Nimemkosea sana mke wangu. Ushauri wenu tafadhali

Mkuu sioni sababu ya kupata pressure
hayo mambo huwaga hayasemwi,,,,,mtafute mtu mliyeshibana anaweza akawa Baba,mama,mdogo wako au rafiki, mpe maelezo yanayotosheleza kuhusu mtoto na mama yake, HIYO INATOSHA

Mke wako hatakiwi ajue kabisa na wala usijenge mazingira yayeye kujua,PILI usifanye makosa ya kusema unajenga nyumba ya mtoto sasa hivi, msaidie mama na mtoto waweze endesha maisha yao bila kukutegemea wewe( utafanikiwa kama mchapuko ana akili).

Ntakupa mifano ..Mzee wangu alikuwa na watoto 02 nje, hakumwambia mtu yeyote isipokuwa rafiki yake moja TU ( na hili aliniambia alimjulisha incase likimtokea kuwe na taarifa).. Nilipomaliza chuo aliniita akanieleza na kuniomba msamaha kwa niaaba ya wadogo zangu...akaenda kunitambulisha kwa hao watoto na mama yao,,mzee alipofariki mimi niliwatambulisha watoto kwa ukoo, na mpaka leo tunaishi kwa amani, hata mali za mzee watoto wote walipata sawa hukukuwa na huyu ni mtoto wa ndoa na huwa sio.,cha kushangaza hawa adogo ukitukuta huwezi utadhani mama yetu ni moja

Wewe timiza majukumu yako, kwa mke mkubwa na mdogo, mambo ya kumwambia yatakuvunjia ndoa, huko mbeleni mambo yatajiset yenyewe

Kila la kheri
Mimi nadhani kwa zamani ilikua rahisi...ila siku hizi..sidhani.mke atajua tuu..labda mchepuko akiwa anapiga na kutuma sms mke anaweza fahamu..kwa sababu kwa vyovyota lazima awe anawasiliana na mchepuko kupata maendeleo ya mtoto..
 
Pole sana, japo ni makosa ya kujitakia.

Nazidi kuomba hicho kikombe kiniepuke, sitaki kabisa kuona mtoto wangu anaishi na mtu mwingine na kulelewa huko, it'll break me vipande vipande!!
 
Kiufupi tu.

Ndugu zangu huwa mnafanyaje mnapojua kimada wa pembeni kapata mimba/kajifungua na mtoto ni wako? Sitaki kuona damu yangu hii inateseka wakati uwezo wa kuihudumia ninao, tatizo huwa mnafanyaje ili mke asijue na huku mtoto akipata matunzo yote ya baba?

Hapa najua nimemkosea sana mke wangu ni mrembo na ana kila kitu, lakini sihitaji mtu anilaumu kwa hilo, ni makosa yameshatokea. Wanaume nipeni mbinu ndugu zangu nini nifanye, mimi sihitaji kutelekeza damu yangu.

Binafsi nimenunua kiwanja nataka nimjengee huyu mtoto akaishi huko na mama yake, baadhi ya watu wamenishauri nisikurupuke kwa huo uamuzi, ushauri wenu wanaume wenzangu huwa mnafanyaje kwenye hali kama hii?
Tuanze na hili la baadhi ya watu waliokushauri, ni jinsia gani?
 
Mtunze mtoto huna haja ya kumweleza mkeo utavunja ndoa yako kosa lako ni kubwa mno sio rahisi mwanamke kulivumilia kitu cha msingi kama huo mchepuko wako unajua umeoa uwekee masharti magumu afanye chochote mke wako asijue nawewe itunze hiofamilia yako mpya kwa hali na Mali kimyakimya. Nakusisitiza usiseme ukweli!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu hayo sio tatizo kabisa, ninachohitaji ni familia yangu isijue haya, nifanyeje?
Kwanza kabisa hakikisha huyo kimada anapata mume, itakusaidia kuondoa fikra za kumtunza kimada.

Usisingizie kuipenda damu yako kumbe umekolezwa na mbunye ya kimada.
 
Sikia braza hapo umekosea sana. Hata unachofikiria kinaweza kutokuwa sahihi. Hapo pigana ni vipi mkeo ajue na abaki katika ndoa.

Kwanza tujue wewe ni muislam au mkristu?.

Kama ni muislam jaribu kuongea na side chick kwamba unaandaa ndoa feki lengo ni kutaka mtoto wake atambulike katika familia yako ili asikose haki zake za msingi.

Kisha rudi kwa wife mfahamishe kusudio lako la mke wa pili, onyesha kwa vitendo kwamba umezamilia na angalia response yake. Almost hatopenda na ukiona kapanic, mtoe out na mweleze kwa nini unataka kuoa, kwamba kuna mwanamke ana mtoto na hukuwa na nia ya kuoa ila unataka kumuoa ili umtunze mwanao hivyo akupe ushauri kati ya yafuatayo:-

1. Umuoe ili umtunze akiwa mke
2. Usimuoe ila umtunze kwa kumpatia huduma akiwa mbali
3. Umlete alelewe hapo nyumbani.

Hapo target yako ni 2, na atahisi kufanya hivyo umempunguzia ushindani na hato kuwa na madhara kuliko kama utaamua kumwambia huku umenywea na kujiona mkosaji, atakusumbua na huenda ndoa yako itatikisika. The same applied hata uwe mkristu we mwambie tu utafunga ndoa za mila ili tu umpunguze nguvu kabla hujamfikishia kusudio lako.

Vinginevyo kumjengea nyumba bila haki za msingi za mtoto ni sawa na kazi bure. Utamfanya hata ikitokea msiba wako ashindwe kujitambulisha kama ni mtoto wako msibani. Pole sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
mimi mkristo mkuu
 
Kama ukitaka kujenga nyumba nitafute nikuchoree Ramani kijumba cha kishkaji cha vyumba viwili kisubule kidogo kajiko kadogo na parking ya gari moja tu. Ukijenga kubwa na parking kubwa utakuta midume inakuja kupaua mchepuko wako.

Halafu mruhusu huyo mchepuko aolewe yaani achana nae kimapenzi na usiwe na wivu nae deal na mtoto tu ingawa inaonekana huyo demu alikutegeshea maana haiwezekani umesubiri mpaka mtoto anazaliwa ndio unaambiwa wakati mngeweza kuiflash mimba kwa chupa moja tu ya K VANT
aligoma kutoa kaka na alikuwa tayari alee mwenyewe ila sio kuitoa
 
ndio maana wewe ni MWANAUME......kuwa mshindi siku zote......mkeo atajua tena mapema sana.....isikutishe....atataka kulipiza....uwe makini na haswa mzunguko wake........la mwisho hakikisha MWANAO anapata matunzo bora.....
 
Baadhi ya watu wapo sahihi.

Jiulize swali moja muhimu. Huyo mzazi mwenzako wa nje baada ya kumjengea nyumba na sehemu ya kukaa kwa kisingizio cha mtoto atakuwa mkeo wa pili? Kama sivyo utakuwa tayari yeye kuishi hapo na kutumiwa na mwanaume mwingine? FIKIRI.
 
Sikia braza hapo umekosea sana. Hata unachofikiria kinaweza kutokuwa sahihi. Hapo pigana ni vipi mkeo ajue na abaki katika ndoa.

Kwanza tujue wewe ni muislam au mkristu?.

Kama ni muislam jaribu kuongea na side chick kwamba unaandaa ndoa feki lengo ni kutaka mtoto wake atambulike katika familia yako ili asikose haki zake za msingi.

Kisha rudi kwa wife mfahamishe kusudio lako la mke wa pili, onyesha kwa vitendo kwamba umezamilia na angalia response yake. Almost hatopenda na ukiona kapanic, mtoe out na mweleze kwa nini unataka kuoa, kwamba kuna mwanamke ana mtoto na hukuwa na nia ya kuoa ila unataka kumuoa ili umtunze mwanao hivyo akupe ushauri kati ya yafuatayo:-

1. Umuoe ili umtunze akiwa mke
2. Usimuoe ila umtunze kwa kumpatia huduma akiwa mbali
3. Umlete alelewe hapo nyumbani.

Hapo target yako ni 2, na atahisi kufanya hivyo umempunguzia ushindani na hato kuwa na madhara kuliko kama utaamua kumwambia huku umenywea na kujiona mkosaji, atakusumbua na huenda ndoa yako itatikisika. The same applied hata uwe mkristu we mwambie tu utafunga ndoa za mila ili tu umpunguze nguvu kabla hujamfikishia kusudio lako.

Vinginevyo kumjengea nyumba bila haki za msingi za mtoto ni sawa na kazi bure. Utamfanya hata ikitokea msiba wako ashindwe kujitambulisha kama ni mtoto wako msibani. Pole sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujawajua wanawake wewe, huna tofauti na yule aliyesema tumia ubabe asipokuelewa fukuza.

Mwanamke utakayeenda nae kwa style hio labda uhakikishe anakutegemea kwa 100% yeye pamoja na ndugu zake. Kwa maana awe sawa na wale mabinti wa kigogo ambao hawanaga kazi wala biashara wao wanasuburia mume asimamie kuanzia kwake mpaka kwa mashemeji na ukweni.

Kinyume na hapo show itakuwa kali!!!
 
Mbona ni jambo dog mkuu,kwnz epuka kumweleza mkeo acha siku,wik,miaka ipite maish yaendlee km kawaid cku za mbelen akija kujua inakuwa rahc sana kusolve kwan inakuwa ishapungua makal mara dufu tofat ukimwelez sahz lkn pia tafut wat wa kuwaelez hili km una ndg wa kiume ambao wanajelewa au wazaz ili km ikitokea bahat mby mtot ackose baba!!
 
Back
Top Bottom