Pole mkuuSiku isiyo sahaulika katika historia ya maisha yangu ni pamoja na hii tarehe 6/11/2026 saa 11 alfajiri nikiwa katika hospitali ya litembo, muda na saa ambayo mke wangu kipenzi alipoteza uhai baada ya kupata upasuaji kwaajili ya kuleta mtoto.
Ee Mungu nakusihi Ee Bwana wangu ikikupendeza wewe umfufue mke wangu kwaajili tu ya utukufu wako ili niwe naye tena, nashindwa kuhimili huu upweke
Pole sana.Siku isiyo sahaulika katika historia ya maisha yangu ni pamoja na hii tarehe 6/11/2026 saa 11 alfajiri nikiwa katika hospitali ya litembo, muda na saa ambayo mke wangu kipenzi alipoteza uhai baada ya kupata upasuaji kwaajili ya kuleta mtoto.
Ee Mungu nakusihi Ee Bwana wangu ikikupendeza wewe umfufue mke wangu kwaajili tu ya utukufu wako ili niwe naye tena, nashindwa kuhimili huu upweke
Hii haipo mkuu. Kuna vitu unaweza kupata mbadala ila siyo mtu.Polee sana mkuu Mungu atakupa mbadala wake
Ni kweli namanisha Mungu akupe hata wa kukufuta machoziHii haipo mkuu. Kuna vitu unaweza kupata mbadala ila siyo mtu.
I feel your pain, ila kifo ni AHADI.. hato fufuka..Siku isiyo sahaulika katika historia ya maisha yangu ni pamoja na hii tarehe 6/11/2026 saa 11 alfajiri nikiwa katika hospitali ya litembo, muda na saa ambayo mke wangu kipenzi alipoteza uhai baada ya kupata upasuaji kwaajili ya kuleta mtoto.
Ee Mungu nakusihi Ee Bwana wangu ikikupendeza wewe umfufue mke wangu kwaajili tu ya utukufu wako ili niwe naye tena, nashindwa kuhimili huu upweke