Nimemuomba ex wangu aniombee msamaha kwa babe wangu

Nimemuomba ex wangu aniombee msamaha kwa babe wangu

Aaahhhh

Nahisi ex amenisaidia maana huyu tunaendeelea japo simsomi kiviiileeee
Atakuwa ananilia timing au amenielewa na kunichukulia poa.... Nahisi tu sina hakika.
 
Nikisoma post Kama hizi huwa,,,nao a kabisa Kuna faida za kuwa single,,

ok, maisha mema na new life partiner

Sent using Jamii Forums mobile app,using POP 2 power
 
Tumemalizana mkuu sema nimetumia mbinu za kibabe sana babe amenielewa na amerejesha majeshi yaani weekend penzi lilikuwa kama ndio linaanza vile kumbe tuna miaka takribani miwili sasa.

Huyu ex nimemuuzia kesi zote kuwa alikuwa anajipendekeza kwangu babe amenielewa sana
Hahah Leo na uchovu huu nilionao thanks nimecheka sana hasa kwa majibu yako
Nipe namba mkuu niongee nae sasa ili umsome vizuri coz sipendi rafiki yangu kuishi ktk hiyo hali uliyonayo!
Hahah
Anakulia timing tu huyo!



Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom