Nimempoteza mke wangu kipenzi

Nimempoteza mke wangu kipenzi

Pole sana mkuu..
Ni mapenzi yake maulana, keep her and all experiences in your heart na uishi katika misingi ambayo hata angerudi duniani angefurahia..

My condolences mkuu🙏
 
Huduma za afya Tanzania bado sana...

Yaani miaka 60+ ya uhuru lakini bado tunapoteza mama/mtoto kipindi cha kujifungua...
 
Huduma za afya Tanzania bado sana...

Yaani miaka 60+ ya uhuru lakini bado tunapoteza mama/mtoto kipindi cha kujifungua...
Ni hatari sana!

Kitengo cha afya kimevamiwa na wasaka ajira/pesa, ule wito haupo au umebaki kwa wachache sana.

Mfiwa Mungu akujalie uvumilivu kipindi hiki kizito.
Kutegemea furaha ya kupata mtoto halafu ghafla inageuka kuwa msiba ni jambo gumu lisiloelezeka.
Pole sana.
 
Siku isiyo sahaulika katika historia ya maisha yangu ni pamoja na hii tarehe 6/11/2026 saa 11 alfajiri nikiwa katika hospitali ya litembo, muda na saa ambayo mke wangu kipenzi alipoteza uhai baada ya kupata upasuaji kwaajili ya kuleta mtoto.

Ee Mungu nakusihi Ee Bwana wangu ikikupendeza wewe umfufue mke wangu kwaajili tu ya utukufu wako ili niwe naye tena, nashindwa kuhimili huu upweke
Makiwa na namuombea marehemu maghufira kwa Jala Jalal
 
Pole sana mkuu..
Ni mapenzi yake maulana, keep her and all experiences in your heart na uishi katika misingi ambayo hata angerudi duniani angefurahia..

My condolences mkuu🙏
Pole sana Mungu akupe nguvu kwenye kipindi hiki kigumu
 
Back
Top Bottom