Nimemwona Mama Mkwe uchi wa kuzaliwa kwa bahati mbaya, ni laana?

Kiti

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
355
227
Naombeni ushauri: Nilikuwa likizoni ukweni kwenye nyumba ya self contained na nilikaa kama siku tano hivi na kila siku nilizoea kuamka kama saa mbili asubuhi. Siku ya mwisho niliamka kama saa kumi na mbili alfajiri kwend chooni na nilimkuta mama mkwe akitokea bafuni kuingia chumbani kwake kama alivyozaliwa. Nilirudi mara moja chumbani na sijamwambia mtu yeyote kuhusu mkasa huu, hata mke wangu sijamwambia. Nifanyeje? Je huu ni mkosi? Nawasilisha.
 
Vin Diesel

JF-Expert Member
Mar 1, 2011
9,083
6,334

Ni bahati mbaya imetokea...ni aibu kulizungumzia jambo kama hili...ndio maana hata yeye kakaa kimya.
 
Kishongo

JF-Expert Member
May 4, 2010
932
64
Naombeni ushauri: Nilikuwa likizoni ukweni kwenye nyumba ya self contained na nilikaa kama siku tano hivi na kila siku nilizoea kuamka kama saa mbili asubuhi. Siku ya mwisho niliamka kama saa kumi na mbili alfajiri kwend chooni na nilimkuta mama mkwe akitokea bafuni kuingia chumbani kwake kama alivyozaliwa. Nilirudi mara moja chumbani na sijamwambia mtu yeyote kuhusu mkasa huu, hata mke wangu sijamwambia. Nifanyeje? Je huu ni mkosi? Nawasilisha.

Hiyo self contained mlikuwa mnashea na mama mkwe? Mi nilidhani self ni yako na mkeo tu.
Pole, it happens sometimes.
 
AshaDii

Platinum Member
Apr 16, 2011
16,199
17,991
Usiichukulie hivo kua ni Mkosi... Ukifanya hivo utachukulia vitu negatively na kuaffect utendaji wako then at the end ulaumu tukio... Hio ni bahati mbaya... ila it tells a lot about your mama mkwe... yawezekana ni wa mjini saana.... ama she is too young to be a mama mkwe... ama sio mstaarabu; Hata kama tu wanangu wako ndani, i can not dare kutoka uchi for you never know... sembuse mkwe??

Pole saaana.
 
Mr Rocky

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
15,180
14,319
Ashadii naungana nawe. Huyo mama mkwe wake ustaarabu umempita kando. Anajua kunba watoto ndani ya nyumba ambao wanaweza tumia the same WC then anatoka nje uchi wa mnyama. Si angejitanda hata kanga
Ila sioni effect yake hiyo ni imani yako tuu hakuna laana yoyote maana hukukusudia kufanya hivyo
 
AshaDii

Platinum Member
Apr 16, 2011
16,199
17,991
Ashadii naungana nawe. Huyo mama mkwe wake ustaarabu umempita kando. Anajua kunba watoto ndani ya nyumba ambao wanaweza tumia the same WC then anatoka nje uchi wa mnyama. Si angejitanda hata kanga
Ila sioni effect yake hiyo ni imani yako tuu hakuna laana yoyote maana hukukusudia kufanya hivyo

Inasikitisha na kuonesha the way maadili yanavozidi poromoka!!
 
AshaDii

Platinum Member
Apr 16, 2011
16,199
17,991
Kuna jamaa hapa anasema ukweni siyo sehemu ya kukaa siku tano,wewe ilikuwaje?only 2 days is enough!!Jamani Nkosi mbona kwa wakwe wengine ni mbali... waweza enda mara moja hata kwa miaka miwili.... utakaa siku mbili hapo??
 
Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,483
1,359
Hii ni stor yakutunga na sio kitu cha kweli kwani self gani unashare mama mkwe badala ya wife? Unapo danganya unatakiwa ujipange sio kukurupuka
 
Tall

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
1,425
164
naombeni ushauri: Nilikuwa likizoni ukweni kwenye nyumba ya self contained na nilikaa kama siku tano hivi na kila siku nilizoea kuamka kama saa mbili asubuhi. Siku ya mwisho niliamka kama saa kumi na mbili alfajiri kwend chooni na nilimkuta mama mkwe akitokea bafuni kuingia chumbani kwake kama alivyozaliwa. Nilirudi mara moja chumbani na sijamwambia mtu yeyote kuhusu mkasa huu, hata mke wangu sijamwambia. Nifanyeje? Je huu ni mkosi? Nawasilisha.
1.endelea hivyo hivyo usimwambie mtu,hata na sisi hatujasikia.
2.labda bahati mbaya khanga ilidondoka tu,yeye je alihuzununika au???
3.utajuaje??pengine bi mkubwa ni mchawi???
4.labda anakutaka.
 
Mvua Ya Kiangaz

JF-Expert Member
May 24, 2011
309
143
Chunguza,may be alikuwa anatoka kwenye kazi zetu zileeeee zakuruka na ungo,kama siyo basi umepoteza bakti, huo ulikuwa bonge la mtego-----ungeomba substitution tu mkuu,kuku na mayai yake.......RUKSA!
 
Mkorintho

JF-Expert Member
Feb 17, 2009
591
1,115
Self contained kwamba choo japo ni kimoja (public wash room) ni cha ndani c nje ya nyumba, ama yaitwaje nyumba ya namna hii?? O'wiz hisia za ma'mkwe zimekuaje baada ya tukio husika??
 
Shantel

JF-Expert Member
Feb 7, 2011
2,018
1,108
Huyo mama amefanya kusudi, hujawahi sikia story za mama wakwe kuwatamani wakwe zao? na kwa taarifa yako amejua umemuona,pole kwa mkasa wako mkuu...jadi ya kabila fulani hivi unachukua mavi ya mbuzi unajipaka usoni, sijui inamaanisha unafuta ulichoona ama nini
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom