Nimempenda sister wa kanisa

Pac-Man

JF-Expert Member
Oct 18, 2016
465
737
Habari za Jumapili wapendwa..

Leo nimeenda kanisani kama kawaida yangu, ikabidi nikae siti za kati kati kabisa ya kanisa. Sasa sisters wa kanisa wawili wakaja wakaketi sit ya mbele yangu, Ibada ikaanza.

Sio kwamba nilikuwa sifatilizi ibada, lakini unaweza ukawa hata umesimama barabarani magari yanapita huyashangai. Ila kuna gari moja linaweza pita ukajikuta umeanza kulitazama hadi likatokomea.

Kwenye ibada kuna kusimama, kupiga magoti, na kukaa.
Yule sister bhana kwenye kukaa, anaangalia sehem anapoketi (kwenye dawati) anavuta nguo yake kwa heshima anaketi. (Mda huo akiwa anafanya hivyo hadi na kasura kake unakaona [nusu face] anapovuta nguo yake ili aketi)

Mh nikajikuta nimemtazama (Mungu asikunyime macho. Macho yanatazama vizuri na vibaya). Kizuri kisifie …yule sister bhana ni mzuri. Ni mzuri wote kwa muonekano hadi anavyo jishugulisha na ibada.

Kijana wa watu nikapotelewa na utulivu wa ibada, nikajikuta kila anaporudi kukaa, nikawa nayaruhusu macho yafurahie uzuri na ustaarabu wa yule sister.

Najua wanaume tukipendaga kitu kuanzia tunapo kiangalia huwa tuna tabia ya kukifikisha kwenye ubongo na ubongo kukipangilia kitu hicho kinastahili vipi, yani kama ni kiwanja tunaonaga hadi nyumba imekamilika na kuisha.

Ibada ikaendelea tukamaliza salama. Wakati natoka nje, sister naye akawa amefika zam yake akanifuata nyuma, tukatoka nje.

Wakati tunashuka ngazi za nje ya kanisa kuna mama gauni lake kilikuwa refu linaburuza chini, nikajikuta nimelikanyaga mguu wa kwanza ile naendelea kushuka ngazi pasipo kujua nmekangaga nguo, mguu wa pili nikajikwaa kwa lile gauni.

Ile naelekea kuanguka kwenda chini. Paap! Nikasikia mtu amenidaka mkono kuzuia nisianguke.
Kutazama nyuma ni sister.

Mama mwenye gauni refu: Samahani kijana poleh!

Mimi: Asante ….. Samahani mama.

Sister: Taratibu kijana poleh

Mimi: Asante sana Sister

Sister: Uwe na Amani.

Sister akaniachia mkono, nikageuka vizuri nimtazame huku nikimjibu Amen sister.

Yule sister ni mzuri nyie.
Sister akanyoosha mkono kuelekeza njia..haya twende 🫱

HIVI KUMPENDA SISTER NI DHAMBI?
 
Mtongoze.

Mimi kwa manhood testosterone nilizonazo, mwanamke yoyote anaenivutia na nikapata nafasi namtongoza.

Bora anikatae kuliko kutokumtongoza. Najisikia mwenye hatia sana kama sijamtongoza kuliko kitu chochote.

Kutongoza ni natural job description ya mwanaume.

Mwalimu wangu mkuu ni 🐓 jogoo, yeye atafukiza jike, haijalishi atalipata ama hapati ila ametimiza wajibu wake wa kutongoza. Akikosa alikua anafanya mazoezi akipata anapata raha Duniani.

Mtoto wa kiume inabidi uone aibu zaidi kwa kutokutumiza wajibu wako kuliko kutimiza halafu ukakataliwa, wewe timiza wajibu wako wa asili, tongoza.
 
Kaomba ukue rafiki yake. Ni watu poa ukiishi nao vizuri ata kama lengo lako la kupata uchi halitofanikiwa lakini atakua mfariji na rafiki bora sana kwako.

Naongea aya nikiwa kama mseminary niliyekimbia wito.

Kumtengenezea mtu vishawishi vya kufanya zinaa ni dhambi. Ila kumpenda si dhambi
 
Habari za Jumapili wapendwa..

Leo nimeenda kanisani kama kawaida yangu, ikabidi nikae sit za kati kati kabisa ya kanisa. Sasa sisters wa kanisa wawili wakaja wakaketi sit ya mbele yangu, Ibada ikaanza.
Sio kwamba nilikuwa sifatilizi ibada, lakini unaweza ukawa hata umesimama barabarani magari yanapita huyashangai. Ila kuna gari moja linaweza pita ukajikuta umeanza kulitazama hadi likatokomea.

Kwenye ibada kuna kusimama, kupiga magoti, na kukaa.
Yule sister bhana kwenye kukaa, anaangalia sehem anapoketi (kwenye dawati) anavuta nguo yake kwa heshima anaketi. (Mda huo akiwa anafanya hivyo hadi na kasura kake unakaona [nusu face] anapovuta nguo yake ili aketi)

Mh nikajikuta nimemtazama (Mungu asikunyime macho. Macho yanatazama vizuri na vibaya). Kizuri kisifie …yule sister bhana ni mzuri. Ni mzuri wote kwa muonekano hadi anavyo jishugulisha na ibada.

Kijana wa watu nikapotelewa na utulivu wa ibada, nikajikuta kila anaporudi kukaa, nikawa nayaruhusu macho yafurahie uzuri na ustaarabu wa yule sister.
Najua wanaume tukipendaga kitu kuanzia tunapo kiangalia huwa tuna tabia ya kukifikisha kwenye ubongo na ubongo kukipangilia kitu hicho kinastahili vipi, yani kama ni kiwanja tunaonaga hadi nyumba imekamilika na kuisha.

Ibada ikaendelea tukamaliza salama. Wakati natoka nje, sister naye akawa amefika zam yake akanifuata nyuma, tukatoka nje.
Wakati tunashuka ngazi za nje ya kanisa kuna mama gauni lake kilikuwa refu linaburuza chini, nikajikuta nimelikanyaga.
Ile naelekea kuanguka kwenda chini. Paap! Nikasikia mtu amenidaka mkono kuzuia nisianguke.
Kutazama nyuma ni sister.

Mama mwenye gauni refu: Samahani kijana poleh!

Mimi: Asante ….. Samahani mama.

Sister: Taratibu kijana poleh

Mimi: Asante sana Sister

Sister: Uwe na Amani.

Sister akaniachia mkono, nikageuka vizuri nimtazame huku nikimjibu Amen sister.

Yule sister ni mzuri nyie.
Sister akanyoosha mkono kuelekeza njia..haya twende 🫱

HIVI KUMPENDA SISTER NI DHAMBI?
Nimeeanza kuamini kwamba Dini ya uislamu ni ya haki na kweli. Miaka 1400 waliliona kwamba sio vizuri kukalisha wanawake na wana umme sehemu moja wakati wa ibada.
 
87f66776-3f1e-4190-ab75-64569933174d.jpg
 
Kaomba ukue rafiki yake. Ni watu poa ukiishi nao vizuri ata kama lengo lako la kupata uchi halitofanikiwa lakini atakua mfariji na rafiki bora sana kwako.

Naongea aya nikiwa kama mseminary niliyekimbia wito.

Kumtengenezea mtu vishawishi vya kufanya zinaa ni dhambi. Ila kumpenda si dhambi

wewe kipindi hujakimbia wito ulijaribu mara ngapi hilo zoez
 
Nimeeanza kuamini kwamba Dini ya uislamu ni ya haki na kweli. Miaka 1400 waliliona kwamba sio vizuri kukalisha wanawake na wana umme sehemu moja wakati wa ibada.

Ni nini kinafanyaga sasa mmiliki mke zaidi ya moja
Mnakwepa vishawishi kwa kukaa wanaume upande wao na wanawake upande wao. Ila mnaongeza mke sababu ya ngono.. ili yule siku hatoi uwende ukapapachue kwa mwenza
 
Mtongoze.

Mimi kwa manhood testosterone nilizonazo, mwanamke yoyote anaenivutia na nikapata nafasi namtongoza.

Bora anikatae kuliko kutokumtongoza. Najisikia mwenye hatia sana kama sijamtongoza kuliko kitu chochote.

Kutongoza ni natural job description ya mwanaume.

Mwalimu wangu mkuu ni 🐓 jogoo, yeye atafukiza jike, haijalishi atalipata ama hapati ila ametimiza wajibu wake wa kutongoza. Akikosa alikua anafanya mazoezi akipata anapata raha Duniani.

Mtoto wa kiume inabidi uone aibu zaidi kwa kutokutumiza wajibu wako kuliko kutimiza halafu ukakataliwa, wewe timiza wajibu wako wa asili, tongoza.
Katiba yetu hairuhusu kumpenda mtawa
 
Back
Top Bottom