Baada ya kuzifuma Sms kutoka kwa mchepuko wangu ndio amezidisha kunipenda

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,674
Hii siyo chai kama chai zingine ila imebase kwenye true story,

Huyu mpenzi wangu nilisoma nae chuo na wakati huo tunamalizia course bahati mbaya au nzuri alipata ujauzito hatukuwa na chagua jingine zaidi ya kuacha tu mpaka ajifungue,

Kweli baada ya course kuisha akarudi kwao na kujifungua mtoto wa kiume,nilihudumia kila kitu kuanzia mimba mpaka mtoto,

Nilijitahidi sana katika matunzo japo hali yangu kwa kipindi hicho haikua poa sana nilienda kwao na kujitambulisha ata mie sikuweza kumficha nikamtambulisha kwetu kama mke mtarajiwa,

Wakati wote baada ya mtoto kujifungua mpaka kufika mwaka mmoja na nusu sikuwahi kukutana nae kimwili ilikuwa kila nikienda kumuona mtoto ni ile kiss tu basi japo alikuwa anang'ang'ania niguse guse lakin sikuwahi kufanya hivyo kwa sababu moja tu hakujifungua kawaida alipata operation hivyo nilihitaji mpaka apone kabisa na kutengemaa Afya yake ndio sasa nimnjunje kwa uhuru,

Kumbe wakati mi namuonea huruma yeye alikuwa ananifikiria tofauti ,sasa baada ya muda akaanza kubadilika hapigi simu mpaka nimpigie ,hatumi sms mpaka mie nianze sometime kujibu hajibu mpaka hajisikie,

Nilijaribu kuongea nae sana lakini sikuwa nayaona mabadiliko yeyote toka kwake basi nikajisemea tu no sweat ngoja nifocus na mwanangu huku nitafute ata kamchepuko ka kuzugia ili nikiona kageuka niamishie majeshi sehemu nyingine yeye ni mtu mzima asiniumize kichwa wakati huo wote niko mkoani natafuta kwa ajiri yao,

Sasa baada ya kupita muda flani ilibidi aje nilipo ofcourse sikuwa na hiyana kwa sababu ni mpenzi wangu nilimpokea na kumnjunja tena kweli kweli hakukaa sana kama wiki akarudi kwao lakini bado akawa anaendelea na ile tabia yake,


Sasa wiki 2 zilizopita nayo akaja kunitembelea baada ya kukaa siku ya kwanza ,pili na tatu wakati tupo tunacheza game ziliingia Sms mfululizo kutoka kwa mchepuko wangu zikinisifia kwa maneno matamu tamu huku akiniita jina la mahaba akichombeza kwamba kama nikimuacha na kuoa mwingine basi lazima atajiua tu huku akisindikiza na picha yake moja matata aliyokaa kimtego mtego kiukweli alikuwa mashalah kuliko ata mpenzi wangu,

Baada ya kusoma zile sms mpenzi wangu alimaindi mbaya na kutaka tuachane nilimvuta mahala nikambembeleza na kumpa penzi moja matata na ugomvi ukaishia hapo,

Matokeo yake sasa baada ya hapo na ata baada ya kurudi kwao niliona mabadiliko makubwa sana, ananitafuta kwenye simu kuliko wakati wowote ,sms ndo haziishi, maneno matamu tamu ndio usiseme sauti ya kubembeleza tena ile hadhimu kabisa ndio naipata sasa kutoka kwake,
 
Naunga mkojo hoja.

Mi mchepuko ulikua ukimpigia simu wife kabisa wanachambanaaa wee afu badae wife anakuja ananiambia ivi wewe King Elly unakosa Nini kwangu mbona utulii Basi baada ya hapo ni mapenz
Mchepuko umesaidia sana kumrekebisha huyu mpenz wangu kwa kweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom