Nimempenda sister wa kanisa

Nimempenda sister wa kanisa

Habari za Jumapili wapendwa..

Leo nimeenda kanisani kama kawaida yangu, ikabidi nikae siti za kati kati kabisa ya kanisa. Sasa sisters wa kanisa wawili wakaja wakaketi sit ya mbele yangu, Ibada ikaanza.
Sio kwamba nilikuwa sifatilizi ibada, lakini unaweza ukawa hata umesimama barabarani magari yanapita huyashangai. Ila kuna gari moja linaweza pita ukajikuta umeanza kulitazama hadi likatokomea.

Kwenye ibada kuna kusimama, kupiga magoti, na kukaa.
Yule sister bhana kwenye kukaa, anaangalia sehem anapoketi (kwenye dawati) anavuta nguo yake kwa heshima anaketi. (Mda huo akiwa anafanya hivyo hadi na kasura kake unakaona [nusu face] anapovuta nguo yake ili aketi)

Mh nikajikuta nimemtazama (Mungu asikunyime macho. Macho yanatazama vizuri na vibaya). Kizuri kisifie …yule sister bhana ni mzuri. Ni mzuri wote kwa muonekano hadi anavyo jishugulisha na ibada.

Kijana wa watu nikapotelewa na utulivu wa ibada, nikajikuta kila anaporudi kukaa, nikawa nayaruhusu macho yafurahie uzuri na ustaarabu wa yule sister.
Najua wanaume tukipendaga kitu kuanzia tunapo kiangalia huwa tuna tabia ya kukifikisha kwenye ubongo na ubongo kukipangilia kitu hicho kinastahili vipi, yani kama ni kiwanja tunaonaga hadi nyumba imekamilika na kuisha.

Ibada ikaendelea tukamaliza salama. Wakati natoka nje, sister naye akawa amefika zam yake akanifuata nyuma, tukatoka nje.
Wakati tunashuka ngazi za nje ya kanisa kuna mama gauni lake kilikuwa refu linaburuza chini, nikajikuta nimelikanyaga.
Ile naelekea kuanguka kwenda chini. Paap! Nikasikia mtu amenidaka mkono kuzuia nisianguke.
Kutazama nyuma ni sister.

Mama mwenye gauni refu: Samahani kijana poleh!

Mimi: Asante ….. Samahani mama.

Sister: Taratibu kijana poleh

Mimi: Asante sana Sister

Sister: Uwe na Amani.

Sister akaniachia mkono, nikageuka vizuri nimtazame huku nikimjibu Amen sister.

Yule sister ni mzuri nyie.
Sister akanyoosha mkono kuelekeza njia..haya twende 🫱

HIVI KUMPENDA SISTER NI DHAMBI?
Bado hamjagundua kwa Nini waislam hawajichanganyi na wanawake?
 
Ni nini kinafanyaga sasa mmiliki mke zaidi ya moja
Mnakwepa vishawishi kwa kukaa wanaume upande wao na wanawake upande wao. Ila mnaongeza mke sababu ya ngono.. ili yule siku hatoi uwende ukapapachue kwa mwenza
Ukitaka kujua hivyo niambie nabii gani alikua na mke mmoja
 
Habari za Jumapili wapendwa..

Leo nimeenda kanisani kama kawaida yangu, ikabidi nikae siti za kati kati kabisa ya kanisa. Sasa sisters wa kanisa wawili wakaja wakaketi sit ya mbele yangu, Ibada ikaanza.
Sio kwamba nilikuwa sifatilizi ibada, lakini unaweza ukawa hata umesimama barabarani magari yanapita huyashangai. Ila kuna gari moja linaweza pita ukajikuta umeanza kulitazama hadi likatokomea.

Kwenye ibada kuna kusimama, kupiga magoti, na kukaa.
Yule sister bhana kwenye kukaa, anaangalia sehem anapoketi (kwenye dawati) anavuta nguo yake kwa heshima anaketi. (Mda huo akiwa anafanya hivyo hadi na kasura kake unakaona [nusu face] anapovuta nguo yake ili aketi)

Mh nikajikuta nimemtazama (Mungu asikunyime macho. Macho yanatazama vizuri na vibaya). Kizuri kisifie …yule sister bhana ni mzuri. Ni mzuri wote kwa muonekano hadi anavyo jishugulisha na ibada.

Kijana wa watu nikapotelewa na utulivu wa ibada, nikajikuta kila anaporudi kukaa, nikawa nayaruhusu macho yafurahie uzuri na ustaarabu wa yule sister.
Najua wanaume tukipendaga kitu kuanzia tunapo kiangalia huwa tuna tabia ya kukifikisha kwenye ubongo na ubongo kukipangilia kitu hicho kinastahili vipi, yani kama ni kiwanja tunaonaga hadi nyumba imekamilika na kuisha.

Ibada ikaendelea tukamaliza salama. Wakati natoka nje, sister naye akawa amefika zam yake akanifuata nyuma, tukatoka nje.
Wakati tunashuka ngazi za nje ya kanisa kuna mama gauni lake kilikuwa refu linaburuza chini, nikajikuta nimelikanyaga.
Ile naelekea kuanguka kwenda chini. Paap! Nikasikia mtu amenidaka mkono kuzuia nisianguke.
Kutazama nyuma ni sister.

Mama mwenye gauni refu: Samahani kijana poleh!

Mimi: Asante ….. Samahani mama.

Sister: Taratibu kijana poleh

Mimi: Asante sana Sister

Sister: Uwe na Amani.

Sister akaniachia mkono, nikageuka vizuri nimtazame huku nikimjibu Amen sister.

Yule sister ni mzuri nyie.
Sister akanyoosha mkono kuelekeza njia..haya twende 🫱

HIVI KUMPENDA SISTER NI DHAMBI?
We uwongo msimulei mamako siyo huku kwa watu wenye akili maana huyo mama ndiyo kazaa lijitu lipuuzi km wewe tayari ana hasara ingawa sijajua ni kiasi gani. Shwain
 
Mtongoze.

Mimi kwa manhood testosterone nilizonazo, mwanamke yoyote anaenivutia na nikapata nafasi namtongoza.

Bora anikatae kuliko kutokumtongoza. Najisikia mwenye hatia sana kama sijamtongoza kuliko kitu chochote.

Kutongoza ni natural job description ya mwanaume.

Mwalimu wangu mkuu ni jogoo, yeye atafukiza jike, haijalishi atalipata ama hapati ila ametimiza wajibu wake wa kutongoza. Akikosa alikua anafanya mazoezi akipata anapata raha Duniani.

Mtoto wa kiume inabidi uone aibu zaidi kwa kutokutumiza wajibu wako kuliko kutimiza halafu ukakataliwa, wewe timiza wajibu wako wa asili, tongoza.
Umeongea kikamanda Zaid
 
Uislam itumia sayansi zuri sana hii, yakuwatenganesha mwanaume na wakike, ilikua inatakiwa kuigwa na dini zingine.?

Ni moja kati ya dini iliyofeli na kuonyesha ubaguzi mkubwa sana dhidi ya mama na dada zetu,mwanamke ni kiumbe duni sana katika hiyo dini,wala sio dini ya kuigwa kwa mwanadamu anayejielewa.
 
Udini, udini, udini, what the hell bullshit is this in the homosapiens brain?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Sio udini kasema haki kasema ilichokisema dini ya Kiislam miaka 1400 ulopita
Ni moja kati ya dini iliyofeli na kuonyesha ubaguzi mkubwa sana dhidi ya mama na dada zetu,mwanamke ni kiumbe duni sana katika hiyo dini,wala sio dini ya kuigwa kwa mwanadamu anayejielewa.
Huujui Uislam kaka bora nyamaza au isome vizuri dini ya Kiislam. Katika dini iliyomtukuza m'ke ni dini ya Kiislam
 
Mtongoze.

Mimi kwa manhood testosterone nilizonazo, mwanamke yoyote anaenivutia na nikapata nafasi namtongoza.

Bora anikatae kuliko kutokumtongoza. Najisikia mwenye hatia sana kama sijamtongoza kuliko kitu chochote.

Kutongoza ni natural job description ya mwanaume.

Mwalimu wangu mkuu ni 🐓 jogoo, yeye atafukiza jike, haijalishi atalipata ama hapati ila ametimiza wajibu wake wa kutongoza. Akikosa alikua anafanya mazoezi akipata anapata raha Duniani.

Mtoto wa kiume inabidi uone aibu zaidi kwa kutokutumiza wajibu wako kuliko kutimiza halafu ukakataliwa, wewe timiza wajibu wako wa asili, tongoza.
Nimecheka 🤣🤣🤣
 
Kitendo cha kukwambia kijana.
Ndugu yangu endelea na maisha mengine. Huwawezi na huna hadhi. Asante.
La mwisho. Hawa watawa waheshimiwe kwa dizaini yyte. Si swala dogo kufika hapo, kwahyo usilete ushetani wako wa kuwachokonoa
 
Back
Top Bottom