Nimemuongezea ulinzi mchumba wangu

Nimemuongezea ulinzi mchumba wangu

jealous.jpg
Hio sura ya jamaa ni wazi anachapiwa.....!
 
Ndugu wana Jamvi,

Kama mnavyojua Ulinzi ni kitu muhimu sana, hata nchi zinakuwa na jeshi ili kuhakikisha adui hapenyezi wa namna yoyote ile. Ulinzi huanzia ngazi ya Taifa, Kaya hadi mtu binafsi. Yote haya ni kumwepusha na figisu za vijana wa mjini ili tuweze kufunga pingu za maisha mwakani kwa usalama na amani.

Nilifikia uamuzi huu muhimu maana sitaki mwisho wa siku tushirikiane na watu ambao kazi yao ni kujaribu kudokoa matunda ya wenzao, yaani mimi nilime, ninyeweshee maji kisha matunda tule wote - hilo ni BIG NO!!

Sitaki kusikia ushauri ule wa Traditional wa eti Mwanamke anajilinda mwenyewe, huu ni ushauri mfu ambao haupimiki kabisa hata kwenye mizani, abilia lazima uchunge mzigo wako kuanzia mwanzo wa safari hadi utakapofika stendi, upotevu wa mzigo wako hutaweza kumlaumu Konda, Dereva ama muhudumu yoyote wa kwenye gari sababu huo utauwa ni UZEMBE wako.

Sasa hatua nilizochukua kuimarisha Ulinzi kwa MAI wife to be, kwa nia nzuri kabisa, na kwa kutumia mbinu za mendani nimefanikisha yafuatayo:- kama nilivyowaeleza mwanzo kwamba ULINZI ni jukumu la kila Raia ndani ya nchi yetu.

1. Kujiunga kwenye magrupu yake yote ya WAZUP bila yeye kujua - naona kila anachopost.
2. Nimehakikisha najua Username na Password zake zate za mitandano ya Kijamii, hata ID yake ya humu JF nimeshainyaka pia.
3. Napata copies za SMS zake zote za WAZUP kila akipost, hii usiniulize kwa namna gani nimefanikisha hili.
4. Napata copy za calls zake anazopiga na kupigiwa na mtu yoyote yule, then nazifanyia kazi, zile nazoona zinataka kuleta hali hatarishi basi muhusika nahangaika nae.

Ya tano bado naifanyia kazi - hii nawasiliana ma mtalaam wangu ili tuone namna nzuri ya kuifanyia implementation bila kumtelea madhala makubwa sana mdokozi wa mali za watu kwa kutumia nguvu za giza!!

Mwanaume usiye na wivu basi una MAPUNGUFU, ulinzi ni kitu muhimu usijidanganye uta-share na watu bila wewe kujijua, yawezekana hata marafiki zako wakawa wanakula mzigo na wanakusanifu tu, wanawake wameumbwa na SIRI nzito, kuweni makini. Mimi mimeshachukua hatua wewe je?

Mlinde Mkeo, Mlinde mchumba wako, Mlinde mpenzi wako. Nawatakia siku njemaaa.......

BY Fuso!!!!
Jaribu na hii mbinu........

60436ae174d1e31f0058de6c6e03151b.jpg
 
Wewe Fuso,kama una kazi basi utaiharubu,kama una biashara basi ndio mwanzo wa kufilisika,mwanamke akitaka kufanya uchafu wake atafanya na wewe utakalia unalinda maji yasivuje kwenye pakacha,huyo mwanamke wa KI DOT COM,anajua yoote kuhusu tracking system,si ajabu anakuachia tu kwa muda huu wa uchumba ili akufanye umuamini,lakini itakapofika anataka mkwaju mwingine basi kama sio yeye hata huyo mchepuko wake atamfundisha jinsi ya kucheza na gadgets,hapo utajikuta unajiaminisha kwamba mke wangu ni nambari one nimebarikiwa,kumbe ngoma inapigwa kinoma.Kwa kuwa wanawake ni wengi kuliko wanaume,wewe mwambie wazi kuwa huchungi mwanamke,na ikitokea dalili mbaya nakupiga chini na naoa mwanamke mwingine,mwambie kwa kiapo thabiti,hata kama amezaa watoto kumi anaachwa tu.
 
Nimekupata. Ngoja tumuulize bwana mdogo huo ulinzi atauweka mpaka lini? Kama yupo kipindi cha uchumba yupo protective hivyo akiwa kwenye ndoa si ndio atafunga cctv cameras kila mahali??.

Kwa mtazamo wangu binafsi, ulinzi kama huo ni ishara ya kutoaminiana "uaminifu" hata kwa asilimia chache ndio chanzo cha kudumu kwa mahusiano.

With this attitude pia, he put her off which is very bad... Hata Kama si wakuliwa anaweza gegedwa
 
Ndugu wana Jamvi,

Kama mnavyojua Ulinzi ni kitu muhimu sana, hata nchi zinakuwa na jeshi ili kuhakikisha adui hapenyezi wa namna yoyote ile. Ulinzi huanzia ngazi ya Taifa, Kaya hadi mtu binafsi. Yote haya ni kumwepusha na figisu za vijana wa mjini ili tuweze kufunga pingu za maisha mwakani kwa usalama na amani.

Nilifikia uamuzi huu muhimu maana sitaki mwisho wa siku tushirikiane na watu ambao kazi yao ni kujaribu kudokoa matunda ya wenzao, yaani mimi nilime, ninyeweshee maji kisha matunda tule wote - hilo ni BIG NO!!

Sitaki kusikia ushauri ule wa Traditional wa eti Mwanamke anajilinda mwenyewe, huu ni ushauri mfu ambao haupimiki kabisa hata kwenye mizani, abilia lazima uchunge mzigo wako kuanzia mwanzo wa safari hadi utakapofika stendi, upotevu wa mzigo wako hutaweza kumlaumu Konda, Dereva ama muhudumu yoyote wa kwenye gari sababu huo utauwa ni UZEMBE wako.

Sasa hatua nilizochukua kuimarisha Ulinzi kwa MAI wife to be, kwa nia nzuri kabisa, na kwa kutumia mbinu za mendani nimefanikisha yafuatayo:- kama nilivyowaeleza mwanzo kwamba ULINZI ni jukumu la kila Raia ndani ya nchi yetu.

1. Kujiunga kwenye magrupu yake yote ya WAZUP bila yeye kujua - naona kila anachopost.
2. Nimehakikisha najua Username na Password zake zate za mitandano ya Kijamii, hata ID yake ya humu JF nimeshainyaka pia.
3. Napata copies za SMS zake zote za WAZUP kila akipost, hii usiniulize kwa namna gani nimefanikisha hili.
4. Napata copy za calls zake anazopiga na kupigiwa na mtu yoyote yule, then nazifanyia kazi, zile nazoona zinataka kuleta hali hatarishi basi muhusika nahangaika nae.

Ya tano bado naifanyia kazi - hii nawasiliana ma mtalaam wangu ili tuone namna nzuri ya kuifanyia implementation bila kumtelea madhala makubwa sana mdokozi wa mali za watu kwa kutumia nguvu za giza!!

Mwanaume usiye na wivu basi una MAPUNGUFU, ulinzi ni kitu muhimu usijidanganye uta-share na watu bila wewe kujijua, yawezekana hata marafiki zako wakawa wanakula mzigo na wanakusanifu tu, wanawake wameumbwa na SIRI nzito, kuweni makini. Mimi mimeshachukua hatua wewe je?

Mlinde Mkeo, Mlinde mchumba wako, Mlinde mpenzi wako. Nawatakia siku njemaaa.......

BY Fuso!!!!
Mpende ila huo ulinzi duuh km unampa kibali
 
Unatafuta stress tu.........wengine wanatumia landline za maofisini au za jirani
 
Mimi natumia namba ya shosti qake kufanya naye appointment. Dukua na hiyo.
Hujanielewa, nimekwambia calls zake zote zinakuwa recorded na kuwa fowarded kwangu bila yeye kujua; sms zote pamoja na zile za WhatApp nazo vile vile. , kwa hiyo nitakusikiliza na nitakukamata kama kuku kabla hata hujaliona paja, then utashuhudia kitakachokupata ili ukawasimulie na wezi wenzio!!
 
Unatafuta stress tu.........wengine wanatumia landline za maofisini au za jirani
Hilo nalitambua, lakini on the process lazima tu utatumia mobile yake, sababu wewe hutajua kama nimetega mitego yangu hii, na yeye pia hajui na sitaki ajue. kwa hiyo on the process ya kwenda kumegana lazima mtatumia mobile zenu. hapo lazima uingie kwenye 18 zangu ili ukawasimulie na wenzako.
 
Hahahahahahaha wewe kiazi kweli unakunya vikutu vya mbuzi sisi mavi ya tembo. Mimi kwanza simcheki demu na simu yake humtumia rafiki yake au ndugu zake kutuma sms kuwa nataka kuonana nae. Sasa sijui hii utakuwa na mbinu ipi na hio nguvu yako ya giza mimi lazima niingize ndimu kwenye papuchi inaondoa hayo mafigisu ya ushirikina. Usicheze na matozi mkuu tuna PHD za kuchepuka
 
Kaka jifunze Technologia, nimekwambia na narudia tena soma post zangu hapo juu kwamba hata ukitumia land line as long as umempigia yeye basi umekwisha!! simu zote zinakuwa recorded na zinakuwa forwarded kwangu kwenye form ya MP3 baada ya call kukamilika. upo dunia ngani ndugu. Hiyo WhatsApp ndiyo kabisaaa!!!

Ushirikina ni option ya mwisho kabisa!! na hii nitaitumia kwa wale ma-popobawa tu, nyie binadamu wa kawaida tutamalizana ana kwa ana.
 
Mkuu Hongera kwa kumpenda mchumba wako, hiyo ni ishara nzuri ya Upendo ulionao kwake.

Nikuume sikio tu ndugu yangu na rafiki yangu kuwa unachokifanya na ambacho unaendelea kukifanya SIO njia sahihi ya kukuhakikishia ulinzi wa mchumba wako.

We umejikita kuangalia sana vitu kama simu na Jinsi anavyoitumia ili ikupe ishara na mawasiliano na wale anaowasiliana nao.

Unajaribu kutatua tatizo External na kusahau kabisa vitu vyote avifanyanyavyo binadam huratibiwa na UBONGO, ungekuwa na ulinzi salama kama ungemjenga kiakili na kisaikolojia na akakuamini hiyo ndio ingekuwa njia sahihi kuliko hiyo unayoitumia.

Angalia comments nyingi kwenye huu uzi wako wanachokisema si Wanaume wala Wanawake wote wanakuambia Kitu kimoja, swali la kujiuliza Je watu wote hawawapendi wake zao?
Je ni wewe tu ndie unajua hizo software na ndio wa kwanza kunitumia?

Fikilia nje ya box, usipoteze mda kwa kufanya kilichowahi kufanyika na hakikutatua Tatizo kwa asilia 100, kazi kwako ushauri nimekupa Bure.
 
Kaka jifunze Technologia, nimekwambia na narudia tena soma post zangu hapo juu kwamba hata ukitumia land line as long as umempigia yeye basi umekwisha!! simu zote zinakuwa recorded na zinakuwa forwarded kwangu kwenye form ya MP3 baada ya call kukamilika. upo dunia ngani ndugu. Hiyo WhatsApp ndiyo kabisaaa!!!

Ushirikina ni option ya mwisho kabisa!! na hii nitaitumia kwa wale ma-popobawa tu, nyie binadamu wa kawaida tutamalizana ana kwa ana.
Fuso kazi yake kubeba mizigo tu sio kufanya mambo ya udukuzi. Inaonekana wewe ndio hujaelewa nini nimesema hapo. Nimesema kama nataka kuonana na huyo demu wako mimi namtumia sms shoga yake au ndugu yake ampigie simu kama waende shopping au atowe sababu yoyote ile ili atoke. Wewe utaona ametoka na shoga yake au ndugu yake kwa mihangaiko yao ya kawaida tu. Kumbe anakuja kwangu mimi hayo mambo nishafanya sana tu Mkuu acha kujifanya sungusungu wa papuchi mbululaz wewe.
 
Kama yote hiyo yanafanyakazi kama ulivyopanga, ndani ya wiki moja uchumba wenyewe utakwisha au wewe kupumzishwa kaburini kwa amani.
 
Back
Top Bottom