Nimemuachia bill mchunaji

Nimemuachia bill mchunaji

kumbe na wewe huwa unakutana na wa aina hii???!!! mara ya mwisho kusoma post yako mahali fulani ulisema we huwa unakutana na wanawake wastaarabu,wenye heshima tu.

cc: Matola

Ile kama sikosei ilikuwa kuona na si kukutana...nakumbuka nilisema sijawahi kuona....
 
Last edited by a moderator:
Hamna kitu kinacho nikera kama umemtoa out kwa mara ya kwanza ana agiza kuku 2 moja anasema Mama yake anapenda sana kuku so anamfungia!

Mara 3 imenitokea hii
 
Hamna kitu kinacho nikera kama umemtoa out kwa mara ya kwanza ana agiza kuku 2 moja anasema Mama yake anapenda sana kuku so anamfungia!

Mara 3 imenitokea hii

Je wewe ni buzi maana mabuzi ndo huwa yanafanyiwa hivyo
 
madem wa bongo wahajui kitu kinaitwa kusplit the bill...yaani inakula kwako mkuu ...sasa angalia mtoto Wa kike metabolism ya mwili ndogo unakula kuku mzma utadhani umetoka kubeba zege

Ahahahahaua mkuu umenikumbusha mbali sana,wakija sehemu ya appointment wala hawaulizi una bei gani

Akaagiza kuku nzima,chips,savanah 3 then akaagiza urojo na baadae savanah zingine 3

Kabla hatujaanza hata mazungumzo akamuambia Mangi kuku ingine afunge,then akaagiza mtori na baadae kababu .

Hapo ikabidi nimuambie ukweli ukiagiza kingine utalipa mwenyewe maana pesa niliyokuja nayo imebaki nauli ya bodaboda tu!

Akachukia sana kuanza kupaka mbovu hata mazungumzo hayakufanyika!
 
Hapana mm ni mwanamme ninaye jitambua dada ila nakiri yule dada wa Mburahati alinizidi maarifa!!

Basi Mwenzio alikuja Kuchuna a.k.a kukomeshea. Au amevijulia hotelini amekulia chokest.Binadam mwenye akili huwezi pewa ofa uagize kuku mzima, kabab, urojo, bia, na zile nakadhalika zingine bado takeaway. Huo Ni ulafi.
Na nyie muwe mnaangalia wanawake wa kutongoza
 
Ukimwangalia ni mrembo sana,kwa kweli kaumbika ila tabia sio nzuri!Nilikutana nae uwanja wa Taifa Yanga na Simba!

Hapo nimesahau kutaja mayai 2 na chokistiki maana pia aliagiza ehehehehehe
 
Ukikwangalia ni mrembo sana kwa kweli kaumbika!Nilikutana nae uwanja wa Taifa Yanga na Simba!

Hapo nimesahau kutaja mayai 2 na chokistiki maana pia aliagiza ehehehehehe

Nahisi imetia pilipili kuongeza ukali. Haiwezekani
 
Nahisi imetia pilipili kuongeza ukali. Haiwezekani

Kama kuna mtu hapa kawahi Date msichana chokoraa atakuja kuleta ushahidi wake!

Nina rafiki yangu yy date ya kwanza kaja na rafiki yake,dada zake 2;mjomba,binam na wote wamekuja na bajaji tofauti jamaa anaombwa nauli kutoka Gongo la mboto hadi kwenye miadi Sinza ehhehehe!

Kwenye nauli tu hela yote aliyokuja nayo ikawa kama imeisha jamaa ikabidi aanzishe fujo!

Huku Uswazi date tunaziogopa sana dada maana bi gharama sana sababu madada wengi kama wanakomoa
 
Basi huyo demu ni zaidi ya Ebola
 
Ni 290000 au 29000??? Kama ni elfu 29, utakuwa umejiabisha sana. Ndio maana mnagongewa wasichana wenu. Nonsense!
 
Hapo kaenda kwa bei rahisi kakimbia, je akienda zile sehemu viwango itakuwaje mana hiyo 29,000 ni bei ya maji bado chakula na vinywaji.
Mbona me sielewi,hiyo sehemu ni ya bei nafuu..!!? Wastani wa kuku 1 tsh 10000/= bado mnasema bei rahisi? Hapa nilipo mm,kuku mzima ni elf 6. Hata hivyo umalaya una gharama sana,elf 29 bado watu wanaziona ndogo!? Km hali ndo hii wanaume wataendelea kuonekana wana roho mbaya kwa wazazi na ndugu kila kukicha!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom