Nimemuomba ex wangu aniombee msamaha kwa babe wangu

Nimemuomba ex wangu aniombee msamaha kwa babe wangu

Sio mapenzi, wewe ni mbinafsi ( selfish) yani dada wa watu ume mbinua binua wee mpaka labia minora imetepeta alafu siku umekutana na new pussy hata hujaionja bado ukaamua tu X hafai tena kwa matumizi. Nyie ndo mnasababisha wanawake tuwe wachawi. Akuweke kwenye chupa tu maana akili huna.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa mada ni wa kike nadhani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me mwenyewe nilijua ni wa kiume.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani sababu ya kwanza ni kwamba ni wanawake wachache sana wenye ujasiri wa kuleta uzi wa namna hii (japo huko nje mambo ya namna hii tunayafanya sana tu) ndio maana moja kwa moja wadau wamejua ni mwanaume. Sababu ya pili ni lugha aliyotumia...amekisanua, akasepa n.k maneno ya aina hii mara nyingi hutumiwa na jinsia nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na mimi ndio hofu yangu hiyo, mbaya zaidi tayari ameshatia doa uhusiano

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona wanaume huwa tunawasamehe waki mess up issue kama hizi?
Please my current life partner forgive me huyo ex simuhitaji kimaisha yeye mshikaji tu na best friend, na umsikilize akikuomba umisamehe tuendeleze maisha.
Dah mapenzi jamani mmhhh, hapa naandika lakini huu moto ninaoufeel haulezeki tu.

Sisi tunasamehe ndio lakini nadhani unaelewa hulka ya wanaume...wakishanusa harufu ya usaliti hawajui kitu kinaitwa kusamehe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwann ulimuacha ex wako?? hukuridhika nae sababu ya tamaa zako,

na kwnn umuache ex wako wakti yeye anakuhesabia ww kama mwenzi wa maisha?? ajiongeze vipi sasa wakati hujafunguka kumwambia???
Yupi sasa?
Si niliamua kufanya maisha na mpya sema huyu ex nae alishindwa kujiongeza tu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kuacha kuna sababu nyingi, nilipima mambo kadhaa nikamuona hafit tena ndipo nikaanzisha mahusiano mapya

Back
Top Bottom