Nimempoteza mke wangu kipenzi

Nimempoteza mke wangu kipenzi

Pole sana broo!

Hakuna jambo gumu kama kumsubiri mama akiwa Labor!

Last time,ilibidi niamke saa Tisa usku,niliona kekundu kananyemelea,Nililia mbele zake muumba Hadi moyo ulipotulia!!

Pole sana Man!naijua hiyo hali!!
 
Pole sana kiongozi! Hata sitaki kuingia kwenye viatu vyako! Mungu tu mwenyewe akupe faraja!
 
Siku isiyo sahaulika katika historia ya maisha yangu ni pamoja na hii tarehe 6/11/2026 saa 11 alfajiri nikiwa katika hospitali ya litembo, muda na saa ambayo mke wangu kipenzi alipoteza uhai baada ya kupata upasuaji kwaajili ya kuleta mtoto.

Ee Mungu nakusihi Ee Bwana wangu ikikupendeza wewe umfufue mke wangu kwaajili tu ya utukufu wako ili niwe naye tena, nashindwa kuhimili huu upweke
Pole.
 
Poleni
 
Daah pole sana mkuu, hamkumchelewesha kwenda hospital lakin?

Hapa Kuna jirani mimba iliyopita alifanyiwa oparesheni mtoto sasa hivi ana mwaka na miez 8 ila alibemba mimba nyingine ndani ya mwaka anakaribia kujifungua hospital wamemshauri asisubir uchungu na anatakiwa afanyiwe oparesheni nyingine ila yeye na mume wake wamewagomea ma Dr wanadai watajufungua Kwa njia ya kawaida Kwa uwezo wa Mungu sasa watu kama Hawa ni wa kuwaonea huruma sana
 
Back
Top Bottom