Endelea kumtunuku K huyo wa zamani na achana na mpya
Sijakusoma mkuu, huyu current tunapendana na tunaendana yaani kiufupi nampenda kuliko ex, ex nilimpendaga zamani sio sasa, namuona kama rafiki tu.Sijapoa. Nimemuona mtoa mada ni zero brain. Yani anamuacha mwanaume ambae anampenda kwa mwanaume anahisi anaweza kua na future nae. Huo ni uzumbukuku.
Inaweza ikawa ni under age maana mwanamke aliepevuka hawezi kufanya utumbo anaoufanya sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ni dume anafurahisha genge! Angalia majibu yake, hata mvuta bangi wa kike kama wema hana ubavu wa kuhadithia hiviSijapoa. Nimemuona mtoa mada ni zero brain. Yani anamuacha mwanaume ambae anampenda kwa mwanaume anahisi anaweza kua na future nae. Huo ni uzumbukuku.
Inaweza ikawa ni under age maana mwanamke aliepevuka hawezi kufanya utumbo anaoufanya sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
New lover tunapandana nae ananipenda sana na tumeshafanya mambo mengi kuliko tulivofanya na exHivi vip Kama huyo new lover asipokuowa
Na huyo x angekuowa
Hakika Ni ngumu kujua mwanamke anataka nn
kelphin kepph
kwani ex hakufyambi sasa?Sijakusoma mkuu, huyu current tunapendana na tunaendana yaani kiufupi nampenda kuliko ex, ex nilimpendaga zamani sio sasa, namuona kama rafiki tu.
So maisha nataka fanya na huyu current sio ex.
Sent using Jamii Forums mobile app
Fanya nae maisha sasa una ha ha nini humu ndani?Sijakusoma mkuu, huyu current tunapendana na tunaendana yaani kiufupi nampenda kuliko ex, ex nilimpendaga zamani sio sasa, namuona kama rafiki tu.
So maisha nataka fanya na huyu current sio ex.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!Huyu ni dume anafurahisha genge! Angalia majibu yake, hata mvuta bangi wa kike kama wema hana ubavu wa kuhadithia hivi
Hakuna sex between us kwanza tuko distant sana.kwani ex hakufyambi sasa?
Nina wasiwasi na wewe, weka picha yako hapa
Nimemtuma ex aniombee msamaha ndio nasubiri majibu chanya hapa.
Hayawezi kunikuta coz I play my cards right.Nimemtuma ex aniombee msamaha ndio nasubiri majibu chanya hapa.
Omba yasikukute tu
Sent using Jamii Forums mobile app
..............[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu ni dume anafurahisha genge! Angalia majibu yake, hata mvuta bangi wa kike kama wema hana ubavu wa kuhadithia hivi
Hela natafuta sana mazee!Unataka ufanye maisha na mpenzi wako mpya,ushauri wangu jitahidi utafute hela zako kwa njia halali.
Sent using Jamii Forums mobile app
..............[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina wasiwasi na wewe, weka picha yako hapa