Nimemuomba ex wangu aniombee msamaha kwa babe wangu

Hakuna binti ambae hana cha kupoteza linapokuja suala la kuliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe! Kwangu naonaga mabinti under 24 ni. Very cooperative hasa likija suala la mahusiano maana masuala ya ndoa bado hayajawaingia ila ni come easygoing easy! Hawabani sana kama wa 24+ (unless ni muoaji)
 
Mwanamke yeyote bila kujali ana umri gani kubadilisha wanaume kila mara sio sifa. Hata wanaume pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau mambo ni mengi muda mchache.

Niliamua kumuacha ex wangu kisirisiri bila yeye kujua nikaanzisha mahusiano mapya nikijua ex atasoma tu alama za nyakati ata jimuvuzisha on na mwingine wala sikumbana sana katika hilo though niliendeleza mawasiliano nae kimtindo.

Ajabu ex eti hajanisoma kama nishamdelete yeye anakomaa na Mimi tu mpaka akagundua Nina mpenzi mpya ambae kimsingi ndio nataka fanya nae maisha maana ananifaa zaidi ya ex.

By the way huyu ex nimekuwa nae muda mrefu kwakuwa kiukweli amepitia magumu sana na mimi sikutaka kumuacha nikawa mtu wa karibu yake sana nikimfariji na kumtia moyo asijeharibikiwa.

Ex akagundua Nina mpenzi mpya akaniuliza nikamwambia kweli basi zitokea hapa na pale ila sikuacha kuwasiliana na ex nae kumbe hajanitoa kwenye mahaba yake.

One day ex si akaamua kumtell huyu partner material wangu kuwa mimi niko nao wote na ninamtumia kumharibia hisia na mazaga kibao akamtonya juu yangu aisee. Wakati anamtonya mimi niko na material partner pamoja, akaniuliza hizo tuhuma kweli?

Nikamwambia huyu sina uhusiano nae ni rafiki Wa muda mrefu basi ikawekwa loud speaker nahojiwa pale Mimi nikamkana sina mahusiano nae, ex alibwatuka sana anyways.

Mpenzi wangu akaumia nami sikupenda kitendo cha ex kunisemea vile. Maana akili yangu ilijua huyu ashakuwa ex kumbe hajanitoa akilini mwake dah...

Nikajieleza kwa mpenzi hanielewi akasepa pale ndipo Mimi kesho yake ikabidi nimtafute ex nimpange anisamehe kama hakugundua Mimi mapenzi kwake yaliisha nataka Fanya maisha na huyu na Niko serious nae this time yaani namuhitaji haswa.

Nikamuomba ex kwakuwa yeye ndio amekisanua basi aongee nae Mimi asiniache huyu mpenzi mpya nina future plans nae na yeye aendelee kuwa rafiki mwema tu atapata mpenzi mwingine Mimi aniache nifanye maisha.

Wadau nasubiri mrejesho mpenzi anirudie nina imani huyu ex lazima atayajenga tu coz uwezo wake naufahamu.
Maoni yenu tafadhali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh, mm ningekua ndo huyo MR Mngekula makofi wote wawili
 
Aisee.
Iko hivi Avriel wadau wanachojaribu kukwambia hapa.
1. Kwanza umemuacha huyo unaemuita Ex bila sababu za msingi na ulipoamua hivyo hukumwambia, (Lugha rahisi wewe Ni msaliti) kwamba eti umepata unaeendana nae, mara mmefanya mengi na blah blah blah blah...... Lakini je huyu Mpya unajua yeye anakuwazia Nini hasa baada ya kutokea hili Jambo?. Jibu rahisi HATOKUAMINI TENA KIRAHISI na tegemea lolote.

2. Pili hebu kuwa na msimamo, chagua Mmoja " Huwezi kutaka vyote" ndio maana mdau Mmoja kasema wewe Ni Selfish. Mfano Mimi ningekuwa huyo Jamaa Mpya ningekuacha on the spot. ( Tena na uyo unaemuita ex angekuja kuniambia chochote kile Bado vile vile ningekuacha sababu sio muaminifu na muwazi na huna upendo wa kweli)
Hebu jiulize huyo Ex unasema ulimpendaga kwa hiyo hapo mwanzo alikuwaje na Sasa hivi amekuwaje hadi umemuacha? Najua jibu lako utasema nimepata mtu Mpya tunaeendana nae na blah blah blah. ( Tunarudi pale pale wewe ni msaliti)

3. Kiufupi hapo umeshaharibu kwa kukosa upendo na msimamo. Huyo Jamaa Mpya hatokuamini Tena kirahisi ( Doa tayari) Ex nae hata mkirudiana nae pia hatokuamini Tena kirahisi. (Huna chako). Endapo yoyote kati ya hao wawili akikubali kuwa na wewe, basi ujue hakuna atakae kuwa na future na wewe, maana umeshaingiza kirusi katika mahusiano yako. Tena mistake kubwa kuruhusu ex wako akaongee na huyo Jamaa Mpya. Unadhani atakupigia magoti ili mahusiano yako yawe poa? Ili iweje? Wakati ulimsaliti. "BIG NO". Na kamwe hautajua walichoongea ila wewe subiri matokeo tu.

Wanaume tunaponusa harufu ya usaliti. Huwa Ni ngumu mno Tena mno kurudi katika hali ile ilivyokuwa awali.
Hivyo tegemea baya lolote Kuanzia Sasa na unaweza poteza muda wako ukaja umia Sana baadae. Kumbe watu wanakutafutia timing tu ya kurevenge.

All the best.
 
Shukrani sana, nimekuelewa sana...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom