shija jr
Member
- May 21, 2016
- 58
- 44
Kama vile software gani mkuuSoftware Programs zipo nyingi tu Mkuu, ndiyo maana nasema hivi mtu acheze na demu wangu - ataona kitakachomkuta.
Kama vile software gani mkuuSoftware Programs zipo nyingi tu Mkuu, ndiyo maana nasema hivi mtu acheze na demu wangu - ataona kitakachomkuta.
inaonekana wewe ni bigwa wa kukwepa ulinzi wa mpz wako....ndio.maana uansema hivyo.Kumlinda mpenzi wako ni sawa na kulinda bahari... utalinda kigamboni huku bagamoyo watu wanavua
Hahaaaa hiyo kali!
Du....watu wanavuaKumlinda mpenzi wako ni sawa na kulinda bahari... utalinda kigamboni huku bagamoyo watu wanavua

chukua hatua!!mwee hii kali
ili iweje?chukua hatua!!
kama unampenda,utamlindaili iweje?
Hahahaaaa!Umeweka password kwenye nanihii ili isifunguke?
Ya tano bado naifanyia kazi - hii nawasiliana ma mtalaam wangu ili tuone namna nzuri ya kuifanyia implementation bila kumtelea madhala makubwa sana mdokozi wa mali za watu kwa kutumia nguvu za.
Duuh, hapo sawa kwa hii namba tano kweli njemba umejipanga kweli kweli maana nilikuwa nakuja kukuuliza vipi your ma wife to be akionana na jamaa bila kupitia simu wala social media..! Umetisha kinyama..
mpenzi halindwi, nini kufa na pressure..kama unampenda,utamlinda