Kalosa
JF-Expert Member
- Feb 22, 2017
- 1,915
- 5,593
Wewe ushapata ?What goes around comes around,
Subiri na wewe saizi yako kutoka Tigo
Kwa hiyo sisi tukusaidie nini bwana mdogo ?
Achana nao wote wawili. Tafuta mwingineMnisaidie mbinu za kumrudisha mpenzi alievurugwa na ex mbea kuingilia privacy zangu na kupeleka habari kwa mpya
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni malayaKipya kinyemi... Unasema unajua uwezo wa x hivyo umemtuma, x hutaki aondoke mazima unataka uwe mfariji sababu ya historia zenu na unajua aliyopitia, huyu current unamkubali unataka mjenge maisha. Aisee! Mpaka hapo mm kwa akili yangu ya mwanaume sijakuelewa. Kwann huwa mnapenda kuwa vuguvugu wanawake? Kwann usiwe moto au baridi? 'simtaki huyu mkaka ila nataka pesa zake ngoja nibuy buy time, simpendi huyu ila ananisaidia kazi wacha nibuy buy time, huyu sina mpango nae lakini ngoja tu akae akae ni mcheshi sana" yaani wanawake wengi ni wahuni kwa style hii.. Au jina zuri ni wanawake wengi ni____-+-
Badae uje unipe mrejesho kujua kama ex kafanya huo ujinga au kakaza kibahari ila mm binafs kama ex ataenda kukuombea msamaha bas namvua vyeo vyote hTa kwenye kwata namfukuza
Huo n ujinga wa kiwango cha sgr
Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTETena ujinga wa hali ya juu sana..
Kuna ukweli hapaNamshauri jamaa asioe mwanamke asiye na bikra.
Mambo ya kipuuzi kama haya hayatamkumba.
Kweli, tatizo lughaNi malaya
tatizo lugha
Pole.
Tigo pesa?What goes around comes around,
Subiri na wewe saizi yako kutoka Tigo
Wewe ni mjinga sana hakuna mwanamke atafanya huo upumbavu