi sitaki kuishi na huyo mtoto wake na yeye ashalikubali hilo maana tangu uchumba wetu wa mwaka mmoja, nishamwambiaga sitokaa na mtoto wako.

Ananipenda sana tena ile sana sijawahi kupendwa kama hivi kwa huu umri wangu wa 29 years nimewaacha wengi sana nimeamua yeye kumuoa nimeona hatasumbua kwa chochote maana ni mpole na msikivu sana.

Nimekuja tu humu kuwapa hiyo taarifa na kuja kuona mnaniusia wosia gani, kwa hiyo karibuni kwa maoni ya jinsi ya kuishi nae, na vitu gani nijitahadhari navyo, ushauri wowote pia unaruhusiwa na chochote ulichonacho cha kuniambia hata kiwe kibaya sawa tu karibu sana.
Yaan umevunja sheria 2 kuu kwa mkupuo unadhan utapona kweli?

Hivi vikao vyetu huwa unahudhuria?
 
Habarini wakuu,

Wiki hii nimeoa single mom, mtoto wake ana miaka 2 tangu azae jamaa alikimbia na hajulikani alipo hadi sasa hakutoa hata mia kwenye malezi ya mtoto, alisaidiwa kulea mtoto na mama yake, mtoto kamuacha kwao na mimi sitaki kuishi na huyo mtoto wake na yeye ashalikubali hilo maana tangu uchumba wetu wa mwaka mmoja, nishamwambiaga sitokaa na mtoto wako.

Ananipenda sana tena ile sana sijawahi kupendwa kama hivi kwa huu umri wangu wa 29 years nimewaacha wengi sana nimeamua yeye kumuoa nimeona hatasumbua kwa chochote maana ni mpole na msikivu sana.

Nimekuja tu humu kuwapa hiyo taarifa na kuja kuona mnaniusia wosia gani, kwa hiyo karibuni kwa maoni ya jinsi ya kuishi nae, na vitu gani nijitahadhari navyo, ushauri wowote pia unaruhusiwa na chochote ulichonacho cha kuniambia hata kiwe kibaya sawa tu karibu sana.
Mungu atamsimamia huyo mtoto yatima, hana Baba, hana Mama!
 
Kuna mwanamke mmoja nilimpa mimba then tukaachana time nampa mimba alikuwa kamaliza form six so mwaka wa kwanza chuo alisoma akiwa na mimba

Nilihudumia mimba mpaka mtoto akafikisha mwaka mmoja then akapata bwana mwingine alichokifanya aliniambia Yule mtoto sio wangu na mtoto Nina fanana nae kila kitu akakataa matumizi yangu nikala block pote

Now huyo demu ni lecture mkwawa na mme wake ni engineer TANROAD ndoa yao ina miaka 5 sasa

Mwanangu Sijawai kumuona tena na mm life limenipiga hata mtaani mpaka kutapeliwa na jamaa wa ikulu aliniambia nimpe hela anipeleke MSATA nikawe mwanajeshi
 
Back
Top Bottom