madem wa bongo wahajui kitu kinaitwa kusplit the bill...yaani inakula kwako mkuu ...sasa angalia mtoto Wa kike metabolism ya mwili ndogo unakula kuku mzma utadhani umetoka kubeba zege
Unakimbia 29,000/=,
Unatongoza wa nini kama huna ubavu.
Naona wadada mwateteana kwa huu upuuzi
Nikupigie simu uje wewe kama wewe unaniletea mijitu hainihusu
Wewe ukila hata laki ntalipa manake nakuwa nahudumia mgodi ambao one day utatema madini!
Haya kuhusu shosti wako uliyemkokota ukaja naye inakuwaje sasa!
Umefanya vizuri sana kaka mkubwa
Sasa huyu first date tu kuona shosti kakimbia. Anajuaje kama huyu ndio asingechangia? Hajakaa na mdada wa watu walau mara mbili ttu akamsoma tabia? Yeye ndio kakimbia kulipa. Angeweka mezani share yake ya bill kabla hajatoroka
mdada mmoja alinifuata akaniambia atanipa offer ya lunch somewhere, tukaenda siku hiyo bili imekuja ananipa nilipe, nilishangaa sana.
kani wenye pesa nyembamba hawaruhusiwi kupewa vitu vitamu?
mkichapiwa bado mnakuja kujaza server JF
mbona kama hayo mahesabu hayaji
spot on!,......Watu watamlaumu mtoa Mada na kumwita cheap, I don't think it's about money na hata kama inge kuwa ni pesa mtu unazo but unalipa unwillingly, haya mapenzi ya kibongo ya kwenda date sijui wanaita appointment na mtu mi huwa sielewi, unaendaje date na mtu?!!, hivyo si inatakuwa kuwa private?!!
Na kama issue ni kuogopa kubakwa/kuuwawa, why go in the first place?!, sa rafiki yako mwenye nguvu kama wewe ndo wakusaidia?!!
Si nenda na bodyguard basi tujue moja!
Itakuwa ni bei ya vichochoroni hio.
Mie nilishaambiwa natolewa out ya besdei. Tena mkaka ndugu yangu wa karibu msomi tu kila siku anaenda vacations. Kachagua sehemu elegant. Bill imekuja akaipotezea nikalipa tu kiroho swafi.
Kulipa bill sio issue.
Asa kuku gani bill ije $29,000......?
unakimbiaje kidate cha siku ya kwanza kisa mtu kaja na rafiki yake na ka bill kenyewe tsh 29,000...kama ingekuwa ni mara ya pili ama ya tatu uyo duu kafanya ivyo ningesema ni tabia yake
kuna watu mabwege kweli..mnamchekamskaji mnafikiri uhona honhga ni sifa...alf washika pembe ndo mara nyingi yanaongaga sana