Diva: Alikiba ni Ex wangu ambae sitaweza kumsahau

Diva: Alikiba ni Ex wangu ambae sitaweza kumsahau

Jannatul Firdaus

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
442
Reaction score
1,087
Diva ali ulizwa wanaume wa Kibongo kuna namna wana kufikilisha wanakupa stress labda kuna ex wako ambae una mkumbuka ?

Diva alijibu hamna ex wowote ninae mkumbuka labda Alikiba handsome boy, kuna muda niki skia nyimbo zake na changanyikiwa najisemea huyu alikuwa ana nichanganya huyu

Mwandishi akauliza una wasilianaga nae? Diva alijibu hapana lakini nita mtumia sms, unajua yule kijana katika moyo wangu mala zote amebeba sehemu maalumu sana, ana kiti chake peponi.

Alikiba ni mwanaume Mpole asiye penda kujisifia kama wale wengine, arafu ni mwanaume nilie kuwa nampenda sana, hakuna ex ninae mfikiliaga zaidi ya Alikiba
1788327525629.png
 
Hivi mahari ya huyu binti ipo vile vile milioni 500 ama imeshuka saivi?

Hakuna jambo Wanaume hatupendi kama kuwa kwenye mahusiano na mwanamke asiyewasahau Ex boyfriends zake

Inaonesha muda wowote ukisafiri, anakipeleka kwaajili ya kiporo kupashwa
 
Hilo Kule Arusha Wanaita Kushabu Bangi Yenye Mbegu Ukivuta Mbegu Hupasuka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom