Nimemuongezea ulinzi mchumba wangu

Sasa bro ukibana sana.. mafisi tutajinadi vipi

Madogo Kama hawa ndo huwa wanajizuru!!!! Msaidieni ndugu yenu jaman, Ni Mtanzania mwenzetu.... Na uhakika hata wadada hapa wanasema huyu naye katoka wapi..... Mwanamke Ni Habari nyingine ndugu zangu.
 
Ahaaaaa na wale wanaomtafuna bila mawasiliano? Like the shamba boy ahaaaaaaa linda baba utakufa na pressure!
 
Madogo Kama hawa ndo huwa wanajizuru!!!! Msaidieni ndugu yenu jaman, Ni Mtanzania mwenzetu.... Na uhakika hata wadada hapa wanasema huyu naye katoka wapi..... Mwanamke Ni Habari nyingine ndugu zangu.
Wanajizuru?
 
Software Programs zipo nyingi tu Mkuu, ndiyo maana nasema hivi mtu acheze na demu wangu - ataona kitakachomkuta.
Just ni pm tu jina kamili la demu wako mengine niachie mie. ..kisha mrejesho utauleta hapaa
 
Nilidhani umeweka ulinzi kama huu kumbe ni magumashi! Na ukishaweka demu ndani utapigiwa vilevile acha uboya
oketz-20.jpg
 
dhana potofu!!! traditional belief eti anajilinda mwenyewe !!! maweeeee!!!
Hahaahaa..mkuu utamegewa tu! Ukimkamata itakuwa yeye au aliyemmega kakosa umakini!! Yaani inakuwa kama jogoo...na mimba hapo hapo!!
 
Bro wahitafutia stress bure uaminifu WA mtu uko ndani mwake hata umlindeje akiamua kucheat Ata cheat tuu..ni bora uchunge ng'ombe elf 1,kuliko kumchunga mtu 1,trust me hutaweza.USISAHAU KULETA MREJESHO.good luck
 
Wakigundua tofauti na wanavyofikiri wanaweza kujidhuru
Nimekupata. Ngoja tumuulize bwana mdogo huo ulinzi atauweka mpaka lini? Kama yupo kipindi cha uchumba yupo protective hivyo akiwa kwenye ndoa si ndio atafunga cctv cameras kila mahali??.

Kwa mtazamo wangu binafsi, ulinzi kama huo ni ishara ya kutoaminiana "uaminifu" hata kwa asilimia chache ndio chanzo cha kudumu kwa mahusiano.
 
Nilidhani umeweka ulinzi kama huu kumbe ni magumashi! Na ukishaweka demu ndani utapigiwa vilevile acha uboya
oketz-20.jpg
Ndo nimekutaarifu, kama una mchezo huo wa kumega mademu wa wenzako acha mara moja, utaumia - usichezee moto!!
 
Nimekupata. Ngoja tumuulize bwana mdogo huo ulinzi atauweka mpaka lini? Kama yupo kipindi cha uchumba yupo protective hivyo akiwa kwenye ndoa si ndio atafunga cctv cameras kila mahali??.

Kwa mtazamo wangu binafsi, ulinzi kama huo ni ishara ya kutoaminiana "uaminifu" hata kwa asilimia chache ndio chanzo cha kudumu kwa mahusiano.
Wewe mwanamke hana uaminifu, ndiyo maana leo hii ukifa hakai hata siku 3 watu wanammega vilevile ; sasa ni kheri wammege nimeshakufa lakini nikiwa nighali hai - - haiwezekani.

Sasa wewe endelea kuaminiana na demu wako - nyie ndiyo huwa mnajiuaga mkishagundua kumbe jamaa anakumegea tena miaka nenda rudi na kibaya zaidi ni jirani yako.
 
Ahaaaaa na wale wanaomtafuna bila mawasiliano? Like the shamba boy ahaaaaaaa linda baba utakufa na pressure!
ndiyo maana nimekwambia nina last option ambayo naifanyia implementation leo usiku, hii nitatumia nguvu za giza. Nikikukosa kwenye option 1 to 4, basi nakukamata kwenye ile ya 5.

Hachomoki mtu aisee!!
 
Mimi natumia namba ya shosti qake kufanya naye appointment. Dukua na hiyo.
 
Back
Top Bottom