Nimempenda sister wa kanisa

Nimempenda sister wa kanisa

Ukikutana nae mzuri anakuwa mzuri kweli tatizo lao wengi roho mbaya mno hawafanani na kazi zao kabisa,

Kuna mmoja nilisema haya ni matumizi mabaya ya usista maza lina shepu ya kwenda, tulikutana harusini mwaka juzi alijitambulisha anatokea igunga km vile, aiseee lile dude ni konyo

Konyo konyo kwel!
 
Habari za Jumapili wapendwa..

Leo nimeenda kanisani kama kawaida yangu, ikabidi nikae siti za kati kati kabisa ya kanisa. Sasa sisters wa kanisa wawili wakaja wakaketi sit ya mbele yangu, Ibada ikaanza.
Sio kwamba nilikuwa sifatilizi ibada, lakini unaweza ukawa hata umesimama barabarani magari yanapita huyashangai. Ila kuna gari moja linaweza pita ukajikuta umeanza kulitazama hadi likatokomea.

Kwenye ibada kuna kusimama, kupiga magoti, na kukaa.
Yule sister bhana kwenye kukaa, anaangalia sehem anapoketi (kwenye dawati) anavuta nguo yake kwa heshima anaketi. (Mda huo akiwa anafanya hivyo hadi na kasura kake unakaona [nusu face] anapovuta nguo yake ili aketi)

Mh nikajikuta nimemtazama (Mungu asikunyime macho. Macho yanatazama vizuri na vibaya). Kizuri kisifie …yule sister bhana ni mzuri. Ni mzuri wote kwa muonekano hadi anavyo jishugulisha na ibada.

Kijana wa watu nikapotelewa na utulivu wa ibada, nikajikuta kila anaporudi kukaa, nikawa nayaruhusu macho yafurahie uzuri na ustaarabu wa yule sister.
Najua wanaume tukipendaga kitu kuanzia tunapo kiangalia huwa tuna tabia ya kukifikisha kwenye ubongo na ubongo kukipangilia kitu hicho kinastahili vipi, yani kama ni kiwanja tunaonaga hadi nyumba imekamilika na kuisha.

Ibada ikaendelea tukamaliza salama. Wakati natoka nje, sister naye akawa amefika zam yake akanifuata nyuma, tukatoka nje.
Wakati tunashuka ngazi za nje ya kanisa kuna mama gauni lake kilikuwa refu linaburuza chini, nikajikuta nimelikanyaga.
Ile naelekea kuanguka kwenda chini. Paap! Nikasikia mtu amenidaka mkono kuzuia nisianguke.
Kutazama nyuma ni sister.

Mama mwenye gauni refu: Samahani kijana poleh!

Mimi: Asante ….. Samahani mama.

Sister: Taratibu kijana poleh

Mimi: Asante sana Sister

Sister: Uwe na Amani.

Sister akaniachia mkono, nikageuka vizuri nimtazame huku nikimjibu Amen sister.

Yule sister ni mzuri nyie.
Sister akanyoosha mkono kuelekeza njia..haya twende 🫱

HIVI KUMPENDA SISTER NI DHAMBI?
Mkuu; mbona umetumia lugha ya kujificha isiyo halisi i.e. Kiukweli Hukumpenda sister ila UMEMTAMANI sister. Tena ukaenda mbali zaidi umetamani ukalale/sex naye. Hiyo inaitwa tamaa mbaya na ndio kishawishi kutoka kwa yule "mwovu". Kama ni Kupenda, hata Yesu aliwapenda watu wote wema na wabaya. Ila ww umejificha kwenye Kupenda yaani ni mbwa mwitu katika ngozi ya kondoo.
 
Nasikia tu kuwa ukiwala utazoa mikosi na no..

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu; mbona umetumia lugha ya kujificha isiyo halisi i.e. Kiukweli Hukumpenda sister ila UMEMTAMANI sister. Tena ukaenda mbali zaidi umetamani ukalale/sex naye. Hiyo inaitwa tamaa mbaya na ndio kishawishi kutoka kwa yule "mwovu". Kama ni Kupenda, hata Yesu aliwapenda watu wote wema na wabaya. Ila ww umejificha kwenye Kupenda yaani ni mbwa mwitu katika ngozi ya kondoo.

Unanishaurije mkuu
 
Ninakushauri uache Tamaa Mbaya. Mpende kama unavyojipenda ww mwenyewe. Usitamani kumharibia malengo yake kama ww usivyopenda mtu akuharibie mipango na malengo yako. Asante.

God bless u 🫡🫡🫡
 
Back
Top Bottom