Nimempenda sister wa kanisa

Nimempenda sister wa kanisa

Najaribu kukujengea picha jinsi ulivyo mlaini, yani unakanyaga gauni la mwanamke unataka kuanguka wewe halafu tena ile unaelekea kuanguka mwanamke tena sister anakudaka..

kwenye ngaz kuna namna ilivyonitokea ndugu
Nmekanyaga mguu wa kwanza wa pil kwendeleza ngaz nikalikwaa
Hata ww big unaanguka
 
Unafeli wapi wewe,wale ni binadamu,tushawabandua wengi,ukimba Dua hakua hi ngo kwanza Wana Minato hatari na anaisikilizia mwisho,kiukweli ndo anakuwa ameuona ufalme was Mungu amin
Nyi kina nani mmeshawabandua wengi? Mlikuwa na orgy au?
 
Uislam itumia sayansi zuri sana hii, yakuwatenganesha mwanaume na wakike, ilikua inatakiwa kuigwa na dini zingine.?
Sasa mnasali wanaume watupu mnainama si bora kungekuwa na wanawake, mawazo ya kushikana upinde yangepungua.
 
Ukikutana nae mzuri anakuwa mzuri kweli tatizo lao wengi roho mbaya mno hawafanani na kazi zao kabisa,

Kuna mmoja nilisema haya ni matumizi mabaya ya usista maza lina shepu ya kwenda, tulikutana harusini mwaka juzi alijitambulisha anatokea igunga km vile, aiseee lile dude ni konyo
 
Mtongoze.

Mimi kwa manhood testosterone nilizonazo, mwanamke yoyote anaenivutia na nikapata nafasi namtongoza.

Bora anikatae kuliko kutokumtongoza. Najisikia mwenye hatia sana kama sijamtongoza kuliko kitu chochote.

Kutongoza ni natural job description ya mwanaume.

Mwalimu wangu mkuu ni 🐓 jogoo, yeye atafukiza jike, haijalishi atalipata ama hapati ila ametimiza wajibu wake wa kutongoza. Akikosa alikua anafanya mazoezi akipata anapata raha Duniani.

Mtoto wa kiume inabidi uone aibu zaidi kwa kutokutumiza wajibu wako kuliko kutimiza halafu ukakataliwa, wewe timiza wajibu wako wa asili, tongoza.
Comment of the week.....tutongoze wadau,yoyote yule anayekuvutia ww tongoza tu
 
Habari za Jumapili wapendwa..

Leo nimeenda kanisani kama kawaida yangu, ikabidi nikae siti za kati kati kabisa ya kanisa. Sasa sisters wa kanisa wawili wakaja wakaketi sit ya mbele yangu, Ibada ikaanza.
Sio kwamba nilikuwa sifatilizi ibada, lakini unaweza ukawa hata umesimama barabarani magari yanapita huyashangai. Ila kuna gari moja linaweza pita ukajikuta umeanza kulitazama hadi likatokomea.

Kwenye ibada kuna kusimama, kupiga magoti, na kukaa.
Yule sister bhana kwenye kukaa, anaangalia sehem anapoketi (kwenye dawati) anavuta nguo yake kwa heshima anaketi. (Mda huo akiwa anafanya hivyo hadi na kasura kake unakaona [nusu face] anapovuta nguo yake ili aketi)

Mh nikajikuta nimemtazama (Mungu asikunyime macho. Macho yanatazama vizuri na vibaya). Kizuri kisifie …yule sister bhana ni mzuri. Ni mzuri wote kwa muonekano hadi anavyo jishugulisha na ibada.

Kijana wa watu nikapotelewa na utulivu wa ibada, nikajikuta kila anaporudi kukaa, nikawa nayaruhusu macho yafurahie uzuri na ustaarabu wa yule sister.
Najua wanaume tukipendaga kitu kuanzia tunapo kiangalia huwa tuna tabia ya kukifikisha kwenye ubongo na ubongo kukipangilia kitu hicho kinastahili vipi, yani kama ni kiwanja tunaonaga hadi nyumba imekamilika na kuisha.

Ibada ikaendelea tukamaliza salama. Wakati natoka nje, sister naye akawa amefika zam yake akanifuata nyuma, tukatoka nje.
Wakati tunashuka ngazi za nje ya kanisa kuna mama gauni lake kilikuwa refu linaburuza chini, nikajikuta nimelikanyaga.
Ile naelekea kuanguka kwenda chini. Paap! Nikasikia mtu amenidaka mkono kuzuia nisianguke.
Kutazama nyuma ni sister.

Mama mwenye gauni refu: Samahani kijana poleh!

Mimi: Asante ….. Samahani mama.

Sister: Taratibu kijana poleh

Mimi: Asante sana Sister

Sister: Uwe na Amani.

Sister akaniachia mkono, nikageuka vizuri nimtazame huku nikimjibu Amen sister.

Yule sister ni mzuri nyie.
Sister akanyoosha mkono kuelekeza njia..haya twende 🫱

HIVI KUMPENDA SISTER NI DHAMBI?
Vp hawanaga namba za simu ungeomba!?
au ukitaka kumpata mpaka umpigie Paroko
 
Back
Top Bottom