Nimemwona Mama Mkwe uchi wa kuzaliwa kwa bahati mbaya, ni laana?

Huyo Mama Mkwe ana matatizo, tena makubwa sana

Ndio maana katika kabila letu ni maruku kulala kwa wakwe zako!!

Dawa yake ni kumnyamazia tu...Kama alifanya makusudi basi aibu yake atakufa nayo!
 
Nyumba "self contained" halafu "unatoka kwenda chooni" na kisha "unakutana na mkweo akiwa uchi".......mambo ya ajabu haya, inawezekanaje jambo hilo kutokea?

Acha uzushi banaaa...!!!!
 
Mbona kama nina nusa kaharufu ka ushirikina hapo kwa mama mkwe?atatembeaje bila nguo jamani??hapana fanya utafiti zaidi kuna namna!!
 
kwa nini ufikirie ushirikina ... kumbuka yule mama yuko kwake
 
Naombeni ushauri: Nilikuwa likizoni ukweni kwenye nyumba ya self contained na nilikaa kama siku tano hivi na kila siku nilizoea kuamka kama saa mbili asubuhi. Siku ya mwisho niliamka kama saa kumi na mbili alfajiri kwend chooni na nilimkuta mama mkwe akitokea bafuni kuingia chumbani kwake kama alivyozaliwa. Nilirudi mara moja chumbani na sijamwambia mtu yeyote kuhusu mkasa huu, hata mke wangu sijamwambia. Nifanyeje? Je huu ni mkosi? Nawasilisha.

Nyumba self contained inakuwaje mkutane uchi? labda useme kuna chumba self contained katika hiyo nyumba. Na huyo mama nae mkware atatokaje bafu uchi? hao ndio ukisikia washawasha.
 
<br />
Ni bahati nzuri siyo mbaya,inawezekana nae alikuwa anataka umuone ndio maana aliamua kutembea uchi.
 
Nyumba self contained inakuwaje mkutane uchi? labda useme kuna chumba self contained katika hiyo nyumba. Na huyo mama nae mkware atatokaje bafu uchi? hao ndio ukisikia washawasha.

hapa kuna utata wa maelezo
 
Naombeni ushauri: Nilikuwa likizoni ukweni kwenye nyumba ya self contained na nilikaa kama siku tano hivi na kila siku nilizoea kuamka kama saa mbili asubuhi. Siku ya mwisho niliamka kama saa kumi na mbili alfajiri kwend chooni na nilimkuta mama mkwe akitokea bafuni kuingia chumbani kwake kama alivyozaliwa. Nilirudi mara moja chumbani na sijamwambia mtu yeyote kuhusu mkasa huu, hata mke wangu sijamwambia. Nifanyeje? Je huu ni mkosi? Nawasilisha.
<br />
<br />
 
hapa kuna utata wa maelezo

Hata kama kuna utata au hadithi ya kutunga...kitendo cha kuwepo mkwe ndani ya nyumba kwa mile za kiafrika lazima kilete hali fulani ya tahadhari..Kama kuna mama mkwe au hata baba mkwe ambaye hawezi kulitambua hilo basi hasitahili hiyo heshima ya kuitwa mkwe.

Ni mkwe ni zito zana na hakuna maelezo yoyote yanaweza kujitosheleza endepo mtu wa namna hiyo amekosa adabu mbele ya watoto wanaompa hiyo heshima ambayo si wazazi wote wamebahatika kuipata!
 
kwa uelewa wangu hutakiwi kuwa karibu na mkwe wako hasa wa jinsia tofauti , na hata ukiwatembelea kama mazingira hayaruhusu ni heli kulala guest
 
Usiruhusu mawazo yako yakaingilana na maisha ya kutafuta chapaaa......yaondoe haraka sana.
 
Mama mkwe hawezi kutoka koridoni bila kuvaa even a kipande cha kanga. Kama vipi mi naona mlikuwa mnabanjuana tu.
 
Hizi self contained nyingine zikoje? Mara naenda chooni, yeye anatoka bafuni na nyumba za namna hii unaziita self contained?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom