Nimemuomba ex wangu aniombee msamaha kwa babe wangu

Nimemuomba ex wangu aniombee msamaha kwa babe wangu

Nothing Changes IF Nothing Changes.

Lait ungejua huyo Ex wako atakachoenda kumwambia huyo mpya usishangae siku wakaja wakakugegeda wote wawili.

Men will always be men... hasa kama hivo umewapa nafasi wakae waongee..

Jipe muda tu, Utuletee mrejesho

Thank me later
 
Mkuu unachotaka kuna benefit unazopata toka kwa ex wako na ndio maana hutaki aondoke. Mwanaume unapaswa kuwa na msimamo. Kama humtaki ya nini kukaa karibu na ex? Chagua kitu kimoja. Kama unaona huyo mpya anakufaa zaidi ya ex basi achana na ex. Muache aondoke maishani mwako. Kwasababu ndilo ulilolichagua. Kama unamuhitaji achana na huyo mpya baki na ex. Wanaume wa siku hizi sijui mna matatizo gani.
Kuna marafiki sio rahisi kuwapoteza japo hutaki wawe wapenzi wako tena.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio mapenzi, wewe ni mbinafsi ( selfish) yani dada wa watu ume mbinua binua wee mpaka labia minora imetepeta alafu siku umekutana na new pussy hata hujaionja bado ukaamua tu X hafai tena kwa matumizi. Nyie ndo mnasababisha wanawake tuwe wachawi. Akuweke kwenye chupa tu maana akili huna.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mleta sred ni mwanamke
 
Baada ya hili tukio mkuu ex si ameshajua msimamo wangu kuwa simhitaji tena kufanya maisha ya familia yeye rafiki tu.
Mkuu unachotaka kuna benefit unazopata toka kwa ex wako na ndio maana hutaki aondoke. Mwanaume unapaswa kuwa na msimamo. Kama humtaki ya nini kukaa karibu na ex? Chagua kitu kimoja. Kama unaona huyo mpya anakufaa zaidi ya ex basi achana na ex. Muache aondoke maishani mwako. Kwasababu ndilo ulilolichagua. Kama unamuhitaji achana na huyo mpya baki na ex. Wanaume wa siku hizi sijui mna matatizo gani.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya hili tukio mkuu ex si ameshajua msimamo wangu kuwa simhitaji tena kufanya maisha ya familia yeye rafiki tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mwanaume alishakataa K inayoletwa kwa sahani. Tatizo lako hujijui maana upo over 30 years na unafanya mambo ya mabinti wa 20-24 ambao they have nothing to lose.
 
Namshauri jamaa asioe mwanamke asiye na bikra.

Mambo ya kipuuzi kama haya hayatamkumba.
 
Kuna kitu nimeki-note hapa. Wewe na wanawake wenzio walikuwa wakali wakifikiria ni mwanaume. Ulipojua kuwa ni mwanamke mwenzio, ukapoa.
Sijapoa. Nimemuona mtoa mada ni zero brain. Yani anamuacha mwanaume ambae anampenda kwa mwanaume anahisi anaweza kua na future nae. Huo ni uzumbukuku.

Inaweza ikawa ni under age maana mwanamke aliepevuka hawezi kufanya utumbo anaoufanya sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom