Nimempenda sister wa kanisa

Nimempenda sister wa kanisa

We uwongo msimulei mamako siyo huku kwa watu wenye akili maana huyo mama ndiyo kazaa lijitu lipuuzi km wewe tayari ana hasara ingawa sijajua ni kiasi gani. Shwain

Sawa mmoja wapo kwenye hao watu wenye akili humu me mama kanizaa lijitu lipuuzi sawa we mama yako Mungu kamjalia kakuzaa unaakili hata kama me ni hasara ila tambua mama yangu ananitegemea (I am a fighter)

Hii simulizi haikukuhusu wewe
Sio kila kinachoandikwa humu ni kwaajili yako ili kikupendeze wewe HAPANA
Kilichowapendeza hata kama ni uwongo wanetoa maon na ushauri

Endelea kuperuzi utapata zitakazokupendeza ukikutana na kama hzi zinazokuchafua roho unaweza pita ndugu 🫱

ila pia Mama yangu nmemsimulia pia amecheka.. kanambia wale wamejitolea sio vizuri kuwafatiza
 
Kitendo cha kukwambia kijana.
Ndugu yangu endelea na maisha mengine. Huwawezi na huna hadhi. Asante.
La mwisho. Hawa watawa waheshimiwe kwa dizaini yyte. Si swala dogo kufika hapo, kwahyo usilete ushetani wako wa kuwachokonoa

Sawa tumkemee shetan ashindwe!
 
Ndo maana ndugu zetu walitenga sehemu za kuswalia kulingana na jinsia

Inaonekana wewe dogo ni mayai sana mpaka unadakwa na mwanamke ulipotaka kuanguka,au wewe ni kichalii cha form 2

hapana me shamalza kidato 2014 now
Mtafutaj
 
Habari za Jumapili wapendwa..

Leo nimeenda kanisani kama kawaida yangu, ikabidi nikae siti za kati kati kabisa ya kanisa. Sasa sisters wa kanisa wawili wakaja wakaketi sit ya mbele yangu, Ibada ikaanza.
Sio kwamba nilikuwa sifatilizi ibada, lakini unaweza ukawa hata umesimama barabarani magari yanapita huyashangai. Ila kuna gari moja linaweza pita ukajikuta umeanza kulitazama hadi likatokomea.

Kwenye ibada kuna kusimama, kupiga magoti, na kukaa.
Yule sister bhana kwenye kukaa, anaangalia sehem anapoketi (kwenye dawati) anavuta nguo yake kwa heshima anaketi. (Mda huo akiwa anafanya hivyo hadi na kasura kake unakaona [nusu face] anapovuta nguo yake ili aketi)

Mh nikajikuta nimemtazama (Mungu asikunyime macho. Macho yanatazama vizuri na vibaya). Kizuri kisifie …yule sister bhana ni mzuri. Ni mzuri wote kwa muonekano hadi anavyo jishugulisha na ibada.

Kijana wa watu nikapotelewa na utulivu wa ibada, nikajikuta kila anaporudi kukaa, nikawa nayaruhusu macho yafurahie uzuri na ustaarabu wa yule sister.
Najua wanaume tukipendaga kitu kuanzia tunapo kiangalia huwa tuna tabia ya kukifikisha kwenye ubongo na ubongo kukipangilia kitu hicho kinastahili vipi, yani kama ni kiwanja tunaonaga hadi nyumba imekamilika na kuisha.

Ibada ikaendelea tukamaliza salama. Wakati natoka nje, sister naye akawa amefika zam yake akanifuata nyuma, tukatoka nje.
Wakati tunashuka ngazi za nje ya kanisa kuna mama gauni lake kilikuwa refu linaburuza chini, nikajikuta nimelikanyaga.
Ile naelekea kuanguka kwenda chini. Paap! Nikasikia mtu amenidaka mkono kuzuia nisianguke.
Kutazama nyuma ni sister.

Mama mwenye gauni refu: Samahani kijana poleh!

Mimi: Asante ….. Samahani mama.

Sister: Taratibu kijana poleh

Mimi: Asante sana Sister

Sister: Uwe na Amani.

Sister akaniachia mkono, nikageuka vizuri nimtazame huku nikimjibu Amen sister.

Yule sister ni mzuri nyie.
Sister akanyoosha mkono kuelekeza njia..haya twende 🫱

HIVI KUMPENDA SISTER NI DHAMBI?
sio dhambi mie ninatembea nae mmoja leo ni mwaka wa 3 ni siri kubwa mno na huwa anani hadhithia ufuska wa mapandri ni hatari
 
Sio dhambi tu ni kesi ya jinai, kifungu ni kule sobibo mahakama iko italy vaitican pale kwa papa wa upinde
 
Najaribu kukujengea picha jinsi ulivyo mlaini, yani unakanyaga gauni la mwanamke unataka kuanguka wewe halafu tena ile unaelekea kuanguka mwanamke tena sister anakudaka..
 
Back
Top Bottom