Nimemuonea huruma mume wangu baada ya kukagua simu yake

Papizo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
4,854
2,000
Lazima nyumba iwake moto atambue ana mke. Nawasha moto mpaka nguvu zake za kiume zipungue ndio nauzima halafu na mimi natafuta miongoni mwa wale wanaonipendaga ila nawakataliaga kwa sababu naheshimu ndoa namkubalia mmoja. Hapo nyumbani amani ni shwariii.
Usishindane na mwanaume....utashindana na wamaume wangapi??
 
Papizo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
4,854
2,000
Kwenda huko na utabiri uchwara wako.
Ungenijuwa usingesema hivyo na nitakupa heshima yako kama mwanamke pia vile vile nipo humu ndani zaidi ya miaka 14 so huwa sijibu watu vibaya naheshimu kila mtu analosema...ila kama mwanamke inabidi kuangalia vitu na vitu....
 
mkabasia

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
2,216
2,000
Dah, we differ, kwa hiyo hizo huduma anazotoa mume (of which) ni wajibu wake. Zinafanye nimuonee huruma hadi kwenye mambo yasohitaji huruma. Umekosea bwana ulipaswa umuulize kwanini anafanya hivyo.
 
Mrs Bishanga

JF-Expert Member
Jun 30, 2013
1,004
2,000
Baada ya kupitia huu uzi wote nieme tu kumbe bado kuna wanawake wanaojitambua na kutetea utu wao. Miss Pablo na kundi lako Kongole popote mlipo..
Mwanaume anapoamua kucheat na ukaamua kumlegezea maana yake umempatia funguo za kucheza na moyo wako na husia zako. Hutakaa uwe na amani kamwe ila utakuwa na amani feki kwamba basi ufanyeje kwa kuwa wanaume wote ndio walivyo ila Moyoni unateseka.
I tell you wapo wanaume waaminifu wanaojua kujiheshimu na kuheshimu mahusiano yao.
Binafsi you cheat one time ...nakusamehe
Second time nakusamehe mara ya tatu nasaga lapa. Sinaga mapenzi fekii mimi eti naumia halafu nakuchekea .
Nikiamua kuishi na mchepukaji basi ujue ipo siku tu nitamuwekea hata sumu maana huwaga maumivu ya kusalitiwa simalizagi
 
kolola

JF-Expert Member
Apr 26, 2020
3,359
2,000
thats it sir, why fight over a man or woman, there are plenty of them, just divorce and get another one,, my bible allows divorce on the grounds of committing adulterly
Hujaoa - nyamaza tu. Umeoa na mkeo hajawahi kucheat-nyamaza. Umeoa na ulishamfuma mkeo kacheat, karibu tuwape vijana uzoefu!

nilimkamata wangu nikaprove kwake na aliyekuwa anamgida nikampa adhabu aliyochagua mbele ya mke wangu. Mke wangu bado ninaye ila kidonda bado kipo moyoni. Sababu za kutomwacha:
1. Nami nilikuwa mchepukaji na alinieleza alikuwa analipa kisasi,
2. Aliomba msamaha;
3. Umri
4. Kutokana na namba 4 hapo juu, niliogopa kuanza maisha mapya na mwanamke mwingine
 
Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
41,611
2,000
Baada ya kupitia huu uzi wote nieme tu kumbe bado kuna wanawake wanaojitambua na kutetea utu wao. Miss Pablo na kundi lako Kongole popote mlipo..
Mwanaume anapoamua kucheat na ukaamua kumlegezea maana yake umempatia funguo za kucheza na moyo wako na husia zako. Hutakaa uwe na amani kamwe ila utakuwa na amani feki kwamba basi ufanyeje kwa kuwa wanaume wote ndio walivyo ila Moyoni unateseka.
I tell you wapo wanaume waaminifu wanaojua kujiheshimu na kuheshimu mahusiano yao.
Binafsi you cheat one time ...nakusamehe
Second time nakusamehe mara ya tatu nasaga lapa. Sinaga mapenzi fekii mimi eti naumia halafu nakuchekea .
Nikiamua kuishi na mchepukaji basi ujue ipo siku tu nitamuwekea hata sumu maana huwaga maumivu ya kusalitiwa simalizagi
Duh hii ni balaa mambo ya kuuana tena
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom