Hivi radio Clouds ndio wamekuwa wasemaji wa TANESCO?

white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
8,316
13,282
kweli hawa watangazaji wa kipindi cha jahazi,sijui ndio kutafuta vyeo?leo wameibuka na hoja eti tatizo la kina cha maji kupungua kwenye mabwawa ya kuzalisha umeme,ni wakulima wanaolima kando kando yake!ndio maana maji mengi yanapotea kabla hayajafika!na sio kuilaumu tanesco,eti wabaya we2u ni hawa wakulima!
 
We unaonaje? Ebu weka msimamo wako pia ili tupime hayo mawazo,
ili dhana ya GT iwe imezingatiwa. Nasawalisha.
 
Waongozaj wa icho kipindi wanatakiwa kurud kwanza shule kuongeza upeo na waache kukurupuka.
 
kweli hawa watangazaji wa kipindi cha jahazi,sijui ndio kutafuta vyeo?leo wameibuka na hoja eti tatizo la kina cha maji kupungua kwenye mabwawa ya kuzalisha umeme,ni wakulima wanaolima kando kando yake!ndio maana maji mengi yanapotea kabla hayajafika!na sio kuilaumu tanesco,eti wabaya we2u ni hawa wakulima!
Mkuu hebu njoo angalau ki great thinker kidogo, toa na wewe sababu zako kwanini sio kama walivyosema wao ndio hoja itakuwa kamili.
Hii habari ya kuropoka na kuanza kusikilizia watu wakuunge mkono utawapata wenye vikra ndogo kama zako kukuunga mkono
 
Kila siku tunasema hayo malalamiko yenu kuhusu hiyo radio yenu peleken fb na siyo jf,kila siku clouds clouds,mnanyaza uzi humu ndani tu.
 
Kwani hao tanesco wanashndwa nini kuweka ulinzi kwenye maeneo hayo....hata kama ni kwa kutumia nguvu kwa manufaa ya taifa...jahazi wapumbavu.
 
Clouds,watangazaji wake wengi akili zao ni za kuazimishwa,ndo mana muda mwingi huwa wanakurupuka na isue nyeti,mwisho wanashindwa kuzifanyia hitimisho,haswa kwenye mavipindi yao ya Jahazi na Power breakfast!
 
Naamini unaposimama jukwaani na kuhutubia inatakiwa uwe umefanya utafiti, redio ni jukwaa kubwa mno! Tanesco wanasema maji yanazalisha asilimia 30 ya umeme wote! Tusidanganyane hapa tatizo ni kukosa viongozi wenye VISION wanaofikiri kwa tumbo na si kingingine! SULUHISHO Hapa ni kuwashughulikia wote waliotufikisha hapa, kabla ya kuanza kufikiria uwekezaji mpya!
 
kweli hawa watangazaji wa kipindi cha jahazi,sijui ndio kutafuta vyeo?leo wameibuka na hoja eti tatizo la kina cha maji kupungua kwenye mabwawa ya kuzalisha umeme,ni wakulima wanaolima kando kando yake!ndio maana maji mengi yanapotea kabla hayajafika!na sio kuilaumu tanesco,eti wabaya we2u ni hawa wakulima!
naamin alikuwa Kibonde maana ye huwa anajifanya anaelewa kila kitu na ndo msemaji mkuu wa kila kitu sijui uandish wa habar kasomea wap na kafundishwa na walimu wa aina gani?
 
naamin alikuwa Kibonde maana ye huwa anajifanya anaelewa kila kitu na ndo msemaji mkuu wa kila kitu sijui uandish wa habar kasomea wap na kafundishwa na walimu wa aina gani?

Nani kakuambia Kibonde ni muandishi wa habari?
 
Back
Top Bottom