Nimemuongezea ulinzi mchumba wangu

Nimemuongezea ulinzi mchumba wangu

UJUE WALIO OA WAKE ZA WATU WALIOBIKIRIWA WANAISHI KWA PRESHA kama hujaoa ni mpenzi hana bikra piga chini
stress za nini mtu aliyeshindwa kujilinda NDOA ATAHESHIMU VIPI HUYO labda abakwe wengi ni hiari yao
MAPENZI KABLA YA NDOA MNAWASUMBUA WANAUME ZENU

yaani mule mule mwanawane. umeeongea ukweli kabisaaaaaa.
 
kabisa utalindaje kiporo hahahaha waachie waliobahatika kuzinyaka bikra tuzilinde ndoa zetu muruaaaaa UKIOA BIKRA UNAJIAMINI


Huwa nawaambia watu..hakuna haja kulinda.mtu wala kuwa na wivu ulikuta barabara nyeupeee....na hakuna cha kukuzuia usioe mke wa pili kama utamkuta ni bikra
 
jealous.jpg
Ahahaaa domo wazi
 
Huu ujinga sijui umeanzia wap, akijua umefanya yote hayo imekula kwako, akili ya mwanamke unaijua kweli?
 
Hivi ndo vitu vitasababisha sasa aliwe hadi na wavimba macho....

Siku akaja kujua unamtrack ndo atakuja na plan B, kama anasoma au anafanya kazi huko si anakutana na wanaume mkuu?

Usiombe tuu akakutana na smart boys kushinda wewe, manake kuna wale watu waliopewa upeo wa kukubalika just by appearance....

Mama akimkubali tuu, anaenda kumvulia chupi mwenyewe...mwishowe ataliwa mpaka basi.....

Nakuombea Mungu tuu usijue analiwa lini, na ni nani manake utaumia mkuu....

Tena ukishamua ndo hadi sisi madomo zege tunapiga.. !

Wewe mlishe vizuri na mvishe vizuri tuu....
 
Muache aishi maisha yake, ishi maisha yako.. Mapenzi ya kulindana hakuna, kama anakupenda atakujali, kukuheshim na kukuthamin.. Sasa wee mlinde linde umkere akuoneshe kama anaweza ..

Ndio shida za kuishi na mpenzi uliempenda zaid.
 
Utakujaga kujifia kwa kihoro kwa wivu wako, binadamu siyo wa kuchunga kama mbuzi
Badala ya kufikiria mbinu za kujileta maendeleo anafikiria kumchunga binadamu mwenzie. Mwnamke akidhamiria kuchepuka dakika kumi nyingi.
 
mimi siwezi kukubali demu wangu akaliwa na mwingine, hatuwezi share sehemu napumzikia aisee!!! hili nimeshaamua na nalitekeleza kwa vitendo!!
ww utakuwa kwenye utafit wa thesis yako ya masters/ phd tu na unatafuta data humu. ila kiuhalisia huwez mlinda dem. hawa viumbe wana akil nying balaa". labda aamue yy kuwa mstarabu kwako.
lakin eti ulinz..duh, hata k ungei"trace" kwa gps au cctv, atapigwa tu(in pinda's voice)!!&
 
Back
Top Bottom