OSEFUKANY
JF-Expert Member
- Jan 16, 2011
- 2,437
- 3,905
Wengi wetu (nami nikiwemo) utamsikia mtu anasema; "aisee dah! yule binti nimempenda sana tena mnooo. Ngoja nitafute connection" Ukimwuliza Je, umempendea nini wakati humjui hata jina? Atakujibu " Yule amesheheni supu na ni namba nane ya kishua halafu hajabakisha tako....Bhana cjui ukiwa naye kwenye sita kwa sita itakuwaje" Lakini kiukweli huyo hajampenda hata kidogo ila amemtamani sana na anachotamani ni kusex naye basi.Ninakushauri uache Tamaa Mbaya. Mpende kama unavyojipenda ww mwenyewe. Usitamani kumharibia malengo yake kama ww usivyopenda mtu akuharibie mipango na malengo yako. Asante.
Sasa endapo binti atakubali mahusiano basi ujue kinacholengwa hapo ni Kula tunda kimasihara na baada ya hapo - habari za mahusiano tupa kule anatafutwa mwingine na mchezo unaendelea.
🫡🫡🫡