Kipya kinyemi... Unasema unajua uwezo wa x hivyo umemtuma, x hutaki aondoke mazima unataka uwe mfariji sababu ya historia zenu na unajua aliyopitia, huyu current unamkubali unataka mjenge maisha. Aisee! Mpaka hapo mm kwa akili yangu ya mwanaume sijakuelewa. Kwann huwa mnapenda kuwa vuguvugu wanawake? Kwann usiwe moto au baridi? 'simtaki huyu mkaka ila nataka pesa zake ngoja nibuy buy time, simpendi huyu ila ananisaidia kazi wacha nibuy buy time, huyu sina mpango nae lakini ngoja tu akae akae ni mcheshi sana" yaani wanawake wengi ni wahuni kwa style hii.. Au jina zuri ni wanawake wengi ni____-+-