Nimemzimia blackberry

ankal uschafue CV bana! si unaona Keren Happuch amelejea. Ukifuja mbele ya Keren Happuch itakula kwako ujue, nina faili zako zote za tandale.
Kam umeishatoka kwa Mtogole sawa hamna tatizo ili mradi umeacha matumizi ya yule binti mimi sina wasiwasi
 
Acha nianze hiyo kazi mara moja, lakini wasiwasi wangu nisije na mimi nikanasa kama wewe, ha ha ha, sijui tutaangaliana vipi usoni, tutaanza visa vyote ikiwa ni pamoja nawizi wa kura teh teh teh!!!

wapo wengi tu humu mkuu, ok tembelea profile ya mtoto BB lakini usianze kumchokoza na wewe, maana patakuwa hapatoshi
 
nisaidie kwa pm lakini sio hadharani hapa usije ukabadili hali ya hewa halafu mtoto blackberry akageukia kwako

Hahahaha mm nakuwekea sawa kisha nalainisha na njia kabisa .
 
mkuu kumbe huu ni waraka?
 
Huyu BB nae vipi?..kwann hajitokezi atoe ushirikiano? BB pllzzzzzzzz kuja pande hii kuna mgongano wa maoni
 
Mmm mambo ya jf majina yenyewe bandia unaweza kukuta unamzimia mkeo, mumeo, babio au adui yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…