euca
JF-Expert Member
- Apr 6, 2015
- 3,917
- 4,334
we jamaa ni noumaMimi natumia namba ya shosti qake kufanya naye appointment. Dukua na hiyo.
we jamaa ni noumaMimi natumia namba ya shosti qake kufanya naye appointment. Dukua na hiyo.
Najilinda mwenyeweNikuongezee ulinzi dear?
Nanunua bastola ya kulinda hiyo papuchi dearNajilinda mwenyewe
hihihihihihihihihi!!!!!!!!!!!!!!!!!!Kumlinda mpenzi wako ni sawa na kulinda bahari... utalinda kigamboni huku bagamoyo watu wanavua
Dah nimecheka sanandiyo maana nimekwambia nina last option ambayo naifanyia implementation leo usiku, hii nitatumia nguvu za giza. Nikikukosa kwenye option 1 to 4, basi nakukamata kwenye ile ya 5.
Hachomoki mtu aisee!!
lakini nikupe pongezi kwa muda ulio invest kuhakikisha papuchi inabaki safe.Madogo Kama hawa ndo huwa wanajizuru!!!! Msaidieni ndugu yenu jaman, Ni Mtanzania mwenzetu.... Na uhakika hata wadada hapa wanasema huyu naye katoka wapi..... Mwanamke Ni Habari nyingine ndugu zangu.
Ahaaaaa na wale wanaomtafuna bila mawasiliano? Like the shamba boy ahaaaaaaa linda baba utakufa na pressure!
KAMA ULIMKUTA HANA BIKRA ULINZI HAUNA MAANA MKUU
Wewe Fuso,kama una kazi basi utaiharubu,kama una biashara basi ndio mwanzo wa kufilisika,mwanamke akitaka kufanya uchafu wake atafanya na wewe utakalia unalinda maji yasivuje kwenye pakacha,huyo mwanamke wa KI DOT COM,anajua yoote kuhusu tracking system,si ajabu anakuachia tu kwa muda huu wa uchumba ili akufanye umuamini,lakini itakapofika anataka mkwaju mwingine basi kama sio yeye hata huyo mchepuko wake atamfundisha jinsi ya kucheza na gadgets,hapo utajikuta unajiaminisha kwamba mke wangu ni nambari one nimebarikiwa,kumbe ngoma inapigwa kinoma.Kwa kuwa wanawake ni wengi kuliko wanaume,wewe mwambie wazi kuwa huchungi mwanamke,na ikitokea dalili mbaya nakupiga chini na naoa mwanamke mwingine,mwambie kwa kiapo thabiti,hata kama amezaa watoto kumi anaachwa tu.
Mmh ngumu hii!
Wewe si tayari nshakumega....au nimechanganya madesa?